washikaji walipogundua wakaanza kunicheka
Nb,huyu mama alinifanya nisiwe na demu chuo,yaan videmu vya chuo nilikuwa naona kama vitoto,wakati tunashare age,
Nimekumis mnyaturu Wangu,much love
hahahahaa
 
hahaha mtatuua kwa kuchekesha huku fala kweli hahaha
 
zana muhmu bora hata utembee nayo kama mtu wa outing..huwezi jua dharura inakuja lini
 
Siemens c55

Ilikuwa 2005 nipo form one..nilibahatika kwenda shule na simu ya maza..mara paap ikaanza kuita darasani...kumbe maza alihisi simu yake imeibiwa akawa anapiga kwa kutumia cm ya mtu mwingine.. Nipo class simu inaita..na hairuhusiwi mwanafunzi kuwa na simu......

Mimi CM niliichukua kwa housegirl . alipewa aichaji..chumba cha housegirl na na sisi watoto vilikuwa vinatazamana..so nilipoamka kwenda kuchukua viatu (alikuwa ananipiga KIWI) nikabeba na simu...(kwa wanaokumbuka Siemens c55 ilikuwa na uwezo wa kurekodi. then ile record unaifanya kama ringtone)..Sasa wimbo uliokuwa ringiton ni ule wa Akon lonely


Itaendelea...
 
Ushaona hii ni Series? Umeweka Season 1 ep 1 unataka kuja na ep2? Yaani kuandika mistari miwil tu eti Itaendelea! Mnaboa sn Washenzi nyinyi
 
Ushaona hii ni Series? Umeweka Season 1 ep 1 unataka kuja na ep2? Yaani kuandika mistari miwil tu eti Itaendelea! Mnaboa sn Washenzi nyinyi
Kuandika vimistali viwili kisha 'itaendelea' sio kosa lake. Wewe imajin mtu wa fomu wani viatu vyake vinasafishwa na hausi gelo, huyu akiandika mistal 6 si atamaliza june.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ili kuongeza uwezo wa bao nyingi inakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Bidii ya mazoezi ili usikate pumzi.

Pia kila baada ya bao, kajimwagie maji (oga), toa nafasi kati ya tendo na tendo

Kuna vijana huwa wanadhani hawana nguvu za kiume kwa kutaka kurudia tendo ndani ya dakika moja. Filamu za ngono zina wadangnya... (Nyingi ni edited, pia kwa kuwa wao ni biashara / kazi, hutumia madawa makali kuongeza nguvu)

Komaa na vyakula asilia (balanced diet), fanya mazoezi

James Jason
 
nioge maji ya barid au yamoto?
na je nafasi ya tenda na tendo ni muda gani maana mim nikimaliza tendo nakaa hata zaid ya masaa mawili ndo napata ashki tena au nisipate tena mpaka baada ya hata ya hata masaa6


Sent using Jamii Forums mobile app
 
minimiongoni mwa vijana wanaodhani wanaupugufu wa nguvu za kiume maana nkifanya tendo ni dk10-15 tena hizo nizakujizuia nisipige bao..nisipojizuia nichini yaDk10 nikimaliza siwezi tena mpaka yapite hata masaa5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo Cha Mod Kumpiga ban Juma p Maharage kabla ya Kumaliza Story yake ya kumtafuna Kichaa, ni Karma itakayokutafuna kwa Manunguniko ya wafuasi pendwa wa huu uzi vijana na Wazee
Mkuu sidhani kama kuna ubaya ile post kitolewa, kwa sababu kisheria kumpiga miti kichaa ukiwa wajua kabisa kuwa ni kichaa ni kosa la jinai, na haijalishi kama kichaa huyo karidhia au la! Nadhani wakat mwingine mods hufanya baadhi ya mambo kwa manufaa mapana ya umma! Kuna wadau humu wanachukua tips za kula kimasihara, si ajabu wangeanza kuwafukuzia vichaa wakajikuta wanadaiwa 14 years Segerea, kisa tunda la chizi! [emoji28][emoji28]
 
Mimi nakukubali sana stor zako mwamba..... mchakataji mwenzangu,

doggystyle changeinarudi shehe[emoji527]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…