Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Moro na Manka kimasihara tu.

Basi bwana baharia 2017 nimetoka zangu bushini hukoooo morogoro naenda zangu mjini daslamu kumsabahi bibi angu mgonjwa haswa afu navyomuhusudu bibi huyu, acha tu!! Mpira umenisumbua hatari kuanzia Mikumi mbugani feni imezingua mbovu yani laana. Imagine unaendesha gari dakika 10 inachemka basi unaegesha road side ipoe ndo ivo ivo mpaka nikafika Moro town mida imeenda kiseeera, moja kwa moja nikaenda Mogas kuirekebisha.

Kufika Mogas daktari wa mashine akaniambia huna namna baharia nnua feni mpya hii ilisha-jam na mortar imeungua!! Dah jau kweli, nikamwambia jamaa sio kesi twenzetu tukaichukue wote, lengo kupunguza loop hole ya jamaa kunipiga cha juu si unajua mafundi wetu hawa. Basi bwana tukadaka boda tukajipindua tu mpaka fire njia ya kwenda Mazimbu kuna maduka kibao ya used spare parts wenyeji wa moro wanapajua hapa.

Picha ikaanzia hapa
Ile tunarudi pale Mogas kwenye matoyo yetu kwa mbele tumeongozana na boda lingine ndo nikamuona Manka wa Rombo. Mtoto kajaa kwenye toyo rangi ya mtume masabufa yametokelezea kwa pembeni wallah huoni side mirrorr za lile toyo. Basi baharia nikajiongeza fasta nikamsanua pilot wangu, "Mwamba ebu vuta kibati icho mkaribie huyo mtoto anaemiliki ilo boda kwa saizi nataka nimsomee risala."

Vuuuuuuum boda likaitika, mie fasta nikajilipua, "Manka mambo?" Mtoto akaniangalia kama ananikumbuka kama kanisahau, fasta nikamuongeza jingine, "Mi mwafulani, umenisahau kidogo vishavu vya kitimoto na bia vimenitoka" Muda huo boda ziko sambamba na baharia anajitahidi tukiachwa akeep pace ili mwanae nilongelonge na mtoto kama nna kifurushi cha YATOSHA. Basi bwana mtoto akamwambia boda wake ebu weka pembeni bombadia niongee na sponsor.

Mita 30 mbele boda likasimama, baharia wangu nae akasimama. Basi nikamfata nikamkumbusha manka, enzi izo mi nasoma jiwe chuo fulani Moro ww ulikuwa diploma, "Waoooooo kumbe ni wewe?" Bila kupoteza muda nikamuomba manamba akanicholea nikamwacha akaenda zake, mimi nikaenda garage pale tukamaliza ufundi mi safari dar.

Kesho yake sasa.
Nikamaliza yangu ya dar kama saa tisa ivi alasiri muhuni nikachomoka dar safari moro, saa moja flani nikafika mjini. Moja kwa moja nikamvutia waya bibie stori mbili tatu nikamwita maeneo, uwanja wa nyumbani Top life hotel. Mwenyeji wa Moro ataelewa kwann nilimwita pale, moja sikutaka kupoteza muda kuanza kuzurura umelewa Buza unataka ukalale Tegeta pale ni multifunctional.

Nimefika nikaagiza kisichana na redbull, dakika kumi nyingi manka kafika kaagiza juice. Dah nikaona nshaanza kufeli, lakini akawa na sense kwamba hajala haweza kufakamia ulabu atahaibika. Fasta nikamuita wa restaurant tukaagiza mapochopocho pale. Kuna dish moja ivi inakujaga na manyama nyama na chips humo humo basi tukaanza kufakamia stori mbili tatu nikijaribu kumprob manka huku mi nikiendelea kupaua tu na visichana. Basi kwenye gari nilikuwa nimenunua vi open shoes pair mbili ivi vya kimasai, nikamwomba vile vi sandal vyake nikaangalia size nikakuta size 40, what a coincidence!! Nikaenda nikafata pair moja huku nimechukua vile alivyovyaa vyake nikaviweka kwenye gari nikarudi na vile vipya nikampa akavaa. Weee asante kama zote namm wala sikujiangusha nikamsifia umependeza kama nn yani ili mradi kumvuruga akili.

Basi bwana manka akanipa stori zake pale, muda huo ashaanza kupakia redds kwamba yupo Mzumbe University anakula jiwe basi namm nikampa zangu za uongo na ukweli pale ilimradi kusogeza muda huku nikifurahia kampani ya mtoto mzuri na mweupe haswaa wa kichaga. ***** redds hazidanganyi aisee, 4 tu mtoto akaanza kurembua namimi sina hiyana nammiminia kwenye glass kila akipiga funda moja, kufika saa tano usiku ashalewa anadai amechoka anataka kulala.

Fastaaaaa nikapanda reception nikachukua chumba cha 30k nikatoka nje kwenye gari nikachukua supplies, if you know what i mean??? Nikarudi bar chamber nikaendelea na stori za kuzuga zuga tu muda huo mkuyenge unaniharakisha niache ubwege niondoke na mtoto room nikale nyasi.

Nikamnyanyua mtoto watu wachache waliokuwepo pale muda huo haswa wastaafu wote macho kwangu wakifaidi kwa macho ile mega-specie nnavyoondoka nayo kuelekea jimbo la kabul kulipua mabomu. Basi tukaingia runduno mtoto akajitupa kitandani. Hakuna siku nilipata tabu kama siku ile ingelikuwa sio Senior Superintendent baharia wallah ile mission ninge abort usiku ule nakuwithdraw majeshi toka battle ground.

Ilikuwaje??

Mtoto alikuja amevaa amedamshi vibaya sana na tshirt moja nyeupe sana kama vile anajiandaa kwenda club, chini akawa kamaliza na jeans moja iliyomkaa barabara ivyo kumfanya shepu lake liwe kama ndege mnana. Kumbe lile jeans liliibuka kuwa kikwazo kikubwa kuliko hata cha COVI-19 kwa wafanyabiashara kwenda China. Kuanzania saa tano na nusu ivi usiku ni vita ya kuvua jeans mpaka saa sita na kitu, ajabu mtoto nikimpa mate anakubali nikinyonya zile boribo kifuani anasisima ila jeans hataki kushusha "Unataka kunifanya nn??" Kauli ilitawala muda ule kama corona na vyombo vya habari karne hii

Hatimaye nikafanikiwa kushusha ule ukuta wa Berlin fasta sana nikavaa rough rider zangu taratiibu nikala nyasi, nikala nyasi kavu, nikala nyasi mbichi, nikala nyasi, kwa hasira nikala sana nyasi usiku ule. Tukalala mpaka asubuhi tukaamka na morning glory, basi tukaoga tukashuka restaurant pale tukapiga breakfast pale masoseji nini na nini. Nikamuuliza mtoto elekeo wapiii? Akaniambia nanenane basi nikampeleka nane nane nikamwacha mm huyoooo nikarudi bushini kwangu.

Aisee ile siku siwezi isahau jinsi nilivyo kula kimasihara manka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] usimuliaji wa kibaharia haswaaaa! Safi Sana mzee wa bushini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Ka Mood flan nimetoka kukala wiki 2 nyuma
Kisa banned

Nimewahi kula mke wa waziri flan baada ya mh kudanganya yupo kikao kumbe ana fukuliwa

Nikiwa jkt Nimewahi kula Luten Milf flan hivi super tall.
Mpaka kesho napiga pale
Ilianza kimasihara alipoanza kututukAna kuwa hatuwezi kumkuna mhuni nikajiongeza

Nimewahi kumla mtt wa rais.....

Nikapata muda nitaeleza visa
Huu Mwandiko ni wa Paul Makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh! bana majuzi kati nilkuwa na mwanangu flan hvi akanipanga tukamsalimie kuna mtt mkali hvi alikutana nae club, nikaona mbona fresh tu tudondoke tumefika maeneo wanapoishi tukaruka hewani mtt kaokota waya, mdogo mdogo akawa anakuja kutupokea yupo na rafiki yake nouma sana chura ndani ya dera[emoji23][emoji23][emoji23]
Picha linaanza tunaingia ndani ni pakali balaa mpka tukajaa upepo, tukapga story mbili tatu huku manzi wa mwanangu akiwa anaendelea kupika msosi, diko likaiiva tukatia blessings.

Mjuba nikaona kma kuna kitu kimepungua hvi nikawauliza warembo kma wanapga gambe wakasema fresh, haraka haraka tukaenda dukani tukachukua miwa miwili-k vant na bia za kupendezesha meza[emoji3][emoji3][emoji3]

Tukarudi nazo getto tukaendelea kuzikalisha bana huku tukiruka debe kila mmoja yupo na mfugo wake watt wananyonga uno si mchezo mjomba mussa ameshaamka haelewi tena wajuba tunawaza hivi vitumbua vinaliwaje leo maana wanajikuta wanabonga sana kuliko sisi tukaona tukizembea hapa tutalala na hamu zetu[emoji3][emoji3][emoji3]

Mida ya wanga ikafika ikabidi tulale wote wanne kitanda kimoja kila mtu anahangaika na mama yake apewe utamu hapo tumelewa kichizi, haijapita dkk nyingi naskia mwanangu anakula mate huko eeh[emoji39][emoji39][emoji39]nikasema hapa vita imeanza na mm nikamuweka mtt sawa akajibu kula mate wee huku mikono ishafika uvinza nachimba chumvi demu wa moto asee, ile nikataka kuingiza ududu mtt anachomoa hataki eti yupo danger, msela angu na yy hvo hvo anapambania lakin wapi na yy kakaziwa tukaona fresh kiroho safi tukalala.

Tukaamka saa 9 hvi, watt wakaingia jikon tukapgwa supu moja si mchezo mara ikafika saa 11 jion mvua ikapga kinouma ikabidi tulale tena, tukapga msosi fresh tukaenda kuchukua tena vyombo huyo manzi niliyekuwa nae mm akanywa kwa papara ikamchukua chapu akawa amelewa sana, tukaanza kucheza truth or dare si unaelewa tena wtt wa chuo uzungu uzungu mwingi, hapo watu wakapigana mate balaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ikafika zamu yangu waki request mm ni suck nipples za manzi niliyekuwa nae maana ilkuwa tayari kma couple flan hvi, eeh mtt huyo kajilaza kitandan kavua tshirt njoo ninyonye mjuba nikasema hii ndo nafasi sasa[emoji3] nikaanza nyonya hzo vitu mtt kapagawa huku msela angu na yy hakuchelewa akawa bize na manzi yake, demu akaniambia just suck my p**sy, oh nikamvua kibukta chake sikuchelewa nikatoa ududu ile nazamisha demu hataki yupo danger nikamtegea kakaa vibaya nikaotea ngoma ikaingia[emoji23][emoji23][emoji23]et ohh tamu ila usichojoe ndani kidume nikajisahau na ule utamu nikakojolea ndani,

Mwanangu huko anahangaika dmu kamkazia hataki, just imagine inavyouma unaona mtu analiwa hapo afu ww unakatiliwa na demu,
Tukalala bna mm roho ishasuuzika ila msela ndo bado anapambania, demu wake akakasirika akaenda kulala chumba kingine tukabaki tumelala watatu, mida ya saa 8 usku hvi nikaanza tena kupitisha mikono ikulu mtt akajaa huyu nikapanda juu yake nikaanza kujilia tena[emoji23][emoji23]sad enough msela angu yupo hapo pembeni anaona daaah! Akaamka anakuna kichwa moja haikai mbili haikai mara aende chooni anafikiri demu akimuona atamuonea huruma ampee.

Mwisho wa siku tukasepa mm nimekula mzigo ila mwanangu aliyeitwa na hao mademu hajala[emoji23][emoji23][emoji23].

Ai nyota nyota ndo tatizo lake ai nyotaaaa wamsaidia wenzake hahahahaha inauma aiseeee dah[emoji28][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah lumumba B pale karibu na getini opposite na ketoboma [emoji3]

Tuliwaacha pale sisi ndio lile 4m4 darasa tuliokinukisha pale Hadi shule ikafungwa miezi mitatu .

Ile shule imezalishwa madogo zege wengie sana japo walikuwa na akili kichwa

Mkiona sketi za kalobe mnachanganyikiwa sana[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie wa Luthuli.
 
Umenikumbusha nikiwa chuo nilileta lipisi room mida ya saa 4 usiku, nikamkuta Room mate ameshalala. Nikaanza kuisugua pisi, jamaa akaamka akanigusa akanipa ishara nimwachie pisi na yeye apate kusugua.

Pisi lilikuwa limelewa baraa, mimi nikatoka nimuachie jamaa apige, demu likasema kilevi mmeamua kunichangia eeh.

Kituko jamaa akavaa ndomu cha ajabu mashine ya jamaa ikalala, jamaa sijui ni mauwoga, akaichezea mashine ikasimama akaingiza kwenye K ikatoka imelala.

Jamaa akaniambia kaka naona siko sawa we endelea hahahaha, nikaendelea kuchakata usiku mzima jamaa full kusononeka.

Sent using Fly in any Weather.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah! Umenichekesa sana mwanangu, itakuwa msela alikuwa ana kipururu sana mpaka akapanic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
Ilikuwa mwaka Jana, mto wa mbu kulizuka mauaji ya wanawake na mabinti wadogo,
Sasa nilikuwa nimezoeana na dada mmoja alikuwa anafanya bihashara karibu na kwangu.basi akawa ananiomba niwe namsindikiza akiwa anarudi kwakwe usiku.

Sikuwa na lengo la kumla ata, Basi nkawa namsindikiza namwacha kwenye geti yao,,siku moja akasema niingie ndani kwake Basi niliingia ndani kwakwe pazuri kweli afu badae nkaaga nkasepa.Aiseee akaanza kunisumbua kuwa niwe namlaza anaogopa ndani.

Siku moja nkasema oky ntakuja nikulaze, Ila nkashtuka kuwa anaweza taka game nkabeba Kinga zangu huyoo kwenye saa nne usiku nkasepa.

Nilimkuta na kanga moja, me nkavua suruali uyoo kitandani, Basi nkaona uboya ngoja nipeleke mkono Mara oooh utanipa mimba, mara staki,,dakika 0 nkavua chupi gegeda Hadi hasubui,,,
Aiseee tangia apo nimemgegeda huyu dada hadi basi,,leo usiku saa tatu anakuja nimnyandue tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nami niyamwage yangu.
Nimetoka zangu Morogoro kwenye wilaya moja kubwa nikaingia Moro mjini walau kuifaidi weekend. Basi nikafika kama saa tatu ivi usiku break ya kwanza Nyumbani lounge enzi izo mara waiite samaki samaki wherever. Gambe mdogo mdogo huku nikiosha macho kwa wale watoto wa pale mixer wauza samaki, mishale saa sita hiyooo mapoti wakaja nje mziki ukapunguzwa sauti.
Nikavuta lugoya kumcheki mshkaji wangu mmoja akaniambia "upo samaki samaki unatafuta malaya wa wilayani"?? Nikamjibu acha ushubwada upo wapi tule vyombo? Akasema njoo Mo Town. Mwanaume nikawasha kiberiti vuuum Mo town. Basi vyombo stori hapa na pale huku kama kawaida tukiangalia uumbaji wa Mola.

Mshkaji oya mwanangu twende maeneo ya forest nikamfate demu wangu, nikamwambia poa shika mashine tumfate ye si ndo mwenyeji sasa. Kona mbili tatu tukafika kwenye geti kubwa mtoto akatoka, haooooo back to Mo town mtoto akaagiza smirnoff nikasema naclear bill mida saa nane hiyo, basi nikamwambia mwana, "oya mwamba ongea na shem basi kama kuna rafiki ake anapenda outing aje atupe kampan" Basi shem simu ya kwanza ya pili unknown akatiki tumfate kihonda nikasema sio kesi, mwarabu kwenye ndinga kibao haooo kihonda.

Baada ya kupotea huku na huko hatimaye tukafika katoto kembambaaaa sio siri mi wala hakakunivutia kabisaaaa sio mizigo yangu hiyo hata cha kushika sikuona, ila kibaharia tukarudi Mo town ngoma kwenye tisa na usiku pamewaakaaa hatari. Usiombe uende seheme na kademu kabovu afu unakuta wale senene wauza samaki wakali hatari afu kila ukigeuza jicho unaona wanaomba hisani kwa jicho legevu la ulabu.

Sijui nn kilitokea ila mi nikamwambia mchizi haka kademu kanywa soda mi nakarudisha kwao, sijakaelewa kabisaaa mshkaji nae wenge sijui katibuana nn na demu wake afu mkali basi akaniambia oya kavipi mpitishe na huyu manzi kwao, moyo ukapasuka paaaa. Basi pale pale nikamwambia mwana kwakuwa huyu shem kwao sio mbali anisindikize mpaka kihonda afu then nikambwage kwao zen nije mzee wa mji uendelee kunitambia, mwana akasema poa na demu nae akasema gud.

Basi nikachukua windhoek nne kwenye gari zangu mbili na shem mbili mnywa soda hakupata hata sayona twist, kumbuka muda huo shem kanywa smirnoff afu akabadili gia toka 3 hadi reverse keshawaka gari nzima anaongea yeye, breki paap kihonda kule tukamwacha yule miss kihonda nikageuza gari kushoto kakaa shem. Shetani ana nguvu jamani nikamshika shem wangu yule nikampiga mate akaitikia hahahaha moyoni nikajisemea ndo wale wale pale pale kwenye gari akatuma salamu kama dakk3. Nikamwambia hata usimalize utamu tukaondoka mpaka maeneo ya msamvu kushoto nikatafuta lodge nikalipa tukaingia ndani, cha kwanza nikamvutia waya mwana , "Oya bado upo hapo nije??" Mwana akasema nishasepa nimelala vipi ushawarudisha mi nikamwambia ndo kwanza naenda Down town, nikakata simu. Nikamgeukia bibie nikampa za chembe mtoto akituma salamu kibogoyo kiuno nyigu.

Basi nikajishindia weeee kesho yake saa nane ndo nikamrudisha kwao kiujasiri maana mwana nampigia simu tu oyaaa upo wapi, bado kalala anajibu nikatoka hapo nikaenda zangu black n white kupata supu kidogo na kuendelea na maisha ya gambe.
Huyo mwana ndio Mimi hapa nakuderee tu lofa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teke la kidevu.Mimi nimekua na ndugu zangu enzi hizo wao walikuwa smart,ubishoo mwingi .Mimi nilikuwa rafu au kwa kujifariji nijiite wa kawaida tu na sikua na mpenzi ,demu wala rafiki wa kike ila ndugu zangu wote walikua nao.Licha ya harakati zote nilikua nachezea chaga tu za mbavu hata mademu mabovu nayo yalikua yananitosa.So nikawa mtu wa getho tu mwenyewe ,mwenyewe.Sasa kilichokuja kutokea ikatokea zari la kula mbunye kimasihara badala kula mbunye nikaishia kupigwa teke la kidevu,kupigiwa keleleza za ubakaji na kushinda mlimani siku nzima.
Ndugu yangu mmoja alikuwa na mamanzi wengi so akanionea huruma mwanae sijawahi kuonja papuchi.Mchoro ukatengenezwa katika hao mamanzi wake kuna kamoja alikuwa hakapendi.Akanidanganya atakaleta gheto then nikawekee filamu ya kikubwa automatically lazima nikale tunda.
Kweli mipango sio matumizi ,ndugu yangu akakaleta kale kamanzi akatuacha gheto.Sikujua hata niongee nini na yule manzi nikazama kwenye chimbo langu nikatoka na mkanda wa X.Demu yupo kimya tu ,nikaplay hapo tupo kama mabubu tu ,ka baada ya dk5-6 nilichoweza kumwambia ni njoo tulale.Demu akagoma ,nikamrukia nipige kwa nguvu we kale ka mwanamke kalipiga kelele unataka kunibaka ,unataka kunibaka.Nikaona sasa huu msala nikatimua mbio kila sehemu nayokimbilia naona kama ntakamatwa .Akili ikanituma niende mlimani tu .Nikakaa mlimani mpaka usiku.Kurudi homu kumbe ndugu zangu wale wote walikua wanasikilizia mchezo kwa nje kwa kifupi walinifanya kikaragosi.Wakaniambia hakuna msala walishampoza yule manzi.Hongereni kwa wote ambao process ya kuchakata mbunye kimasihara iliwaendea smooth.
Wenu,
Formula2.
Nimecheka sana
Hlf nimekuonea huruma daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom