mica capacitor
Senior Member
- Dec 20, 2019
- 182
- 203
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rikiboyNisipotoa ya kwangu itakuwa sijatendea haki watasomaji.
Nilienda Mtwara kikazi, wakati narudi nilifika Dar usiku mida ya sa tano hivi maana nilichelewa kutoka kule. Kwasababu huwa sipendi kusumbua watu usiku nikasema nisiende kwa jamaa au ndugu yeyote isipokuwa nitafute lodge nilale kesho niendelee na safari yangu ya Mwanza.
Nikaenda mitaa ya riverside nikaanza kusaka lodge, kila ninayoingia imejaa. Nilizunguka kama dakika 30 hivi, hatimaye nikafika lodge moja hivi napo palikuwa pamejaa. Ile lodge ina bar pia. Mhudumu mmoja akajitolea kunisaidia kutafta lodge za jirani, napo juhudi zilionekana kukwama lakini hakuniacha peke yangu.
Nilitembea nae kama nusu saa hivi tunazunguka lakini lodge zilikuwaa zimejaa. Wakati tunazunguka na yule dada Moyoni nikaanza kuwaza huyu dada anamoyo mzuri sana, ameacha gori na anapigiwa simu arudi lakini anawaambia siwezi kumuacha mteja peke yake hadi nimsaidie. Kama vipi nitatest kimasihara.
Basi akasema ngoja nikupeleke lodge moja hivi ila sio nzuri sana je uko tayari? Nikamwambia poa ila nisipopapenda ninaenda kulala kwako. Akasema hana kwake maana anaishi kwa dada yake. Kweli tukafika ile lodge tukakuta vyumba viwili self moja na single moja, nikachukua self. Pale lodge nilikuwa mhuhudumu mdada inocent hivi ambapo alibadili kabisa upepo wa kumuwazia yule mhudumu wa bar.
Alivoondoka yule aliyenipeleka pale, nikawaza ngoja nitest kwa mhudumu wa pale lodge nione kama kimasihara inafanya kazi.
Yule mhudumu wa pale lodge alikuwa mshamba mshamba flani kama vile ametoka leo mkoani. Kasuka tatu kichwa kajifunga na kanga zake vizuri. Nikajisemea kuwa huyu atakuwa anajiheshimu jinsi alivyo alivyo. Nikatoka chumbani nikamfuata receiption nikamuomba namba, akanipatia. Nilivoingia tu chumbani nikampigia nikamwambia kama vipi njoo unipe kampani naogopa kulala peke yangu. Akasema hapana siwezi maana nipo kazini. Nikamwambia saivi usiku hakunna mteja anaakuja we njo tulale. Akasitasita saaana lakini badae akasema poa ila nakuja na kondomu. Nikasema poa. Baada ya dakika kumi akaja tukaoga then nikala mzigo hadi sa kumi asubuhi.
Kilichonifanya nimtest yule dada ni huu uzi. Nilijisemea ngoja nitest kama inafanya kazi, nashangaa dada kaingia laini.
Alaniwe aliyeanzisha uzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app