Aiseee mwamba uliteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahah baharia ulitisha. Uandishi wako sasa kwa wazee kama sisi kazi kuelewaa hahahaa
 
Ujanja wote lakini hata hukukumbuka kuoga!
 
DADA WA KAZI (rest in peace)
Sikuwahi wala kufikilia hata siku moja ila ndio imetokea hivyo
Ni moja ya picha mbaya ya kuogopesha inayoishi kichwani mwangu hadi sasa
Mnamo mwaka 2014 tukipata dada wa kazi kutoka mbeya mweusi mnene kiasi umbo la mapenzi makalio ndio ilikuwa silaha yake kwa mabaharia pale kitaa alikuwa mchapakazi msafi upendo ucheshi yaani hakuwa na kasoro familia tulimpenda tukaishi naye kama mwana familia tukasahau kwamba ni mfanyakazi furaha ikatawala nyumba ikapendeza maisha yakaendelea
Dada wa kazi kumbe alipewa dili la kuja dar na mtu baki yeye akatoroka hakuaga nyumbani kwao alikuwa akikaa na bibi yake tu kumbe bibi alipanga kumtumia kwenye kazi zake za upande wa pili (uchawi)
Wengi wetu tumefundishwa mapenzi na wadada. Wa kazi tulikuwa kama mke na mme vile ikafika kipindi analala chumba changu au mimi chumba chake tulikuwa tunafanya mapenzi usiku kucha damu inachemka balehe ya kwanza nguo za shule zilipigwa pasi nilifuliwa nilitengewa chakula yaani nilipiwa kila kitu hakika alinipenda tulipendana nilikuwa na furaha nilifurahia upendo wake nilibadikika nikawa kijana smart sana nyumbani na shuleni uwezo pia wa kitaaluma ukaongezeka adi familia ikawa inashangaa lkn siri tuliijua sisi
Shida ikaanza yule dada akaanza sumbuliwa na mauza uza maajabu vitu visivyo eleweka akaanza kuumwa na kudhoofu tukiwa tukilala atapiga kelele akisema bibi bibi akiumwa analia uku akitaja jina la bibi yake familia ikachanganyikiwa mawasiliano na kwao yalikatika hakuna paleka sana hospital wapi shida bado ipo
Ukifika usiku ambao sitaweza kuhusahau ule usiku kama ningekuwa director ningetengenezea movie ingeuza dunia nzima kama ningekuwa mwandishi ningetengenezea kitabu kingeuza ulimwengu mzima ni jambo la kusisimua kutisha kuhuzunisha
Nakumbuka mvua ilikuwa kubwa sana radi zinapiga baridi Kali umeme umekatika usiku saa 8 dada wa kazi anakuja ndani kwangu akiwa na hofu na uwoga uliopitiliza ananiamsha nashtuka baada ka kumuona yeye nikatulia nilishaa kidogo ni mda atujakutana kimwili kutokana na matatizo yake kiafya alikuwa mtu wa kitandani nikamuiliza vipi akaniaambia

Naogopa naomba niwe nawe usiku wa leo sidhani kama nitaliona juu la kesho bibi ananiua alikuwa kiongea kwa hisia kali sana huku akipanda kitandani alinikumbatia na kuanza kulia kilio cha chini chini mikito mikito nakupenda nakupoteza nakufa mwenzio alikuwa amevaa khanga yake moja nilimfaliji na kumbembeleza akatulia nikaanza kumpapasa pale tulienjoy tulifurahia nakumbuka alikuwa akiniambia mimi nakuacha lkn nikumbuke daima alikuwa akitabasamu na kifurahi. Tulilala asubuhi na mapema nataka kumuasha aludi chumbani kwake mtu hamki labda kwa kazi ya usiku amechoka nikatoka nikaenda bafuni bado amelala sikuwa na wazo kuwa amekufa au vipi nilitaka kujiaandaa kwenda shule nilimtikisa wapi wasi wasi ukaanza kuniingia nikachukua maji wapi niliogopa nikaanza kulia nililia kwa uchungu sana wazazi wakaja walimkuta dada wa kazi amekufa kitandani kwangu haikuwa na jinsi taratibu zingine zikafwatwa ukachukuliwa mwili mpaka hospital kilicho muua akijulikana tulijua ni ugonjwa wake ukiokuwa ukimsumbua tu tulizika familia yangu ndio iliyo mzika na kufanya taratibu zote baada ya mda wazazi wakaniweka kikao nikawaeleza yote wakaelewa
Maisha yakaendelea nililudiw kwenye hali yangu ya zamani kwa haraka sana nikawa rafu uelewa ukashuka furaha upendo ukapotea
Dada wa kazi pumzika kwa amani nitakukumbuka daima
 
Duh! Kama hii kitu ni ya kweli pole!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story yako haieleweki!
 
Nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo alikuwa anakuwinda
 
mzee wa chai umerudi tena
 
yani nilianza kusoma kwa ku concentrate badae naangalia ndani vizuri kumbe wewe mzee wa TATEPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…