Nilikuwa najiona baharia ila kupitia huu uzi nimegundua kila mtu ana bahati yake. Unanipa motisha zaidi ya kuongeza mautundu.
Nina machaka yangu nikisema sijui itakuaje aisee

Ngoja nivute pumzi kidg alaf nilete story tatu tofaut
 
Kuna siku nilikua zangu geto alone nachat Facebook, enzi hizo Fb ndo maarufu, kuna kadada hata sikajui kalikua online, nikaanza kuchat nako, kakasema kanasoma CBE, mara kakasema kanasikia njaa, kiutani nikamwambia njoo geto kimara nimepika, akasema poa ngoja nipande Gari nakuja, muhuni nikaingia jikoni nikapika chakula kizuri.

Kamefika kweli kalikua na njaa kakala kisha nikakala na kenyewe, kiukweli milage zilikua zinasoma chache sana, toka siku ile ikawa ni mikasi tu kusaidiana mahitaji madogo madogo hadi alipokuja kuolewa, japo huwa nikienda huo mkoa tu nakumbushia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani ndoa hzii mtaua watu...Kupasha viporo kila siku
 
@rikaboy ndio mwenye mauzulio mauzur humu tunakuchagua uwe story analyst
 
Kuna mdada mmoja wa Bavicha iringa tulikuwa tunabishana Kwenye group la Ccm vs Chadema iringa kuna hoja nikatoa ananiambia wewe hata nguvu za kumlala demu huna sembuse kuisaidia ccm nikamwambia kama unaweza show njoo uone gemu aksema kwenda zako nikamfata inbox nkamwambia nakusubiria ujue akasema ww nani nikasema mi X akasema hahaaa huwezi nikamwambia njoo akasema cku ingine.

Mara pap uck anaxema Leo nimeboeka ngoja niende club nikasema twende kasema poa uck nikatinga VIP club tukapata burudani badae tukaishia geto nikala mzigo kila Mara nikiwa na genye namwita geto jaman BAVICHA watamu we acha tu
 
Mkuu unaupeleka uzi wetu kwenye misiasa sasa! mbayaaaa!
 
Those days Mpangaji mwenzangu mdada kaniita kwake nikam searchie channels (hakukua na ving'amuzi) zilikua hazionyeshi. Kumbe alikua hapati channels sababu waya wa antenna umekatika.

Basi nikaukata, nikauchuna kisha nikauunga tena kitu na box. Akaniambia hana hela ya kunilipa itakuaje sasa, nkamjibu sio lazima hela nkaona anaangalia chini kwa aibu. Kilichotoea hapo ni kuburudishana kufidia ufundi wa kuunga antenna. Jamaa yake hakua akiishi nae so "urafiki" ukaanzia hapo.
 
kinachoniboa n kusoma story ndefu afu ukiunganisha dots za hy story unaona chai yenye limao au n kwamba wakat mnatunga story zenu akili mnawekaga wap.?
 
Haha ! Kwamba amri ya sita imepitwa na wakati hivyo inatakiwa kufanyiwa some ammendments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…