wala tunda kimasihara wengi

walevi
wanafunzi chuoni
waliomaliza advance /olevel
watu wa kujirusha
watu wa kusafirisafiri
Mbona me sio mlevi, sio mwana funzi . Na Tunda kimasihara nilikula tu mambo ya mapenzi . Unaweza kuwa hata engineer na ukala tunda chochoroni au site baada ya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah.kweli hii ni jamiiforums yenye watu wenye mtazamo tofauti.
Well, here are the facts.
Nilikua mgeni kidogo kwenye mahusiano, na niliona kwavile tumeshado labda tungejenga uhusiano ila ikawa tofauti....kweli ana tiny dick, labda awe amefanya surgery baadae kama hua ipo....alijaribu kufanya mbinu nyingi na nyingine kunichafua ili awe na mimi baada ya kuona niko kwenye tight relationship..
Simkumbuki hata chembe sababu kusema ukweli tusingewezana tabia,ni mtu wa majivuno na kujikweza sana, na u.huni sana.
Ukweli kama ana mke anamvumilia mnoooooo..hiyo ni fact unless na mwanamke awe na makandokando yake..sijui kama kuna mwanamke atavumilia mwanaume mwenye kibamia, kitandani zero, halaf player na selfish, naaaaah
Simkumbuki hata kidogo...nimekuja kutoa kisa hiki sababu kuna a lesson kwa wanawake na wanaume..
 
Usikasirike mkuu, kisa chako ni kizuri ila kibamia ni wewe na yeye usimsemee mkewe maana hujui maumbile ya mkewe inawezekana mkewe anafurahia ndoa yake pamoja na upungufu wa mumewe uliousema, huyo mwanaume ni mpuuzi sana, ila najiuliza kwa nn ulitaka kuendelea kuwa karibu naye mpaka akakuumiza na wakati alikuwa na kibamia, na alikufanya ukawashwa wiki nzima? Mbona hizo sababu zinatosha kumchukia mtu?
 
Wewe ndiyo uliliwa Kimasihara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwamba wewe ndio ulikuwa na bwawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula kimasihara,

Demu wa kitaa tuu yuko na geto lake status yake nurse(EN) nikamtext saa 5 ivi akamiuliza hadi saivi hujalala tu mtoto wa mama unasubilia nn, nikasema nangalia porno watu wanavyo tiana, akasema ata ww nikasema ndio siku moja moja tunaosha macho ata kwa video

Mara unanipandisha nyege demu, nikamwambia dawa niko nayo usijali nije kukupunguzia, mara paaa njoo .
Kilicho fatia ni kuruka ukuta hadi asubui ndo niligeuka saa 12 kama mchawi vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulikuwa unaangalia pilauπŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›
 
She always nock at the main entrance , , ...and i use to open the door for her, Aged 28 while am 22, where she always come from idk, always midnight idk, .....suddenly she asks can i get your number so she wil be calling me direct without disturbing others , i do as she say....next day she calls i open , as im not used to sleep early, in the midnight she calls again she asks if i would like to watch movies with her, in a speed of light i reply yes...big yes she says come over the door is open....

I enters no one was there at sitting room, the tv was off....she says come direct to bedroom i enters she was naked .... I ask is that a movie ...she says yes , i look at her and drag her along and whisper if so i would like to watch atleast 3 or four episodes she laughs , , and shee kisses me, , , then it happens later she asks about my age ....i reply twenty 2, she laughs and she says you are naughty boy....come again ....it happens

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Je ikiwa wewe ndo una jaba la maji?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebwanaeee,,,,Haya mambo ya kula Fruits kimaskhara yamekuwa mengi sana,

Mwaka Jana mshikaji wangu alitongoza jimama Hilo hatari,sasa likampa namba wakawa wana chat,

Hilo jimama likamwambia jamaa aende weekend mana lilisema lina ishi lenyewe mitaa ya kilima hewa,na likadai mume wake alishafariki na kuhusu watoto wako shule wanakaa boarding, wakawa wana chat chat ile mbaya mpk mambo ya sex,jamaa akawa ananionyesha anajidai ile mbaya.
Nakumbuka Siku kama ya jumatano ambayo ndo ilikuwa wiki ya kwenda kumtembelea kwake weekend hyo,Lile jimama lilimwambia jamaa kuwa atafute kijana mwingine mana kuna jimama lingine linatafuta kijana,Ebwanaee jamaa akanipa ile taarifa,moyo ulilipuka Paaaaaaaah,,,,,, kama vile nimetupiwa Bomu lilitongenezwa Kwa virusi vya corona,

Pale pale nikapewa namba wazee baba,nikaanza kuchat nae,Mara akaniomba picha,nilivyo mtumia akaniuliza,wew mbona ni mdogo sana?
Nikamjibu Haina shida mtoto mzuri,sawa me ni mdogo lkn Kwa matendo yangu huwa shetan mwenyewe anakaa pembeni kushuhudia game,,,[emoji16]
Nakumbuka baada ya hiyo text alinipgia video call akicheka,Duuuh huendan na maneno yako,akasema hvo.

Siku zilienda huku tukiwa tumeshapanga tukutaniae kwenye nyumba ya yule jimama la mshikaji,

Ebwanaeee nakumbuka wiki ile nilikuwa naona kama vile haiendi mana haya majimama yalikuwa yako njema ile mbaya,ninavyo sema majimama siyo ile mijimama mitupu nyema,hapana aisee,

Nakumbuka ilikuwa ni Siku ya j pili nimeamka asubuhi tu nikakutana na text,eti tuwaandalie nin waume zetu,Nikamwuliza mshikaji,akanambia wapike ugali,akajibu duuuh mnataka mtusugue mpk tukome eti,,,!!

Mida ya saa 4 nikaenda kuchukua ndinga Kwa bro ya kwenda nayo ili kujiongezea thamani,Tukaenda mpk kilima hewa,walioko mwanza wanapajua,tukaelekezwa mpk tukafika Kwa huo mjengo,get Kali mpk nikaanza kuhis hapa kuna hatari ya kufumuliwa malinda mamake,ila mtu mzima nikajikaza tukazama mpk ndani,geti likafungwa Daaaah,Kweli wale wadada walitupokea vzr huku tumepiga pamba zile za kibishoo hasa,na tulisifiwa vya kutosha wazaz.

Tukapiga stori pale sebulen,baada ya nusu saa msosi ukaletwa tukafinya,tulivyo maliza kula,nikashangaa jimama lile la mshikaji likaanza kusema,nyie watoto sikilizen,nyie bado ni vijana wadogo sana,hii tabia ya kupenda wanawake walio wazidi umri siyo nzuri,ebu fikirien wazazi wenu wakijua kwamba sisi tunatoka na nyie watatufikiriaje,Ebu achen umalaya nyie watoto mtakuja kufa vibaya Kwa maradhi[emoji24][emoji24],muda huo hata sielewi Niko wap, yan Nipo Nipo tu huku nimeinamisha kichwa chini,waliongea vitu vingi vya kutushauri mpaka nikajuta kuzaliwa,
Ilibidi tu tuage tuondoke mana duuuh,nakumbuka wiki yote ile hata performance yangu kazin ilikuwa ndogo sana,yani nilihis kama wale wamama wametuvua nguo.[emoji29]

Licha ya wale majimama kutuchamba Siku ile ila hawakuacha kuwa wana tutext kila Siku.

Continued.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother umetisha kinoma. unajua kusimulia mzazi. yaaan unatiririka flow ya kibabe kama unatupigisha story face to face. nmesoma hii story yako nmecheka saana mwamba.
 
Kama movie vile, uandishi mzuri mno. Una kipaji na unaweza kuandika script ukapiga mpunga mrefu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngekula na makofi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…