Usijali, safari ya maisha ina mambo mengi, hadi kufikia umauti watu tumefanya mengi mazuri na maovu pia. It's normal Jobha. I'm curious kujua ID, japo ni vizuri kuficha identity yako pia, I know you'll tell me. [emoji39][emoji39]

Bless your heart!!

Hahahah! Thank you kaka Eli
 
Salute kwako miss baharia.

Yani dahhhhh njoo piem nna neno kidogo nikuambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii id inakuja inapotea inakuja inapotea.

Dah ila nahisi ni.....
Usijali, safari ya maisha ina mambo mengi, hadi kufikia umauti watu tumefanya mengi mazuri na maovu pia. It's normal Jobha. I'm curious kujua ID, japo ni vizuri kuficha identity yako pia, I know you'll tell me. [emoji39][emoji39]

Bless your heart!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda asiwe kibamia wala nini wewe ndo ukawa BWAWA akitiana na wewe anaelea ukaamua kumchafua mkulungwa.

Pili,kibamia halafu playboy hizo pussy anazichakataje?kama angekuwa na kibamia kweli kama unavyosema asingekuwa mtu wa mademu wengi angekosa confidence ya kuchanwa kila siku wewe kibamia.

Mwisho,Kwakuwa umetokea maisha ya kimaskini,yeye kuishi maisha yake ya kishua wewe imekufanya uone ni mtu wa majivuno,kujidau,kiburi na dharau isiyohimilika.
>>>Umaskini sio sifa!

Japo ya changamoto zote hizo bado ulikuwa unaforce uwe na mwamba huku mwamba akikukataa kimtindo akiona kama demu wa kupooza mpaka alipotokea "simoni mkirene" kukusaidia msalaba uliokuwa umekuelemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora uhisi tu hvy hvy kaka Sumbai maana ukinijua ni hatari itakua
True, mimi pia watu hunipendea ni dental formula yangu, wengi huniambia hivo,
Dental formula nayo ina mvuto wake kwa kweli
Hahaha! Kaka kajua moja ya udhaifu wangu ni dental formula aisee ni kweli na nashukuru Mungu nimepata mwenye nayo nzuri
 
Mkuu yaani ulikuwa una lala katikati ya mademu wawili huwagusi ndio maana walifikia point wakaanza kukuletea maneno ya shombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…