Nilijua nakula mimasihara na leo kumbe....
Wanajanvi leo yamenitokea puani, nimekutana na mmt mkali age 20yrs nikaomba namba kuendeleza stry kaniambia mgeni mjin , anafanya kazi ya kushona nguo.
Bas tukachana huku tunachat kumuliza unakaa wapi akanambia amepanga, ikabid nimuombe niende kwake nikitegemea kula kimasihara.
Mtt kajibu kiulain na fasta akaniambia watu wakipungua uje.
Mida ikafika nakuta msg na missed call kibao anasema njoo mm.mnara ukasoma 4G ukizingatia mtt mbich halafu ana chura hatar.
Nikafika geto lake liko poa japo room moja, stry zikawa nying. Nikaona nachelewa nikanza matouch uuuh hapo ndio kisanga kilianzia...kumbe demu kamalaya kanajiuza kwa style hio
View attachment 1362271View attachment 1362272