Sasa mkuu umezama chumvini zaidi ya dakika 20 alafu kutiana unavaa buti ili kujikinga na nini sasa mimba au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahah..hawajuibkuwa watu na heshima zao wameweka kambi hapa Na wamesaini kabisa kwenye kitabu cha mahudhurio na matukio japo kwa ID zingine.
Achana nao
 

Hii tunaita ''Real Recognizes Real''
Tripple R
 
Sijawahi kulika kimasihara...nenda ukanitag
We danganya tu. Anyway kwanza umenifurahisha kusema wazi mwanamke analika. Sasa iko hivi, unaweza kuwa wewe unamwazia mtu hafu mkalana ki simple tu wakati kuna mtu kila siku unamtukana yaani hata sms yake hutaki kuiona lakini akija unayemtamani unaachia goli bila nguvu ya ziada.
 
Kweli mkuu kuna watu wana kipaji cha kusimulia kama huyo mdau, tukio linaweza kua lilelile tatizo jinsi ya kusimulia stori yenyewe, kwa hiyo usiwalaumu mabaharia maana sio wote wenye vipaji vya kusimulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimependa makeke ya bos Rona history yako haichosh kusoma kbs
 
Samboko mwananangu nimeanza na huu uzi toka mwanzo.

Nimesoma comment zote mpaka vituo

Sina nia ujisikie vibaya wala nini ila kaa ukijua kwamba tunajua kabisa story zako ni za uongo

Mbaya zaidi uongo wako wa kitoto sana
Jambo usilo weza kwa kawaida ni gumu mnoo kwako bahati mbaya linakua jepesi sanaaa kwa anae liweza

Mazingila mkuu ndo kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mna roho mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilikuwa 8 japo 3 za offside, Nyansoo ndio alipiga zaidi ya 12.

James Jason
Mbona hukusimulia rematch yako na nyasoo?
Yaani ile stori yako unaweza kutengeneza series maana kila hatua ni kisa cha kuvutia.
Na habari ya Patterson pia ni kisa kingine kitamu sana.
Nakuombea mafao yachelewe kidogo umalizie hizi simulizi mkuu,JUST KIDDING
 
Dah nimefurahi sana kupata kongole kutoka kwako mkubwa. Endelea kutupatia elimu na burudani mzee wangu, mm pamoja na wenzangu wengi nafuatilia kwa karibu sana uzi wako na Hamida.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rematch na Nyansoo haikuwa kimasihara, hata kwa Sue pia. Ndiyo maana sijaweka hapa.

James Jason
 
Mhmh huyu demu sio A......?... alikua mwembamba primary now kawa bonge

Mhmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…