Huu uzi sio wa nani aliwahi kufumaniwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yako nayeye alipokwenda na Doctor geto kwake ukute alimtafuna kwanza doctor..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, hongera sana mkuu.. story tamu sana hii aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi
Hiyo link iko wapi mkuu? Inaweza mother house wangu home.
 
Hi
Hiyo link iko wapi mkuu? Inawezamfaa mother house wangu home.
 
Hiyo chai ya majani wa Njombe, au Tukuyu? Hivi kwa hali ya kawaida mnaweza kujikuta kila MTU kalala na mke/ mume asiye wake kisa kisingizio cha wine? Hebu acha kudanganya dogo, kwa uzoefu wangu wa kunywa pombe hata tena hotelini huwezi mkalewa wote kwa kipimo cha kutojitambua hafu utoke hapo uende chumbani sijui na mtu wa mwenzio. Acha kudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…