Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Episode 3
Siku moja mchumba wangu ( nilipendelea kumwita Doctor) alinifanyia suprise !!
Ilikuwa hivi: wakati natoka chuo kwenye lecture ya jioni kama kawaida nilimkuta miss (mchepuko)akiwa amejilaza kitandani akinisubiri kidume. Kwa bashasha na tabasamu tamu alinipokea kwa busu zito na kuishia kitandani kugegedana MBAO moja matata. Kumbe nyuma ya pazia Doctor alimpigia simu rafiki yangu akamwambia kuwa atakuja kunisalimia ila anataka kunifanyia suprise !! Hivyo jamaa asiniambie.
Bila hiyana jamaa akapata wazo LA kunitext walipokaribia kufika wakati huo miss kajilaza kifuani ghafla nilishiwa pozi nisijue cha kufanya kwani miss hajui km Nina mchumba na yeye ashadata itakuwaje?
Mara kama kawaida yetu mabaharia nikapata wazo Nilimuaga ghafla kuwa nimepata emergency kuna assignments inatakiwa chuoni hivyo nikamwomba apishe nifunge mlango. Akagoma akasema tu we nenda utanikuta. Baadae nikapata wazo tena nikamtext mchizi apitilize na doctor mpk kwake ajifanye ananipigia simu sipatikani. Baadae sana nilirudi kwa miss then mida ya SAA 5 nilienda kwa Doctor kwa kisingizio cha kupoteza funguo hivyo mchizi akatupisha tukalala hapo. Na kwa sabb miss aliondoka jamaa alienda kulala kwangu.
Kumbe miss alihisi kuna kitu hakipo sawa kesho yake nikampeleka Doctor getto ghafla mida ya mchana miss akatimba kufanya fujo. Kidume nikakaa pembeni wakatoleana mbovu mbovu mpk mama mwenyewe nyumba akaingilia kati. Mwishowe wakaniambia nichague nampenda yupi kati yao nikajibu siwataki wrote( techniques) miss anaondoka kwa hasira then nikabakia na doctor nikabembeleza sana mwishowe tukasameheana. Kesho akarejea Dodoma then nikamfata miss kumbembeleza nikamwambia nisamehe unajua yule Doctor alikuwa MTU wangu zamani simpendi tena analazimisha mapenzi mie nakupenda ww na miss akanielewa tukaendeleza penzi. Baadae Miss aliolewa baada ya chuo nikabaki na Doctor ambaye alikuja kunisaliti kwa kupata MTU chuo .Niliamua kumuacha( hiyo ya kuachana na doctor ni story ndefu) nimeoa na yeye ameolewa
Nikiri wazi sikuwa Mme bora kwake
Huu uzi sio wa nani aliwahi kufumaniwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba kuuliza kdgo,,,, umesema chuo umemaliza mwaka 2000 hivi, then hiyo PISI umekutana nayo miaka 5 na nusu baada ya wewe kumaliza, whch means ni kwenye year 2005 hivi kama skosei,,,,,,,,, sasa kwa mwaka huo habari za "GWAJI BOY" zinatoka wapi!!!!????[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Episode 3
Siku moja mchumba wangu ( nilipendelea kumwita Doctor) alinifanyia suprise !!
Ilikuwa hivi: wakati natoka chuo kwenye lecture ya jioni kama kawaida nilimkuta miss (mchepuko)akiwa amejilaza kitandani akinisubiri kidume. Kwa bashasha na tabasamu tamu alinipokea kwa busu zito na kuishia kitandani kugegedana MBAO moja matata. Kumbe nyuma ya pazia Doctor alimpigia simu rafiki yangu akamwambia kuwa atakuja kunisalimia ila anataka kunifanyia suprise !! Hivyo jamaa asiniambie.
Bila hiyana jamaa akapata wazo LA kunitext walipokaribia kufika wakati huo miss kajilaza kifuani ghafla nilishiwa pozi nisijue cha kufanya kwani miss hajui km Nina mchumba na yeye ashadata itakuwaje?
Mara kama kawaida yetu mabaharia nikapata wazo Nilimuaga ghafla kuwa nimepata emergency kuna assignments inatakiwa chuoni hivyo nikamwomba apishe nifunge mlango. Akagoma akasema tu we nenda utanikuta. Baadae nikapata wazo tena nikamtext mchizi apitilize na doctor mpk kwake ajifanye ananipigia simu sipatikani. Baadae sana nilirudi kwa miss then mida ya SAA 5 nilienda kwa Doctor kwa kisingizio cha kupoteza funguo hivyo mchizi akatupisha tukalala hapo. Na kwa sabb miss aliondoka jamaa alienda kulala kwangu.
Kumbe miss alihisi kuna kitu hakipo sawa kesho yake nikampeleka Doctor getto ghafla mida ya mchana miss akatimba kufanya fujo. Kidume nikakaa pembeni wakatoleana mbovu mbovu mpk mama mwenyewe nyumba akaingilia kati. Mwishowe wakaniambia nichague nampenda yupi kati yao nikajibu siwataki wrote( techniques) miss anaondoka kwa hasira then nikabakia na doctor nikabembeleza sana mwishowe tukasameheana. Kesho akarejea Dodoma then nikamfata miss kumbembeleza nikamwambia nisamehe unajua yule Doctor alikuwa MTU wangu zamani simpendi tena analazimisha mapenzi mie nakupenda ww na miss akanielewa tukaendeleza penzi. Baadae Miss aliolewa baada ya chuo nikabaki na Doctor ambaye alikuja kunisaliti kwa kupata MTU chuo .Niliamua kumuacha( hiyo ya kuachana na doctor ni story ndefu) nimeoa na yeye ameolewa
Nikiri wazi sikuwa Mme bora kwake
Jamaa yako nayeye alipokwenda na Doctor geto kwake ukute alimtafuna kwanza doctor..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, hongera sana mkuu.. story tamu sana hii aisee
Kuna watu hapa wamenivutia na mimi ku-share hii stori, kwa kuwa nimepata ruhusa ya aliyenila naona si vibaya ku-share nanyi.
Miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza masomo hapo Chuo cha Afya Muhimbili (Wakati huo kilikuwa chini ya University of Dar es Salaam), nilipata nafasi ya kufanya internship kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar.
Nilifurahi sana maana nilikuwa natamani sana kwenda Zanzibar na kujionea mazingira ya huko. Kabla ya kwenda nilifanya maandalizi ya mahali pa kufikia na kwa msaada wa baadhi ya watu nikafanikiwa kupata sehemu ya kuishi kwenye maghorofa ya Michenzani –karibu kabisa na Kisonge. Nyumba niliyopata alikuwa anaishi kijana mmoja Mtanganyika ambaye alikuwa akifanya kazi huko. Kwa wanaofahamu maghorofa ya Michenzani nyumba moja huwa ina vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa, jiko, sehemu ya kufulia pamoja na choo cha ku-share.
Nilihakikishiwa kuwa jamaa ni mtulivu na mstaarabu hivyo nisiwe na wasiwasi naye maana kila mtu ana chumba chake. Kabla ya kwenda nilizungumza na jamaa na kujua namna tutakavyo-share gharama ya kodi, umeme na chakula. Nilimtumia pesa aninunulie kitanda, godoro na mahitaji mengine madogo madogo.
Hatimaye nikafika Zanzibar, jamaa akaja kunipokea na kunifikisha Michenzani. Jamaa alikuwa mtulivu sana na alikuwa anaongea kwa utaratibu sana. Kwa kweli nikawa comfortable kabisa. Mchana ule jamaa aliingia jikoni na kuandaa chakula,nikiri tu jamaa alikuwa anajua kupika. Jioni tukatoka akanipeleka mpaka eneo la Vuga ambapo kuna hospitali ya Mnazi mmoja na kisha tukaenda Forodhani. Jamaa hakuonyesha hata dalili kwamba ananitaka.
Nilizungumza naye habari ya kodi na gharama nyingine akanijibu kuwa nisijali kwa kuwa kodi ameshalipia mwaka mzima na ndio kwanza amemaliza mwezi wa kwanza. Huyu jamaa alikuwa kwenye masuala ya ujenzi.
Hatimaye nikaanza internship baada ya siku kadhaa, kwa ratiba za internship mara nyingi huwa tunapewa zile shift za usiku na wakati mwingine unaunganisha huku ukiwa na muda mchache sana wa kupumzika. Mara nyingi nikiwa sijaenda kwenye internship nilikuwa nalala tu. Jamaa alikuwa anapika na kuniamsha ili niende kula, kuna nyakati mpaka nilikuwa naona aibu, msichana wa miaka 24 kupikiwa na kijana wa miaka 27. Mara kadhaa alikuwa ananipeleka pale mgahawa wa Lukman – pale mkunazini. Kuna siku jamaa mpaka akanifulia nguo zangu alizozikuta kwenye sehemu ya kufulia nguo (hazikuwa chupi na sidiria). Ilibidi nimwambie asiwe anafanya hivyo, au walau aniachie na mimi nimfulie siku moja. Ni aina ile ya wanaume ambao hawakuchoshi, ni mpole na mtaratibu na mwenye kukufanya uwe na furaha.
Nisiwachoshe sana, baada ya mwezi mmoja hivi nilianza walau kuvutiwa na huyu jamaa, maana niliishi hapo muda wote lakini hakuwahi hata kuingiza mwanamke wala hakuwahikunipatia usumbufu wowote bali alikuwa mcheshi na mwenye staha ila niliona si vyema nikianza kujirahisisha.
Siku moja ya jumapili ambayo nilikuwa off nikaona walau niingie jikoni na nimpikie huyu jamaa, nikaandaa supu ya samaki kwa mkate. Jamaa alipoamka akashangaa kunikuta jikoni na kunitania dokta kumbe unajua kupika? Nilicheka na kumwambia oga uje uonje. Alikula na kufurahia chakula na kisha akaniambia ana safari ya Nungwi na jamaa wa ofisini ambao wanaotokea upande wa Tanganyika, kwenda kupumzisha akili na kutalii. Sikusubiri aniambie kama nipo free, nikamwambia kama na mimi naweza kwenda nao, jamaa akakubali. Nikaona leo sasa ngoja nimpime jamaa.
Akapitiwa na jamaa zake watano ambao nao walikuwa na wapenzi zao, jamaa zake wakaanza kumtania umemtoa wapi mtoto mzuri hivi, jamaa kwa aibu akawa anawajibu kuwa mimi ni housemate wake.
Tulikaa pamoja kwenye gari, jamaa akaanza kushika vidole vyangu na kuuliza maswali udaktari na elimu, nikamwambia leo tupo kustarehe aachane na masuala hayo. Safari yote nilikua nimemuegemea jamaa kifuani na karibu watu wote walikuwa wameegemeana ndani ya Coaster.
Tulifika Nungwi na kufurahia sana michezo ya beach kuogelea na kukimbizana pamoja na vyakula. Jamaa alijiachia sana name sikuwa na hiyana nikawa kama mpenzi wake, alinishika alipotaka na dry kiss za hapa na pale, alinitia nyege za hatari japo nilikuwa najaribu kuwa mvumulivu kidogo - aibu iliishia pale beach. Jioni safari ikaanza ya kurudi MJINI.
Tulifika mjini majira ya saa moja na nusu, jamaa akanunua chipsi na kuku kisha tukapanda ngazi kwenda ghorofani.
Nilienda jikoni kufuata sahani huku natafakari maisha yatakavyokuwa mle ndani baada ya ile michezo ya beach huku nyege zikiwa zimenishafika kiwango cha juu zaidi, nikiwa jikoni jamaa akanifuata na kunikumbatia kwa nyuma mikono ikiwa tumboni na kuniambia dokta nisamehe kama nilivuka mpaka kule beach, nakuheshimu sana; nikiwa nahisi kutetemeka niliinyanyua mikono ya jamaa kutoka tumboni na kuipandisha kwenye maziwa yangu, jamaa aliyaminya maziwa yangu kwa sekunde kadhaa na kisha kunigeuza upande wake na kuanza kunila mate kwa dakika kadhaa. Nilishusha mkono na kupapasa kwenye bukta yake na kukuta tayari ameshasimamisha. Jamaa akapeleka mkono mgongoni na kufungua vikamba vya kigauni chepesi nilichokuwa nimevaa kisha akanipandisha juu ya meza ya zege ya jikoni na kuanza kuninyonya sikuwa nimewahi kunyonywa katika mahusiano yangu huko nyuma; ilikuwa tamu sana kiasi ambacho baada ya dakika kadhaa nilimwaga maji kwa mara kwanza na kujiskia kufika.
Jamaa akataka kuingiza uume nikamwambia nimechoka tukaoge kwanza, alinishika mkono mpaka bafuni na tukaoga pamoja, ambapo jamaa alinishikisha sinki na kunipa dogystlye moja matata sana. Jamaa alikuwa na nguvu na uwezo kwenye tendo la ndoa.
Usiku ule jamaa alilala chumbani kwangu na kuanzia hapo maisha yakaendelea kwa namna hiyo, ilikuwa ni kugegedana tu na nilifurahia internship vizuri sana. Maana kuna nyakati hata nikirudi nimechoka jamaa atanishawishi mpaka nampa mzigo. Na alikuwa na mapenzi hasa maana upo ofisini unakutana ma meseji, nimemisi tamu, ukirudi unipatie, nimeshakupikia hapa.
Miezi saba baadaye jamaa akapeleka posa nyumbani na miezi minne baadaye tukafunga ndoa hapo St. Alban Cathedral – Dar es salaam.
Bado nipo kwenye ndoa na watoto kadhaa na maisha yanaendelea vyema kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi
Ahahahaha badala useme unakuja tule wote unataka nitume, your not serious, are you ? ahahaha nimezingatia sana lile somo la mafuta, JF is not worthless at all japokuwa kuna makenge maji mengi sana sema tunayavumilia tu...

kama ngozi yako inafanana na hyo avatar yako mwanamke mwenzako ntamnunulia yale mafuta, BTW nimewasaidia mabaharia wakisoma hapa the'll jump to the mafuta link/uzi waangalie umeandika nini na wao wapate knowledge, Alafu hawatanishukuru walivyo na mioyo migumu kama ya shetani 🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo link iko wapi mkuu? Inaweza mother house wangu home.
 
Hi
Ahahahaha badala useme unakuja tule wote unataka nitume, your not serious, are you ? ahahaha nimezingatia sana lile somo la mafuta, JF is not worthless at all japokuwa kuna makenge maji mengi sana sema tunayavumilia tu...

kama ngozi yako inafanana na hyo avatar yako mwanamke mwenzako ntamnunulia yale mafuta, BTW nimewasaidia mabaharia wakisoma hapa the'll jump to the mafuta link/uzi waangalie umeandika nini na wao wapate knowledge, Alafu hawatanishukuru walivyo na mioyo migumu kama ya shetani 🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo link iko wapi mkuu? Inawezamfaa mother house wangu home.
 
Collage mate wangu wa discussion(Mdada) wakati tunasoma aliwahi kunisimulia kuwa kuna hadithi nyingine huwa kuzisimulia kwake mara baada ya kutokea ni nadra sana. Akanambia kuwa yeye na dadake wa kuzaliwa wameolewa, na familia zao ni kama family friends na familia za waume zao. Kila misimu ya sikukuu huwa wanaalikana kwa zamu kwenda kusherekea sikukuu kwenye moja ya nyumba ya mwenzao. Na baadae usiku huwa wanamalizia na outing matata, baba na mama kwa familia zote mbili kwenda kwenye hotel za fukwe kufurahia music na maisha.

Tabia hiyo ilijengeka kwa muda, na licha ya kufahamiana sana pia walipata kuzoeana mno. Yaaani dada wawili kwa kuzaliwa na waume zao. Siku moja mkesha wa mwaka mpya, baada ya pilikapilika za kufurahia kuufunga mwaka mchana, ilipowadia usiku Dec 31, walipata kwenda out wakiwa kama couples kwenda kuufunga mwaka kama waswahili wasemavyo. Walifika kwenye hotel moja nzuri kwenye fukwe za jiji la Dar na walipanga kuwa wangelala huko hadi January Mosi.

Wakati wakifurahia kuuona mwaka mpya usiku wa Manane, walijikuta wamekunywa kiasi kingi cha WINE huku wakicheza muziki mlaini kwenye ukumbi wa hotel ile huku wakiwa wamebadilishana mtu na shemejiye huku wakiwa wanacheza kwa kujiachia bila ya woga na wasiwasi wowote.

Ilipotimu mida ya saa tisa usiku, waliamua kwenda kujipumzisha kwenye vyumba vyao.

Cha ajabu, walishtuka asubuhi na kujikuta kila mmoja akiwa amelala na mume wa Mwenzie.
Sasa swali linakuja: je ni wote walifanikiwa kugegedana wakati wakiwa wamelewa? Je! Aliyefanya ku-spare ili agegede asubuhi, angeweza kuwa na hiyo nguvu ya kufanya hivyo baaada ya kubaini kuwa aliyelala naye ni shemeji yake?

Alichoniambia huyu college mate wangu,
Kuna baadhi ya Story zinapoanzia, basi ndio hapo hapo mwisho wake. Hutoweza kuzisikia au kusimulia kwingine[emoji23][emoji1787]

Nilipomdadisi kama bado mahusiano ya kifamilia yapo kama hapo awali, alikubali kuwa bado yapo, ila outing hawakuwahi kwenda tena, na hakuna mtu aliyewahi kumuuliza mwenzie ilikuwaje hadi hali ile ikatokea. Ila Dada wa mdogo mtu, alimpa vitisho mdogo wake, kuwa iwe ni mwanzo na Mwisho kama ile siku walipeana utamu. [emoji1787][emoji23]

Dunia ina Mengi hatari.

Sent using [Iphone XS Max]
Hiyo chai ya majani wa Njombe, au Tukuyu? Hivi kwa hali ya kawaida mnaweza kujikuta kila MTU kalala na mke/ mume asiye wake kisa kisingizio cha wine? Hebu acha kudanganya dogo, kwa uzoefu wangu wa kunywa pombe hata tena hotelini huwezi mkalewa wote kwa kipimo cha kutojitambua hafu utoke hapo uende chumbani sijui na mtu wa mwenzio. Acha kudanganya
 
Back
Top Bottom