Hakuna muendelezo tena kaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa umenikumbusha mbali. Niliwahi kuitwa kwenye interview; sehemu ya kukutana ilikuwa Holiday Inn. Tulikaa hapo nje karibu na parking. Asikuambie mtu yule dada alikuwa ni mzuri balaaa wakati naulizwa maswali akili ilikuwa imehama kabisa. Nilivyotoka nikamsimulia jamaa yangu moja kuwa ikitokea nikakosa hiyo kazi hasishangae maana akili yote ilihamia kwa huyo bidada badala ya interview.

Jamani ma HR wakike muwe mnavaa vizuri mnatupa wakati mgumu kwenye interview

God save us
 
Aisee huu mchezo hapo kwenye kubana utoe nje ndio shughuli, lakini wengi wao siku hizi wanapenda kweli hako ka style ka kuwa on top yani friction yake hapo ni chapuuuu wazungu hawa.
 
Naona umejimaliza
 
Ilikuwaje ulifukuzwa kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Holiday in iringa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wengine tumekutana na mikasa mambo kibao tu mpaka hapa tulipo sasa
Kama ni kula matunda KIMASIHARA tumekula mengi tu kwa aina na njia tofauti tuna mikasa matukio mengi tu
Lakini nashangaa tukileta ushuhuda MTU anasema ni CHAI uongo mpaka MTU unavunjika moyo kuleta shuhuda zingine

SASA NINGELETA YA KULA MAITI KIMASIHARA KUNA MTU ANGEBAKI HUKU
Tupeni Uhuru wa kujieleza jamani tuseme CHAI uongo kwa faida ya nani
Mimi natoa SHUHUDA za kweli ni mambo yaliyonitokea kweli au vibaya kushare nayi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh tupe hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa poa Sana Kama ungepanda gari kwenda Lindi kumtafuta Rose,haijalishi umepita muda gani cha msingi upate feedback ya alipo kwa Sasa,nadhan itapendeza,inawezekana barua Zako hakuwahi kuzipata hivyo Basi naamini Kuna taswira yako inamtesa moyon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…