joel philipo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 242
- 180
[emoji28]Mzee wa kula dada jambazi. .baby jini. .ndugu mchawi. .sister mwizi safari hii bila shaka itakuwa story ya kula devil mwenyewe lusifer
Kwa hiyo na nyie mmeanza kuliwa ki masihara? Toa ushuhuda kamiliNimeliwa kimasihara wiki iliyopita, Baada ya Mechi ya yanga kuisha, nilichanika nilikaa ndani siku 3 [emoji24][emoji24][emoji24], nilikutana na mguu wa mtoto
Ilo jamaa ni dume na Cha ajabu ana ID moja maarufu sana humu jukwaani sijajua anafaidika nini kuwa na ID ya kike
Ahahaaaa...! Hebu niambie mkuu huu uzi uko namba ngapi? Ametia folailikuwaje hii muendelezo aisee sikuona kabisa aisee?
#3,425Ahahaaaa...! Hebu niambie mkuu huu uzi uko namba ngapi? Ametia fola
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani namtafuta sana huyo I see. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Huyo ndio bingwa wa kula kimasihara. Hebu niambie mkuu iko namba ngapi yeye kama yeye? Maana nimeisoma juu ya nyinginehivi yule aliyekula chiiz alikuja kumalizia? nitag niisome
IM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Post ujinga baniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]IM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha ha... Achaa tu mkuuMkuu rikiboy ,ulipokuwa jela umekula ngapi kimasihara?
Kwa heshima ya RIKIBOY kwa kutoka kifungoni kuwa huru
Nitafanya kama zawadi au kumpongeza ndugu yetu
Nitashusha ushuhuda ambao nilikuwa nikiuficha na kuulinda kwa mda kidogo
Kama wewe ni mpenzi wa huu Uzi utakiwi kukosa ni kosa kisheria
Hii itawajia Leo ndio Leo kwaiyo mda saa yoyote kitashuka kitu
Kama shukrani kumkalibisha tena ndugu yetu
Naludia hutakiwi kukosa huu ushuhuda
Haa ha ha noma sana mkuu jina limevuka mipakaa.kaka naona sasa PM yako Imejaa namba za watu kibao maana umekuwa star boy hadi Kenya
nimelikuta jina lako chuo kimoja flani hivi Kenya kwa wanaosoma hicho chuo wanajua huyu riki boy jina lake limeandikwa sehemu gani ha ha
kuna demu pia eti aliniomba namba zako si unajua tena nilijifanya nakujua kindakindaki mzee ha ha
nahisi kupitia wewe lazima nitamla Yule demu
Mtunza mazingira
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu leta kesi izooduuh umerudi mzee Nina mengi kukushitakia
[emoji1787][emoji1787][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491]
Welcome back broIM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15] pole sana bibieNimeliwa kimasihara wiki iliyopita, Baada ya Mechi ya yanga kuisha, nilichanika nilikaa ndani siku 3 [emoji24][emoji24][emoji24], nilikutana na mguu wa mtoto
Karibu .IM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikupiga ban ya muda gani?