Ulishawahi kula tunda kimasihara?
KigaKoyo, Naamin hii story haijafika mwisho kwa sababu mbili!


How you met your wife.......hapo hujafika point ya kuelezea ulikutana nae vip though kwa mbali sana naamin ni mtoto wa boss ndo ulikuja kumuoa kwa sabab kuna mahali umesema mwanzo wa mahusiano yako na boss yaliyochukua mda mrefu kuja kuvunjwa na binti [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishia hapo kusoma, siku ya kwanza tu kuja kwako halafu ameshafika bila hata kupotea.... ulikuwa umepanga ushuani sana mzee.
Mimi nimeishia pale aliposema hii ndio simu unayotumia, siwezi kukupa namba yangu kama unatumia simu kama hiyo. Hivi kweli mtu unamuomba namba anakwambia maneno kama hayo kwani anajua namba unahitaji kwa matumizi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Moja nikiwa ndani ya basi naelekea mwanza kutoka Arusha,nilijikuta nimekaa siti za karibu karibu na binti mmoja hv but bahati mbaya Sana stori zilikua zimescore-F Kati yetu.Tulikuja kuchangamshwa baada ya kushuka hotelini singida tukapiga menu ikawa tunasifia kuku zilivyokubwa pale singida,ijapokua nilikua nasupport tu ili nipate stori nae but nimekweisha kuzoea kuku za pale singida zilivyo maana ninapiga Sana hizo Safari toka nikiwa naskuli musoma.

Bahati mbaya tukafika mwanza usiku but sio kivileee Sema kulingana na alikua mgeni akaniomba nimtafutie guest hivyo sikuona ubaya ijapokua na mie sikua mwenyeji ikabidi tuliposhuka tukubali kupokelewa na madalali wa room pale nyegezi,tukapata mahali ambapo hapakua na umbali na pale stand.

Nilipoona amefika na kupata alichotaka mimi sikuwaza Sana nikamuaga na uzuri sikua na mzigo zaidi ya begi langu mgongoni na size ya dodoma tu.Ghafla mwenzangu analalamika hajawahi kulala guest na anaogopa sababu nje kulikua na maskani ya vijana hivyo akitoka kwenda kutafuta chakula watamsumbua,nikamwambia kama vipi twende nikupeleke ukale then urudi upumzike,maana Mimi nilikua natakiwa kufika mtaa wa selemani usiku huo huo ambapo ndio kulikua na mwenyeji wangu!

Akanisihi niende nikamchukulie then nimletee maana amechoka nikaona haya mazoea yamezidi Sasa nikakubali but lengo Ni kusepa mazima bila kurudi nyuma.Nikiwa naelekea kutafuta gari za Pasiac nikakumbuka wakati flani tukiwa kwenye bus kale kademu kaliniomba USB yangu kachaji simu yake na ukizingatia kipindi hiko Isamilo alikua yuko vizuri kwa magari yake nikaona isiwe shida kuacha USB yangu kwake kisa nimeshindwa kumvumilia kwa muda nikajitosa kurudi but nikapitia kiepe Kama alivyoagiza nikampelekea.

Kufika nakuta mtu hayupo but mlango ulikua wazi nikaona isiwe mbaya ngoja nimsikilizie maana room ilikua self-contained nikajitumainisha Yuko bafuni anaoga.
Kweli nilibeti vizuri maana litoka but ajabu hakuniwaza na alitoka na kakanga kamengangania mwili kweli,nikamwambia mzigo wake ule anifanyie mpango wa USB nisepe.

Akanigeuzia mgongo akainamia kabegi kake akawa anatafuta hiyo kitu Sasa Mimi huku nyuma nikaona kanga ikizama katikati ya makalio na mzigo kugawiwa katika vipande viwili vilivyo sawa kabsaaa.Ibilisi wa mawazo akanijia nikajikuta natanguliwa mbele na kichwa Cha chini.

Bac akatoa USB aka mnipatia but msala ukawa kwangu kuinuka nikaona ngoja nijipigishe stori ili akikaa sawa nisepe katika stori demu kakazania anaogopa Sana kubaki mwenyew na ni mara ya kwanza kulala guest anashangaa the way namtoroka bila huruma.Nikauliza kibaharia tu kwamba anafikiri nikikaa nae atabaki salama,akawa anijichekesha tu huku anavunga nikaona isiwe tabu cz Ni Kama samaki anjipeleka nyavuni mwenyewe.

Nikakaza moyo nikavua shati nikamwambia Sasa Kama unaogopa ngoja tulale wote akasema "hayo ndio maneno sio kunikimbia wakati mwenzio mgeni".Nikamfuata alipo na sababu alikua na kanga katika kujaribu zali langu ikaanguka na kumuacha Kama alivyoreport dunian,akawa hana option isipokua kunijibu nitakavyo kukuru_kakara kipenga kikapulizwa watu wakaanza mtanange nikipiga chuma kuja kupoa nacheki time inakimbilia saa sita na zaidi nikaona isiwe shida ngoja nimalizie usiku palepale na kadada kale but ubaya njaa ilinikaza afu kiepe kilikua Cha kumtosha yeye ikabidi nivunge naenda kucheki msoc but nikijua sitapata kitu ni Bora nimuachie muda apige ule msoc.

Kutoka kuzurula hapa na pale nikakuta jamaa wa kiepe mmoja anamzigo wa kutosha nikaweka plate mbili pale nikatafuta na bia zangu kadhaa,nikatafuna nilivyojua kupotezea harufu kurudi nikakapiga show maridadi mnooo.

Asubuhi nakuja kugundua wakati anavaa Uniform kumbe Ni kamwanafunzi ka Ngaza pale pale mwanza.Tukabadilishana namba ikawa mwanzo wa kukabanjua mpaka wa leo kapo chuo flani kanamalizia Bachelor mwaka wa 3 but mibanjuano ni Kama kawaida.[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natumia jamii forum App kutoka play store.
ili ufute coment, unai-click coment then itafunikwa na kagiza flani hivi, pale juu kabsa ya app yako itakuja alama ya mchoro kama mkasi ikiwa na kama kispana na kinati, ukigusa pale, itakuletea option ya kuedit au ku-delete, then unachagua chakufanya
Unafutaje comments umu?

kelphin kepph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapka sasa toka Uzi umeanzishwa na baharia rikiboy...99% ya waliokula kimasihara wamekula pisi Kali...99% wamepima oil na wamekuta oil inasoma...99% waliokula kitu cha kimasihara wamekula mate...99% Wamepiga story mbili tatu kabla ya kula kimasihara... 99% wameoga baada au kabla ya kula kitu cha kimasihara... 90% wamepiga dogy style... Wakuu tuendeleeni kula kimasihara..

Sent using Jamii Forums mobile app
90% wamepigwa BJ kwa ufundi wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamin hii story haijafika mwisho kwa sababu mbili!


How you met your wife.......hapo hujafika point ya kuelezea ulikutana nae vip though kwa mbali sana naamin ni mtoto wa boss ndo ulikuja kumuoa kwa sabab kuna mahali umesema mwanzo wa mahusiano yako na boss yaliyochukua mda mrefu kuja kuvunjwa na binti [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app

pia mi mwenyewe nimetafuta sana sehemu jamaa alipomaliza story hamna kitu naona kaiacha juu juu
 
My girlfriend alitaka kuniacha sababu
ya huu uzi.

Ipo hivi, majuzi kati nilipost kula kimasihara kwa mtoto wa kirangi kitoka kondoa, nilielezea kila kitu kuhusu mazingira yalivokua na hadi kumla yule mtoto wa kirangi.

sasa jumapili ya juzi kulikua na ubatizo hapa kwa jirani, watu kibao walialikwa na sisi tukiwemo, tukanywa pombe chakali, jirani akaomba nimsindikize anapowarudisha wageni stand kwa gari yake ili asiwe pekeake kwny gari, kwa vile nimelewa, nikampa simu yangu wife aingie nayo ndani adi nitakaporudi.

sasa tumekwenda kusindikiza wageni, safar zikawa ndefu na huyu jirani yangu, tumezagaa hadi sa saba usiku,

nilivorudi home, wife akanambia kaoge kwanza ndo uje ulale, aiseee, nimetoka kuoga nakuta wife ameamka na amekaa,
kumbe kasoma kile kisa chote cha kumla yule mrangi kimasihara na ameshamjua ni yupi mana aliweza kuunganisha doti.

nimeyumba sana, nimejitetea sana japo nimekataa kabsaaaa kua nimemla yule mdada, amenisamehe kwa sababu ananipenda ila nimeumia sana kumuumiza mwanamke wangu, najisikia vibaya sana, nimejiona mpumbavu sana aiseeee.

imenidi nifute coment zangu zote huko juu kuhusu kula kimasihara ili maisha yaende kwa muda huu.

amenisema hadi nimejiona mjinga, nilikua mdogo kama piliton, nimekosa adi ujasiri wa kumtazama usoni, thou she is okei now but mimi nafeel guilty sana.

najuta kufanya vile, najuta kwnn nilimuachia sim yangu wakati sipo nae,.

tuwe makini wanazengo, tuheshim mahusiano yetu.

play safe, love life.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usijututie kwa nn uliacha simu jutia kwa nn ulimfanyia ivo mkeo [emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom