Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Pendekezo,,,,kutokana na huu Uzi wa kura tunda kinasihara kuwa na wadau wengi(wahanga na wachangiaji)napendekeza tungepanga siku ,mda na tarehe ili wadau wote tukutane tumpongeze kwa kumpatia nishani bwana liki boy ambaye ni muanzilishi wa Uzi huu,,pili tuwapatie tuzo kwa yule bwana wa how I meet wit my wife,,,2)yule aliyekula kichaaa3)yule mzee wa Lindi aliyesafir ndan ya meli toka dar to Lindi 4)na yule aliyekula Dada jambazi na aliyekula mchawi..hawa ndio men of the Uzi.baada ya hapo tutafanya hafla fupi itakayoambatana na vyakula na vinywaji kisha tutaendelea kulana kimasihara hapo hapo ukumbini kwenye hafla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baharia amekula kichaa kimasihara unamwachaje kwenye tunzo mkuu

Inapendeza sasa wa huku mikoani inakuwaje tutakutana wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuacha sio rahisi, pumzika tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja nkwambie kitu kama upo adicted na kitu tafuta kitu kingine cha kufanya cha kukuweka busy, mambo mengine kweli yanatokea naturally ila mengine ni kujiendekeza tu mkuu ntajitahid, japokuwa ni ngumu ila ill do my best,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
All the best mkuu, wengi huacha wengi hupunguza, ila Kama umeoa Ni nzuri zaidi

sijaoa ila naelekea huko napunguza mkuu na hela zangu zingine zitabak salama unajua kuiendesha hiyo michakato na yenyewe huwa gharama kidogo hata kama ni kuchakata kimasihara

Gharamq sana.Mwenyewe kuna time nilikaa nika analyze nikaona nagharamika sana kwa vitu ambavyo tayar nishagharamia na kuweka ndani..sitaki tena
 
Pendekezo,,,,kutokana na huu Uzi wa kura tunda kinasihara kuwa na wadau wengi(wahanga na wachangiaji)napendekeza tungepanga siku ,mda na tarehe ili wadau wote tukutane tumpongeze kwa kumpatia nishani bwana liki boy ambaye ni muanzilishi wa Uzi huu,,pili tuwapatie tuzo kwa yule bwana wa how I meet wit my wife,,,2)yule aliyekula kichaaa3)yule mzee wa Lindi aliyesafir ndan ya meli toka dar to Lindi 4)na yule aliyekula Dada jambazi na aliyekula mchawi..hawa ndio men of the Uzi.baada ya hapo tutafanya hafla fupi itakayoambatana na vyakula na vinywaji kisha tutaendelea kulana kimasihara hapo hapo ukumbini kwenye hafla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una taarifa za Corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nkwambie kitu kama upo adicted na kitu tafuta kitu kingine cha kufanya cha kukuweka busy, mambo mengine kweli yanatokea naturally ila mengine ni kujiendekeza tu mkuu ntajitahid, japokuwa ni ngumu ila ill do my best,

Sent from my iPhone using JamiiForums
Inawezekana sana mbona mi nimeweza

God save us
 
Back
Top Bottom