Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mimi za kwangu zote huwa ni arranged, nafanya tendo nikiwa na hisia na mapenzi na mtu.
Yaani napenda kuenjoy na kuwa free kwa mtu.
Sema nyie wanaume wajinga mnaweza kuona mnakula kimasihara kumbe watu tuliwaweka kwenye mkakati mda mrefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kwa hiyo hamna kitu kama kula kimasikhara, pre-arranged!
 
Kula kimasihara, hii sijawahi aisee, sijui nakwama wapi. Jmosi nimeikosa moja kimasihara. Nitaiwekea mikakati madhubuti. Niko capital city, last saturday nilienda Hospital Aga khani nilikuwa nina miadi na Tabibu kuna pisi moja nahisi tulielewana nayo, eye contact kila baada ya dakika tano kutokana na uwepo wa watu wengi pale na foleni za Hospitali nilishindwa kufurukuta.
We dada uliyekuwa Aga Khan Dodoma tarehe 25/01/2020 mweupe, umesuka rasta, skin jeans blue na sweater jeusi ninakutafuta.
Be warned!
 
Back
Top Bottom