G alikukula kimasihara, ukagundua ana kibamia, ila bado ukawa unataka kuwa karibu naye yeye akawa anakupotezea ukawa unaumia mpaka ulipompata mr Right. Mpaka leo unamuonea huruma mke wa G ambaye si wewe na unahisi anamvumilia sana. In short G utaendelea kumkumbuka mpaka unaingia kaburini.
 
Niseme tuu hii nimeipenda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story yako inakera sana
Iweke akilini ulichmtenda huyo demu
Karma ipo njiani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2014,nimeenda iringa kwenye graduation ya mdogo wangu.Sasa kuna best friend wangu wa kitambo sana(Ke),ambaye alikuwa anaishi iringa,nilivyomwambia nipo tu akasema nifanye hima nikamsalimie,maana tulikuwa hatujawahi kuonana takribani miaka 5 hivi....

NILIVYOKULA TUNDA KIMASIHARA SASA!!

Alinikaribisha kwake nikakuta kapika ugali na samaki pale,na akaniambia lazima nile!!Baada ya dakika kadhaa akaniambia nifuate chumbani,kimoyomoyo nikasema best friend kulikoni tena!!Kufika ndani tukakaa bed,akaanza kunivua viatu,nilikuwa nimevaa single button coat likavuliwa pia,nikaona nijiongeze tu,nikajikuta namkiss,ebanaa weeh,nilipewa mauno ambayo sitakuja yasahau maishani,kumbe alikuwa na genye kitambo sana na ile baridi ya iringa ilikuwa ni surprise day kwangu..Baada ya hapo ikawa nikihitaji tu nakumbushiaa!!
 
Hahah, kuna mwana mmoja (jina kapuni) alijikuta yupo upande ule wa pili wa ukuta wanakooga wale wasichana wa primary Lyalamo, sijui alinogewa au ndio alikuwa anavizia, manaake rule No.1 ya chabo ilikuwa ni kutovuka ukuta, otherwise kwa makubaliano maalum. Wale wasichana si wakapiga kelele mara mlinzi wao huyu hapa, mlinzi alikuwa rasta mmoja kajaa kweli, mbavu nene mithili ya The Rock wa Fast and Furious. Akamshikisha kichapo cha maana,
mida ya saa mbili hivi ndio tupo asembo na headmaster anatoa speech pale jamaa ndio analetwa live.
Aisee ilikuwa ni aibu lakini kwa kuwa ni boys mabaharia tulitafsiri ile kama ni ajali kazini, basi ndiyo jamaa alivyo pigwa sanspaa na kuhamishwa shule mazima na tukapata hasara ya kumpoteza goalkeeper wetu namba moja wa shule.
Boys bwana
Chabo tulikua tunapigia half mile kule eti 2004 tulikua tunaita acapulco

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umepiga Tosa pale
 
Kuna msichana mwingine ametoa ushuhuda wa kuliwa kimasihara kama wewe. Good ingawa umetumia ID mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo dada mwingine aliyetoa kisa chake cha kuliwa kimasihara ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliowala kimasihara wote hatukupanga Wala hatukuwa wapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…