My girlfriend alitaka kuniacha sababu
ya huu uzi.
Ipo hivi, majuzi kati nilipost kula kimasihara kwa mtoto wa kirangi kitoka kondoa, nilielezea kila kitu kuhusu mazingira yalivokua na hadi kumla yule mtoto wa kirangi.
sasa jumapili ya juzi kulikua na ubatizo hapa kwa jirani, watu kibao walialikwa na sisi tukiwemo, tukanywa pombe chakali, jirani akaomba nimsindikize anapowarudisha wageni stand kwa gari yake ili asiwe pekeake kwny gari, kwa vile nimelewa, nikampa simu yangu wife aingie nayo ndani adi nitakaporudi.
sasa tumekwenda kusindikiza wageni, safar zikawa ndefu na huyu jirani yangu, tumezagaa hadi sa saba usiku,
nilivorudi home, wife akanambia kaoge kwanza ndo uje ulale, aiseee, nimetoka kuoga nakuta wife ameamka na amekaa,
kumbe kasoma kile kisa chote cha kumla yule mrangi kimasihara na ameshamjua ni yupi mana aliweza kuunganisha doti.
nimeyumba sana, nimejitetea sana japo nimekataa kabsaaaa kua nimemla yule mdada, amenisamehe kwa sababu ananipenda ila nimeumia sana kumuumiza mwanamke wangu, najisikia vibaya sana, nimejiona mpumbavu sana aiseeee.
imenidi nifute coment zangu zote huko juu kuhusu kula kimasihara ili maisha yaende kwa muda huu.
amenisema hadi nimejiona mjinga, nilikua mdogo kama piliton, nimekosa adi ujasiri wa kumtazama usoni, thou she is okei now but mimi nafeel guilty sana.
najuta kufanya vile, najuta kwnn nilimuachia sim yangu wakati sipo nae,.
tuwe makini wanazengo, tuheshim mahusiano yetu.
play safe, love life.
Sent using
Jamii Forums mobile app