OK ngoja nami share yangu kidogo..
Nilienda kufuatilia huduma kwenye taasisi ya bima, nilihudumiwa ofisi moja nikaelekezwa kwenda ofisi nyingine nikakamilishe kila kitu ..Aise nilikutana na karibu ya binti mmoja mrembo sana ki gentlemen nikatoa tabasam la mbali nikamueleza shida yangu akaanza ishughulikia, wakati huo akili yangu inawaza kweli hapa naondoka hivi hivi... Hapo watu wengine wanasubiri kuhudumiwa pia, baadae akanipa ki karatasi nimuandikie details zangu alizokua akizihitaji.. Niliandikia nilivyo maliza nikageuza karatasi upande mwingine nikaandika " You smell so good Miss, You're very beautiful too. I almost like you, please find me ".Nika smile nikampatia karatasi. Nilifanya hivyo nikijua akitaka nitafuta namba yangu ya sim ataipata kwenye details zangu, mwisho nikaondoka.
Baada ya kama siku tatu hivi jmosi ikaingia sms namba mpya "Thank you" Nikajibu You're welcome japo sijajua ni nani. Akajitambulisha ..tukapena salam nikamkatisha kwenye chatting nikamuhaidi nitamtafuta baadae kidogo hiyo ilikua ni asubuhi, mida saa 10 jioni nika mtext "hey" akajibu "What's up" baada ya text tatu nikamwambia "Please let me see beneath your beautiful" alikuja jibu kama baada ya saa moja na nusu hivi, sms moja yenye line kama 8 hivi kifupi alisema naonekana mdogo ila na confidence sana, jinsi alivyo andika ile sms sikutaka kuijibu haraka haraka niliona nimpe muda kidogo.
Baada ya dakika kumi nyingine akanitext " Let me play this crazy game, send me location. " Tulikutana kwenye Lodge moja ya kiwangu cha kuridhisha..and It was a very great day... She is beautiful with very fine body.
Jpili asubuhi kwenye saa nne nikamwambia twenzetu nina mishe naenda fuatilia town akaniambia "Noo naomba niwe nawe pia kwa leo kama wewe ulivyo omba kuona uzuri wangu nitalipa bill" nikaona isiwe tabu nikamuga naenda town kama saa 1 hivi nitakua nimerudi. Nilivyo rudi nilikuta ame oda chakula kizuri sana na Alta wine.
Hatukutoka ndani mpaka jtatu alfajiri akaenda kujiandaa awahi kazini. She is one of a greatest girl I ever met, she don't talk much.
Basi ndio ulikua utaratibu wetu kila weekend, mpaka nahama huo mkoa. Sikuwahi muuliza kama ana mpenzi wala hakuwahi niuliza kama nampenzi. Hope she is doing ok.