Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mkuu juma p maharage nakutafuta,kuja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...! Wewe ndio umetia fora mkuu. Ilikuweje muendelezo baada ya kumla yule chizi?. Halafu kwa maelezo yako hakuwa chizi,huyo alikuwa spy sema alikuelewa,halafu alikaukiwa. Sio kwamba alikuwa ana-kuspy wewe!. Ila alikuwa na kazi nyingine tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa heshima ya RIKIBOY kwa kutoka kifungoni kuwa huru
Nitafanya kama zawadi au kumpongeza ndugu yetu
Nitashusha ushuhuda ambao nilikuwa nikiuficha na kuulinda kwa mda kidogo
Kama wewe ni mpenzi wa huu Uzi utakiwi kukosa ni kosa kisheria
Hii itawajia Leo ndio Leo kwaiyo mda saa yoyote kitashuka kitu
Kama shukrani kumkalibisha tena ndugu yetu
Naludia hutakiwi kukosa huu ushuhuda

Poa tunaandaa na vitafunwa kabisa maana chai zako
 
kaka naona sasa PM yako Imejaa namba za watu kibao maana umekuwa star boy hadi Kenya

nimelikuta jina lako chuo kimoja flani hivi Kenya kwa wanaosoma hicho chuo wanajua huyu riki boy jina lake limeandikwa sehemu gani ha ha

kuna demu pia eti aliniomba namba zako si unajua tena nilijifanya nakujua kindakindaki mzee ha ha

nahisi kupitia wewe lazima nitamla Yule demu

Mtunza mazingira
Haa ha ha noma sana mkuu jina limevuka mipakaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom