Kubadili profile haizuii kuonekana wewe ni punga. Kubwa ni kukuweka blacklist angalau nisikuone.
 
naona msabato wa bwana ulikula tunda kimasihara

@military_Genius
 
kijana una wenge
@military_Genius
 
Duh mzeee baba wewe ni strategist saana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnazingua wengine hata sio kula tunda kimasihara yangu mnapangana kabisa unatongoza kabisa unaenda kula kwa miadi yenu alaf unasema ni tunda kimasihara ...kula tunda kimasihara ni ile buukuba mtoto huyo hapo unatekenya kwa kidole mtoto anaitika unapeleka moto ..au mko seblen wawili mnaangaliana unasogea unashika kiuno staki nataka unapeka moto ..sasa wee unakula kimasihara wiki nzima unafukuzia weeeee wiki ya pili ndio unapewa mzigo alaf unasema umekula kimasihara hebu kuweni serious kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni nan hata ukaanza kutupangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chabo tulikua tunapigia half mile kule eti 2004 tulikua tunaita acapulco
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…