Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jukwaa la wambea ndio unatakiwa uwepo huku unafata nn wewe mwanamkeChai
Achezee wa wenzake aje apate mke mwema? FyuuuuUamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Hongera kwa kuamua kuachana na ubaharia...Kila la heri mkuu. Nakuombea upate mke mwema uliyeandikiwa na Mungu....
TruChai
Nyie mgeoana tu na hance maana wote ni wambea tu sijui huwa mnafata nini tu kwenye huu uziT
Tru
oommmkbk98798i6u98joy7uu98h8i8i9j8Chai
labda ila nlishamwachia aende kwa jamaake na kamenitext good night sasa ivi, daah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante boss ni kusali na kuomba tu, mambo mengine nimeacha vijana waendelee tunappkezana kijiti aisee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna baharia amekula kichaa kimasihara unamwachaje kwenye tunzo mkuuPendekezo,,,,kutokana na huu Uzi wa kura tunda kinasihara kuwa na wadau wengi(wahanga na wachangiaji)napendekeza tungepanga siku ,mda na tarehe ili wadau wote tukutane tumpongeze kwa kumpatia nishani bwana liki boy ambaye ni muanzilishi wa Uzi huu,,pili tuwapatie tuzo kwa yule bwana wa how I meet wit my wife,,,2)yule aliyekula kichaaa3)yule mzee wa Lindi aliyesafir ndan ya meli toka dar to Lindi 4)na yule aliyekula Dada jambazi na aliyekula mchawi..hawa ndio men of the Uzi.baada ya hapo tutafanya hafla fupi itakayoambatana na vyakula na vinywaji kisha tutaendelea kulana kimasihara hapo hapo ukumbini kwenye hafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapendeza sasa wa huku mikoani inakuwaje tutakutana wapi?Pendekezo,,,,kutokana na huu Uzi wa kura tunda kinasihara kuwa na wadau wengi(wahanga na wachangiaji)napendekeza tungepanga siku ,mda na tarehe ili wadau wote tukutane tumpongeze kwa kumpatia nishani bwana liki boy ambaye ni muanzilishi wa Uzi huu,,pili tuwapatie tuzo kwa yule bwana wa how I meet wit my wife,,,2)yule aliyekula kichaaa3)yule mzee wa Lindi aliyesafir ndan ya meli toka dar to Lindi 4)na yule aliyekula Dada jambazi na aliyekula mchawi..hawa ndio men of the Uzi.baada ya hapo tutafanya hafla fupi itakayoambatana na vyakula na vinywaji kisha tutaendelea kulana kimasihara hapo hapo ukumbini kwenye hafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nkwambie kitu kama upo adicted na kitu tafuta kitu kingine cha kufanya cha kukuweka busy, mambo mengine kweli yanatokea naturally ila mengine ni kujiendekeza tu mkuu ntajitahid, japokuwa ni ngumu ila ill do my best,
Sent from my iPhone using JamiiForums
All the best mkuu, wengi huacha wengi hupunguza, ila Kama umeoa Ni nzuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ..waoane ili wawe MAN UNITED maana hili li Bushmamy naskia ni li dume na lina ID maarufu tu humu mbali na hii ya kikeNyie mgeoana tu na hance maana wote ni wambea tu sijui huwa mnafata nini tu kwenye huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharamq sana.Mwenyewe kuna time nilikaa nika analyze nikaona nagharamika sana kwa vitu ambavyo tayar nishagharamia na kuweka ndani..sitaki tenasijaoa ila naelekea huko napunguza mkuu na hela zangu zingine zitabak salama unajua kuiendesha hiyo michakato na yenyewe huwa gharama kidogo hata kama ni kuchakata kimasihara
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu una taarifa za Corona?Pendekezo,,,,kutokana na huu Uzi wa kura tunda kinasihara kuwa na wadau wengi(wahanga na wachangiaji)napendekeza tungepanga siku ,mda na tarehe ili wadau wote tukutane tumpongeze kwa kumpatia nishani bwana liki boy ambaye ni muanzilishi wa Uzi huu,,pili tuwapatie tuzo kwa yule bwana wa how I meet wit my wife,,,2)yule aliyekula kichaaa3)yule mzee wa Lindi aliyesafir ndan ya meli toka dar to Lindi 4)na yule aliyekula Dada jambazi na aliyekula mchawi..hawa ndio men of the Uzi.baada ya hapo tutafanya hafla fupi itakayoambatana na vyakula na vinywaji kisha tutaendelea kulana kimasihara hapo hapo ukumbini kwenye hafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana sana mbona mi nimewezaNgoja nkwambie kitu kama upo adicted na kitu tafuta kitu kingine cha kufanya cha kukuweka busy, mambo mengine kweli yanatokea naturally ila mengine ni kujiendekeza tu mkuu ntajitahid, japokuwa ni ngumu ila ill do my best,
Sent from my iPhone using JamiiForums