Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ndio maana aliyeniambia nitoe darasa nimemwambia "mimi" hufanya hivyo na sijui kwa wengine na mwishoni nimemwambia ajaribu ikimfaa kwa matumizi ni sawa, nilijua tutatofautiana. Pia kuna sehemu nimetaja baadhi ya style ambazo hazitafaa ili kuunganisha bao so sioni pa kubisha naeleza kile nichofanya kwa shemeji yako pia. Soma vizuri kuna sehemu nimeweka tahadhari. Hata hivyo kila mtu ana namna ya kuenjoy so hakuna formula ya kudumu ni wewe tu mkuu kujimwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

God save us
 
Huu uzi umefanya niblock ME 😀 nikiona tu ananiletea story hazieleweki namsindikiza na block.
Kwenye Hiace muda wote Niko na earphones, kama amekaa ME pembeni nitakuwa busy na simu....huwa siko confortable kuongea na stranger.
kama Sir God ameniandikia Mume wangu nitakutana nae kwenye hiace au barabarani basi huyo nishamkosa

Inshort naogopa kukutana na wala kimasihara, wazee wa touching 🙌 maana inaonekana mko na mbinu konkii mno
Mi sina dhamira ya kukupata kwenye hiace au barabarani, chora location nikufuate chap tuyajenge.
 
Duh mi hata sikupi pole! Angalau ungekuwa ulilika kimasihara ningekupa pole!
Ila ina utamu wake maana mnakuwa hajapanga wala kudhamiria! Yaani kunusurika tu unalia?
Sasa ungeliwa sindio ungezimia kabisa!?
Sijawahi asee na sitaki nije kushiriki hayo masihara.
Ila nilishawahi kunusurika kulika [emoji3] hiyo siku nililia, nikajifunza kutokuwaamini wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes! Baada ya huu uzi naona wengi wanapanga kabisa kula kimasihara!
Ninachojua kimasihara wote me na ke mnakuwa hamjapanga! Yaani ni ile pasipo kudhamiria mnajikuta tu ishaingia!
Haha!!
Ukishaplan ujue inakuwa sio kimasihara tena? Hapo kimasihara labda iwe kwa yule KE atakaelika bila kutegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umefanya niblock ME [emoji3] nikiona tu ananiletea story hazieleweki namsindikiza na block.
Kwenye Hiace muda wote Niko na earphones, kama amekaa ME pembeni nitakuwa busy na simu....huwa siko confortable kuongea na stranger.
kama Sir God ameniandikia Mume wangu nitakutana nae kwenye hiace au barabarani basi huyo nishamkosa

Inshort naogopa kukutana na wala kimasihara, wazee wa touching [emoji119] maana inaonekana mko na mbinu konkii mno
Nakuhakikishia utaliwa kimasihara hutokaa uamini.
Tena unaweza kwepa kwenye hiace ukaliwa kwenye bodaboda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona hujamalizia mzee baba...
emu tuqmbie izo tabia ulizojifunza na hayo madhara mzee baba...
Hapa nipo mkoa fulani nikisubiri usafiri wa kwenda vijijini. Kwa kuwa nina mda wa Massa 2 kusubiri usafiri naomba nitimize ahadi yangu ya kumla boss kimasihara.

Ilikuwa mwaka 2008 nilihamia mkoa X kikazi baada ya mda nikaamua kuacha kazi serikali ni na kujiunga shirika binasfi. Hapo kazini Director alikuwa ni binti wa mmiliki wa kampuni hivyo maamuzi yote alikuwa wanafanya huyo Dada.

Huyu dada kiumri alikuwa ananizidi miaka kama 3. Alikuwa ni mrembo kama member moja humu mrefu mweupe guu la bia na kiuno kama nyigu.

Kufupisha story ili nisiwaboe kwani siko vizuri kwenye uandishi; huyu Director akiweka kanuni kuwa ni mwiko kuwa na mahusiano ya kimapenzi baina yetu ofisini.

Baada ya miezi kadhaa tulipata staff mpya kutoka +254 yule dada alikuwa mzuri uzalendo ukanishinda. Ikabidi nimpe sound mrembo. Alinikubalia ila akawa anaogopa Kwani tulikuwa tumesha taarifa wa kuwa ikibainika kuna staff wana mahusiano kazini itabidi moja aachishwe kazi na moja abaki. Hiyo ilinibidi nimwambie tufanye kwa siri na tukiwa ofisini tusijuane.

Zoezi la kutojuana ofisini lilifanikiwa na binti wa watu alikuwa akikosea kazini nilikuwa namwajibisha utadhani simjui.

Baada ya miezi kama 5 ikaja gundulika kuwa namgegeda huyo mdada. Hili nililisababisha mimi maana kuna story nilisimulia boss akaunganisha vidot. Ilikuwa siku ya jumapili nimejilaza kwenye kochi simu ikaita kuangalia ni boss lady.

Kupokea simu nikasikia, "yaani wewe ni mshenzi kweli kweli mda wote huu ulikuwa una mgegeda N bila kujulikana?

Wewe ni noma"

Sasa hapa mwanaume kiroho kikawa kinanidunda nikijua kuwa nimeshamharibia mkenya wa watu kazi maana kulingana na nafasi niliyokuwa nayo pale kazini nisingeweza kufukuzwa.

Kesho yake ikafika tukiwa ofisini boss lady ajamwambia GM aitishe kikao cha dharula. Hapo mwanaume mapigo ya moyo yanaenda mbio.

Mda wa kikao ulipofika GM akaongea mimi kama Asstant wake sikupewa nafasi. Boss lady akaanza kuongea; kasema anayosema alipotaka kusema juu ya jambo langu pressure ikampanda ikabidi apelekwe kwenye chumba fulani hapo ofisini apumzike.

Kitendo cha boss kupata pressure kilimpa nafasi shetani anishawishi niende huko kumuona boss chumbani na ni weke wazi kuwa nilikuwa namzimikia mda mrefu tu. Nilijitahidi sana lakini nilishindwa kwenda baada ya masaa 2 nikaamua kujilipua; mwanaume nikanyanyuka nikaelekea alipopunzika boss bahati mbaya sijui nzuri nikakutana nae ndio anarudi ofisini. Nikamwambia pole boss vipi shida nini? " akasema yaani wewe nilitaka kuanzisha ishu yako presha ikanipanda; sijui nilipata wapi ujasiri nikajikuta nimemshika mkono akatulia nikamwambia basi kwakuwa ni mda wa kwenda nyumbani nitakuja jioni kukujulia hali. Akakubali.

Ilivyofika jioni kidume nikajisogeza kwa boss kuingia namkuta yuko sebuleni na kanga. Nikakaa tukaanza kupiga story. Mara akamuita dereva akamtuma aende anunue grants na kuku choma (kipindi hicho grants ndio ilikuwa kinywaji changu pendwa ilikuwa inauzwa 17000/=)

Dereva alipoondoka tu kahoro kakaniambia fursakibao tukilimpasa kabla dereva hajarudi. Basi mwanaume nikajisogeza kwa boss nikamshika paja Toto la kinyamwezi likaka kimya nikapeleka mikono kusini nikakuta hakuna kufuli. Hapo ndio nikachizi nilijikuta nazama uvinza ghafla baada ya dakika kadhaa nikauchomeka ile nasukuma kama Mara nne ghafla derava huyo. Ikabidi niairushe zoezi. Nikala kuku ni kapiga grants nikaishia zangu.

Sasa kakawa ndio kamchezo kangu nikaendekea kumgegeda boss.

Kupitia kwake nilipata kuzifahamu tabia za wanawake. Wanawake sio watu wazuri kabisa.

Mwisho nitoe angalizo: kumla boss mwisho wake sio mzuri. Hivyo nawapa tahadhali vijana iwe kimasihara ama kwa kudhamiria msile ma boss zenu.

Kuna mtu aliniomba nimtagi lakini sikumbuki ni nani.

God save us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK ngoja nami share yangu kidogo..
Nilienda kufuatilia huduma kwenye taasisi ya bima, nilihudumiwa ofisi moja nikaelekezwa kwenda ofisi nyingine nikakamilishe kila kitu ..Aise nilikutana na karibu ya binti mmoja mrembo sana ki gentlemen nikatoa tabasam la mbali nikamueleza shida yangu akaanza ishughulikia, wakati huo akili yangu inawaza kweli hapa naondoka hivi hivi... Hapo watu wengine wanasubiri kuhudumiwa pia, baadae akanipa ki karatasi nimuandikie details zangu alizokua akizihitaji.. Niliandikia nilivyo maliza nikageuza karatasi upande mwingine nikaandika " You smell so good Miss, You're very beautiful too. I almost like you, please find me ".Nika smile nikampatia karatasi. Nilifanya hivyo nikijua akitaka nitafuta namba yangu ya sim ataipata kwenye details zangu, mwisho nikaondoka.

Baada ya kama siku tatu hivi jmosi ikaingia sms namba mpya "Thank you" Nikajibu You're welcome japo sijajua ni nani. Akajitambulisha ..tukapena salam nikamkatisha kwenye chatting nikamuhaidi nitamtafuta baadae kidogo hiyo ilikua ni asubuhi, mida saa 10 jioni nika mtext "hey" akajibu "What's up" baada ya text tatu nikamwambia "Please let me see beneath your beautiful" alikuja jibu kama baada ya saa moja na nusu hivi, sms moja yenye line kama 8 hivi kifupi alisema naonekana mdogo ila na confidence sana, jinsi alivyo andika ile sms sikutaka kuijibu haraka haraka niliona nimpe muda kidogo.

Baada ya dakika kumi nyingine akanitext " Let me play this crazy game, send me location. " Tulikutana kwenye Lodge moja ya kiwangu cha kuridhisha..and It was a very great day... She is beautiful with very fine body.

Jpili asubuhi kwenye saa nne nikamwambia twenzetu nina mishe naenda fuatilia town akaniambia "Noo naomba niwe nawe pia kwa leo kama wewe ulivyo omba kuona uzuri wangu nitalipa bill" nikaona isiwe tabu nikamuga naenda town kama saa 1 hivi nitakua nimerudi. Nilivyo rudi nilikuta ame oda chakula kizuri sana na Alta wine.

Hatukutoka ndani mpaka jtatu alfajiri akaenda kujiandaa awahi kazini. She is one of a greatest girl I ever met, she don't talk much.

Basi ndio ulikua utaratibu wetu kila weekend, mpaka nahama huo mkoa. Sikuwahi muuliza kama ana mpenzi wala hakuwahi niuliza kama nampenzi. Hope she is doing ok.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyo jembe aliyepiga tako 23 akasema ni bao 23 si mchezo...hajaiwahi kutokea hiyo...

Enzi zangu naanza haya mambo ..first day i lost my virginity kwa tako moja na nusu (1.5) tu nimeshamailiza nimetoa macho tuu..nahema kama nimetembea 10km kwenye jua kali...siamini kilichotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes! Baada ya huu uzi naona wengi wanapanga kabisa kula kimasihara!
Ninachojua kimasihara wote me na ke mnakuwa hamjapanga! Yaani ni ile pasipo kudhamiria mnajikuta tu ishaingia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely...ila hapa naona watu wengi wanachanganya files tu.
Halafu kingine watu wanasahau kuhusu huruma + genye. Unaweza hisi umemkula KE kimasihara kumbe mwenzako amekuonea huruma tu au alikuwa na hamu zake
 
Back
Top Bottom