Moja ya story bomba sana kusoma humu, na kud*sa juu. Hongera mkuu kwa simulizi kali hii
 
Bila shaka we mzee ni muandishi wa vitabu
Moja ya story nzuri sana kuisoma kwenye huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, mimi siyo mwandishi wa vitabu, ila katika kutafuta ugali wa kila siku, kuandika ripoti ilikuwa sehemu ya kazi.

Niliamua 'kushea' kwa mtindo huo ili kutoa na experience nyingine za maisha pamoja na kumbukizi za vitu vya zamani.

Vijana watapata picha hali ilikuwaje zamani na wahenga waandamizi watakumbuka enzi hizo na kufurahi na kupunguza msongo wa mawazo kupitia uzi huu wa kijana Riki.

James Jason
 
Nilifanya jitihada za hapa na pale, nilikaa nje miaka mitatu na kidogo, niliendelea kumuandikia barua ambazo pia hazikujibiwa, niliporudi Tanzania pia niliandika barua moja tu, tena kwa "airform" maana barua za hivyo zilikuwa zinapewa kipaumbele.

Baada ya kimya cha miezi kadhaa nikaondoa akilini na kushugulika na wengine, kati yao akabahatika mmoja kuwa mke wangu. Hii ni stori nyingine kabisa na ya kusisimua ila siyo ya kimasihara.

Akiniruhusu (wife) nitaanzisha uzi wa stori yake.

James Jason
 
Kwa miaka hiyo uliyosimulia bill Shaka watoto wa Rose wameusoma huu uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 'Rose' (kumbuka siyo jina lake halisi) aliwasimulia watoto wake kuhusu baba yao ambaye "hakuwa"

Lakini mara nyingi ni 'ngumu' kwa wadada kuwasimulia wachumba zao ama waume zao kuhusu mwanaume au wanaume waliomtangulia jinsi uhusiano wao ulivyokuwa (labda kwa baadhi yao wakigombana kwa hasira na ukweli ndiyo unaweza kusikia "kwani wewe unajuwa kut*omba, fulani ndiye anajuwa)

Ni matumaini yangu kuwa watoto wa Rose kama wapo, hawatojuwa hii stori inamuhusu mama yao.

James Jason
 
Naaam;
Ahsante kwa simulizi nzuri sana.
Nimelazimika kutoa kongole kutoka na mpangilio mzuri wa uandishi ulioutumia ktk uandishi wako.
Ahsante kwa kuwa umeamua ku-share nasi uzoefu wako ktk uzi pendwa na bora kbs..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mwanasheria, uandishi mzuri hufanya msomaji asichoke, pia humteka na kumfanya yeye kuwa sehemu ya stori pia huleta elimu ama habari kadha wa kadha licha ya stori kuu yenyewe.

James Jason
 
Kwa miaka hiyo uliyosimulia bila shaka watoto wa Rose wanausoma huu uzi. Ijapokuwa umetumia code, wataunga dot kwamba mama kwao Tabora, kazi mwalim, first appointment Lindi.
Hongera kwa simulizi maridadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo rahisi, watumishi wengi wakati huwa wa first appointment walikuwa wakipangiwa mikoa ya kusini, kisha baadaye huhamishiwa sehemu nyingine.

Utawala ulihakikisha kuna mchanganyiko wa wananchi, wa Kusini alipelewa Kaskazini, wa Kaskazini alipelekwa Magharibi ili mradi mchanganyiko...

Tena hukai sehemu moja kwa miaka mingi bila kuhamishwa.

Hivyo 1st appointee kutoka Tabora / Tukuyu wapo wengi, siyo rahisi kuunganisha dots, labda kati ya hao wakihisi na kumuuliza mama yao, kisha mama yao athibitishe.

(Hata hivyo kama watoto wa 'Rose' wapo humu, mwambieni mama yenu nina zawadi zake ama nipeni 'whereabout PM')

James Jason
 
Jinsi nilivyomla demu wa fb kimasihara

Nakumbuka kipnd hyo namalza chuo dom kuna dem mmoja aliomba urafiki fb so tukaanza kuchat fb then tukabadlishana namba kipnd hicho yy alikuwa dar mimi dom so urafiki ukaendelea bila kuonana kwa mdu baada ya kumaliza chuo nikapataga mchongo mmoja hv mkoan nikaenda kupga kaz so yule dem kuna wkt mawacliano yalikata baada ya mda km mwaka hv cku hyo nmetulia zangu nikaona msg ya kawaida imeingia ya yule demu imeingia so mawasiliana yakaanza upya tena.
Tukaanza kuchat kpnd hcho ilikuwa km mda wa mwz mmoja niende likzo mara cku ya likizo ikafika nikatoka zangu mkoan had dar bas bwana wkt nakuja dar yule dem nilimcheck wkt nimefika dar kesho yke akanicheck nilamuelekeza nilipo akaja km mida ya saa sita tukaanza story nikampeleka lunch had kigiza kinaingia akataka kuondoka nikamwambia mda bado bwana utaenda tu mara mda dinner ukafika tukaenda dinner tumemalza kula akawa anaaga anataka kuondoka nkamwambia mbna mda bado ila pia hata ucpoenda unaweza kulala hapa hapa ( ikumbukwe nilikuwa nimechua lodge) dem akasema haiwezekan nalala hapa mm na ww hautufanian nkamwambia tunachukua chumba kingine utalala peke yko bac bwana tulivyo maliza kula tukarud lodge nkaenda kuonga nkamuacha amekaa niliporud nikampgisha story baada nikazuga naenda kumuulzia chumba.. Demu akasema sawa (Huku kimoyomoya nampgia hesabu ni vp ntamnjunja ucku ule... ) nikaenda nje nkakaa kwa dakika kazaa kurud nikamwambia vyumba vmejaa demu akaniuliza sasa itakuwa na ucku umeenda nkamwambia haina shida tutalala pamoja kila mtu atageukia upande waka na hatutafanya chchote demu akaelewa bac bwana tulivyopannda kitandan tukaanza utani utani tu mwisho tukajikuta kama tulivyozaliwa nilipga gemu had yule demu alitapika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa miaka hiyo uliyosimulia bila shaka watoto wa Rose wanausoma huu uzi. Ijapokuwa umetumia code, wataunga dot kwamba mama kwao Tabora, kazi mwalim, first appointment Lindi.
Hongera kwa simulizi maridadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kazi sana ku-connect dots. Aikusoma mhusika ndio anaweza kukumbuka. Maana hauwezi kujua kila kitu au hatua aliyopitia mzazi. After all haya ni matukio ya miaka ambayo pengine watoto wa huyo mama ni wazee sasa.
 
Muoneshe hii comment " MAMA TUNAOMBA UMRUHUSU MZEE WETU ATUPE UZOEFU WA MAISHA ALIOPITIA NA WEWE " bila shaka atakukubalia tu.
 
Hii ya kifund sana[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah picha ya Rose kabisa hiyo. Ni dada wa zamani wa kisasa!
 
We mzee muhuni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wazee wanatoa shuhuda zao mimi ni nani hata nisitoe ushuhuda?

Hongera mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja na mimi nitoe 1 kati ya 3 nilizo nazo:.....

Ilikuwa 24/12/2014 siku ya mkesha Xmass
Kuna demu anaitwa X ,alikuwa ni rafiki wa demu fulani ninayefahamiana naye anaitwa P huko siku za nyuma kuna ishu P aliniunganisha na X sso tukawa tunawasiliana na X.

Basi buana siku ya tukio nilifika Daslam jana yake baada ya kuwa nje ya jiji kwa miezi kadhaa, nkawa nimeenda kumsabahi rafiki yangu Jacob alikuwa anaishi maeneo ya fulani Sinza, sasa huyu demu X maskani kwao ni maeneo ya Shekilango Daslam.

Demu X kama kawa alikuwa ananitext tunapiga story, nikamwambia niko Dar na niko Sinza leo, akaanza kusema lazima tuonane kwani sio mbali na nyumbani na leo natoka kazini mapema nitakuja direct ulipo.

Kweli binti akafika baada ya kupewa ramani, mara Jacob akapigiwa simu na demu wake(shemela) kwamba wakaonane Mlimani city kuna kitu alitakiwa akampe.

Mimi na Jacob tunafaham Spanish maana tulisomaga wote huko kwa kina Fidel Castro,sasa demu X akaanza ohoo ongeeni Spanish niwasikie nione ina sound vipi kwenye mdomo wa mswahili, basi buana Jacob akawa kashang'amua kitu kibaharia zaidi akaniambia kwa Spanish " Mzee baba ndom ziko kwenye droo ya kati pale kazi kwako piga mashine, shobo nyingi huyo"....

Demu X akawa anafurahia eeh ina sound vizuuuri, basi Jacob akatuacha akasepa.

Tulivyobaki wawili ile story,story mara demu X akadai kachoka choka na race alizokuwa nazo kazini alikotoka, akasogea kitandani wakati huo mimi nilikuwa hapo tayari maana ghetto la msela halikuwa na viti.

Mara akaanza makuzi sijui kuna nywele imenasa na hereni nimsaidie kuweka sawa, na mimi nikaleta makuzi,nikapeleka mkono nikapapasa sikio mara naona mtu kastuka, anaanza kucheka cheka, nikarudia mara anaona hali inabadilika,

kumbe ndio ilikuwa sehem yeny kumtia nyege, nikarudia na nikaanza kuzitafuta sehem zingine, chap tunachojoana huku mbwembwe zikiendelea,.... faster nikachukua simu nikamtext mshikaji kuwa ishakuwa mukide, kwahiyo avute vute mpaka nitakampompa sign.

Nikaanza uchakataji, nimepiga mashine baada ya first round naona dem akili ikamrudia, akaanza kama kunikazia huku akiniuliza "Alex kabla ya kuendelea,what next after hiki tunachofanya? Ndio tunakuwa kwenye mahusiano au for fun?, nikawa sitaki kumjibu wakati huo kwa maana nilihisi labda angezingua wakati mimi nilikuwa bado nataka nitulie niombe cha pili.

Baadae nikamtia sound mara tukaamsha tena then tukamaliza,tukaoga na kujiweka sawa ,nikamcheki mwana,akarudi ghetto,demu X akakaa kidogo akasepa kwao.

Jioni alikuja tukaenda nae Bar fulani pale Sinza, siku mbili zilizofata tukaamshia Lodge, nikaona baadae anaanza kuleta habari za kugandana mara kuona oana, nikawa nampotezea, akaelewa kuwa sikuwa na mpango nae kimaisha.

Mpaka leo yuko ofisi fulani ya serikali tunatia story kama kawa, Sa hivi kawa Singo Maza huko analalamika tuu.


Alexander
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…