HII NYINGINE YA NILIVYOMLA/KUENDELEA KUMLA DADA WA BANK
Nipo mkoa wa Rukwa...wilaya na mji/kijiji/tarafa niliyokiwepo sitoitaja maana watu hawashindwi ku connect dots humu NIKALIUMUA
IKO HIVI
Mwaka huu mwezi wa 2 mwanzoni niliamua kuwa na akaunti nyingine ambayo itanisaidia kutunza vihela viwili vitatu tofauti na akaunti ya mshahara...solution ikawa akaunti ya CHAP CHAP..So katikati ya wiki ya mwezi nilioutaja hapo juu nikaamua kwenda kwenye Tawi lao lililopo wilaya ya XXX
Mishale ya saa 5 kasoro hivi nikawa nimefika..Nikaenda Customer care,jamaa aliekuwa pale akanijibu mtu wa CHAP CHAP akaunti ametoka yupo mtaani huko...so nimsubiri kidogo atarejea
Kumbuka ilikuwa mwanzon mwanzon mwa mwezi so wateja hawakuwa wengi kivileeee...nikatafuta sehemu ya kukaa nikaketi..hii sehemu niliyokaa ilikuwa ni karibu na ofisi ya BRANCH MANAGER na nilikaa position ambayo naiona direct CUSTOMER CARE
Basi kuna dada mmoja UMRI early 20's alikuwa anapita mara kwa mara...kutoka ofisi yake kwenda kwenye Ofisi ya BRANC H MANAGER..Na kwa vile ofisi yake ilikuwa unapita CUSTOMER CARE...nilikuwa namchora vizuri tu akiwa anatembea kuja na pindi anaporudi
Alipita kama mara 3 kama sio 4(mm nipo kimya tu,sichezei simu wala nn)hapo imepita zaidi ya lisaa nipo tu hapo....sasa wakati anatoka kutoka kwenye ofisi ya BRANCH MANAGER akanishika bega alafu akaniuliza "mbona unawaza sana kaka"
Out of no where nikajikuta tu nimeropoka"nawaza namna ya kuku approach lakn nashindwa"...nikijua nshaharibu hali ya hewa nikamuona yule sista katabasamu afu akasepa zake kurudi ofisin kwake..Baada ya kama Dk 10 yule mtu wa CHAP CHAP akawa amerudi
Nikaenda Customer care..yule jamaa wa CHAP CHAP akawa ananijazia fomu...yule dada akatoka tena kuelekea kwa Branch manager akaniona najaziwa fomu pale akapita zake
Baada ya kukamilisha zoezi zima nikachukua kadi yangu nikasepa..jioni mida kama ya saa 1 hv simu inaita..kucheki no ngeni,kupokea anajitambulisha yule mdada..tukaongea kidogo...akaniuliza nipo wapi nikamjibu...akanambia chukua pkpk njoo sehemu flani...Baada ya kufika eneo hilo namcheki,nashangaa mtu anafungua geti(kumbe kapangiwa nyumba nzima na Jamaa wake..na huyo jamaa wake ana familia Mkoa XXX,So huwa akija huku kwenye biashara zake ndo huwa anajipumzisha kwa bibie..na alikuwa hajaja huku mwezi kama 1 na nusu hv..so bibie alikuwa na GENYE haswaaa)
Piga stori 2,3 kilichofata mabaharia mnakijua
Huyu manzi mpaka leo najipigia tu...hapa naandika huu uzi najiandaa kwenda zangu kujilia vyangu mabaharia
NB: Nitaleta nyngne tena...ngoja nikapunguze hofu ya CORONA kidogo
Sent using
Jamii Forums mobile app