nioge maji ya barid au yamoto?
na je nafasi ya tenda na tendo ni muda gani maana mim nikimaliza tendo nakaa hata zaid ya masaa mawili ndo napata ashki tena au nisipate tena mpaka baada ya hata ya hata masaa6


Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na hali ya hewa sehemu ulipo, kama ni sehemu za baridi, tumia maji ya uvuguvugu, kama ni sehemu za joto tumia maji yaliyokaribia sawa na joto lako la mwili, utapima kwa ngozi ya nyumabya kiganja.

Pia hakikisha upo sawa kisaikolojia kabla ya tendo, kama haupo sawa bora usifanye kwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kuaibika.

Mwenza pia huweza kuharibu ama kuongeza ashki ya tendo...

Kuna wenza wwngine huwa na maneno ya kuudhi, kukatisha tamaa ama kuleta mada 'isiyohusu' wakati wa tendo...

Kitu kingine ni usafi wa wote wawili, lakini kwa jambo lako, mwenza lazima awe msafi mwili na mavazi, asiwe anatoa harufu yenye kukukera pia...

Jambo lingine ni ushirikiano wa mwenza, akiwa ana bidii na sauti za mahaba (hata kama ni za utamu wa uongo) inasaidia kukupa morali...

Ubora wa papuchi nao unachangia sana...
(Hii ni topic kabisaa, inahitaji uzi), sanjari na ukubwa wa dushe vs uwezo wa kulitumia

Jitahidi kufanya tendo na umpendaye (inasaidia sana kwenda mara nyingi)

Baada ya goli la kwanza, usiwe na papara ya kutaka uanze la pili, na kufanikisha hili jitahidi mwenza afike kabla yako kwanza kwenye round ya kwanza...

Kisha ongea naye mazungumzo romantic, hapo mkiwa tayari mmesha jimwagia maji, fondling, caressing zinahusika sana, taguta nywila zilipo, wengine wana password zaidi ya moja (kama Hamida wangu, nilidhani ipo shingoni pekee yake kumbe.... Simukizi yake inaendelea jukwaa la Entertainment fuata link hiii Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Jitahidi kujaribu jambo jipya kila mara, usiache kumuangalia usoni mara kwa mara, usizime taa. Jaribu pia mida tofauti na mazoea, na location etc)


James Jason
 
minimiongoni mwa vijana wanaodhani wanaupugufu wa nguvu za kiume maana nkifanya tendo ni dk10-15 tena hizo nizakujizuia nisipige bao..nisipojizuia nichini yaDk10 nikimaliza siwezi tena mpaka yapite hata masaa5

Sent using Jamii Forums mobile app
Post yangu #10730 inakuhusu

Hali isiporejea muone daktari (psychologist)

James Jason
 
Ongezea na Madem wa Club, hawa wengi wanajua kwamba lazima mwisho wa siku watoke na mtu au apigwe quick sex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hawa wa mama bana,
Kuna moja ilinishobokeaga ujana aseeh basi siku inaniita sehemu nikapiga zangu nyagi,badae ikaomba tukapmzike ndani najua alinila kimasihara lakini nilimpelekea moto mpaka kaomba pooo analia mshono mshono pls mshono , kiukweli nilifanya kumkomoa ila nilimkosa badae akiniita anataka tu akalie yeye akojoe basi nikamkataaa... Akamsimlia rafiki yake kajilengesha nikapiga alivojua ebwana moto wake ni uadui na mimi na rafiki yake haziivi tena.

doggystyle changeinarudi shehe[emoji527]
 
Mkuu acronomy achana na pussy paka nyau anatuhubiria ukimwi kumbe anataka connection za kwenda kugegedwa mbele!View attachment 1325527
Uyo jamaa ni choko namjua vizuri sana.. mkimjibu mnampa kichwa alishanifata pm nimtindue Maana ananijua vizuri sana, ikibidi nitoe siri zake mwanaume unajiitaje bushmamy? Umaarufu hautafutwi hivo c... Hko huyo[emoji847]

doggystyle changeinarudi shehe[emoji527]
 
Wa ushuani au sio..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisahau jambo muhimu,

Goli moja linaweza kutosha kumridhisha mwenza wako, ilimradi ufanye vizuri kwenye maandalizi, mechi yenyewe hadi una hakikisha amefika au unavizia anataka kufika nawe unafanya bidii mfike kwa pamoja...

Wapo wanawake ambao akifika kilele cha ukweli, hawezi kurudia hadi saa kadhaa zipite...

Wapo wanaoenda sanjari nawe, kila goli naye yumo hadi 'ugafue' mwenyewe...

Wapo ambao akipigwa tatu hawezi tena, ukiendelea anachubuka ama hatoweza kutoa ushirikiano...



James Jason
 
Sasa kimasihara haikufai mkuu..!

[emoji23]
mpigaji muda wote upo tayari kwa show...hamna kujipanga...kimasihara ni mwendo wa kimoja au vitatu...kutembea na ndom siyo ujinga hususani ukijijua wewe ni mlafi...one night stand unauza mechi hauwezi kuwa serious kabisaaaa....hivi unajua majuto yake baada ya kumaliza kula mzigo au unajisahulisha tu mkuu....
 

We bwana hii chai mara umemaliza boarding na muda huo huo una kwako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Reactions: rr4
na wafanyakazi wa gesti , nimewajaribu sana, 99% waliingia kwenye mtego
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri sanaa je kwamimi ambaye nikipiga bao moja napitiwa na usingizi nakuwa na tatizo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manzi wangu simuelewi mkuu,,,, hapo zamani nilikuwa nipo vizuri sanaa kwenye gemu nilikuwa namla sanaaaa mpaka alikuwa anaomba pooo. Ila baada ya mda kupita tukapata mtoto wakwanza makali yangu yakapungua nayakaenda huku yanapungua siku hadi siku mpaka hivi sasa nampiga bao moja yeye anakojoa namimi pia nakojoa naninakuwa nimechoka sana nahamu nakuwa sina kabisa napumua juu juu.

Ila chaajabu nayeye pia anadai imetosha nandio inakuwa salama yangu.

Sasa najiuliza Mbona wakati ule nilikuwa nikihitaji zaidi nazaidi alikuwa ananipa naalikuwa anafurahia naanafika mshindo zaidi yamara mbili iweje Leo hii mimi nimekuwa dhoofu hali nayeye pia awe dhoofu? Au ndio kusema tumedhoofu wote kwapamoja? Au ananiektia karidhika namshindo mmoja aliopiga kumbe inakuwa kinyume chake? Mkuu ushauri wako muhimu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasaidiwa huko nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…