king_azy
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 265
- 939
Kuna mama mdogo mmoja wa demu niliyekuwa nakula kula aliniomba aje apajue ninapoishi, nikampa ruhusa basi wikend moja mama mdogo huyo kapanda basi kutoka mbezi hadi jet lumo nilipokuwa nimepanga.
Nikaenda kumpokea nikampitisha kwenye supu ya utumbo tukapiga break fast kwanza maana alikuja kama saa tatu asubuhi kisha tuka jongea maskani, basi kufika maskani tulikaa tukipiga story huku tukichek movie hadi jioni, kwa kweli alikuwa mzuri kuliko mwanae ila sikuwa na jinsi ilinibidi tu nipige moyo konde tu nivumilie.
Kama saa 11 jioni nikaagwa maana mbezi mbali na kuna foleni sana atachelewa kufika. Basi mzee nikamzingua kidogo kwani si ulale leo ukipe baraka kitanda changu, hata sijajibiwa ila nikaona kama nimeeleweka mara kuja kustuka saa 3 usiku, nikaenda kutafuta msosi tukala, usiku nilijilia tosha yangu, hadi leo naendelea kujilia wote, mtoto alishashajua tayari ila nae anajidai hajui kitu.