Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba shetani akamuuliza mdogo wake au amshikie na miguu? Aiseee huu Uzi n yoko, wamfungulie muasisi wa huu Uzi jaman rikiboy aje ajionee maajabu yanayoendelea humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba darasa hilo mkuu, bado sija-experience hiyo kitu mpaka sasa!
Dah! Kwa hiyo hamna kitu kama kula kimasikhara, pre-arranged!Mimi za kwangu zote huwa ni arranged, nafanya tendo nikiwa na hisia na mapenzi na mtu.
Yaani napenda kuenjoy na kuwa free kwa mtu.
Sema nyie wanaume wajinga mnaweza kuona mnakula kimasihara kumbe watu tuliwaweka kwenye mkakati mda mrefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba msela ndio kaliwa kimasiharaHuyu msela wako hapa aliliwa yeye kimasihara. Huyo demu clearly alitaka show pale tu alipomwambia msela kuwa kammiss.....
Aisee bonge la story kwanini story nyingi zinakuwa hazina happy endings?
Sent using Jamii Forums mobile app
bee mkuu
Mambo