UZI ulianza kuvurugika baada ya wewe kuleta stori ya kula jini kimasihara
[emoji23]
 
Yani sasa hivi nikiona stori naangalia kwanza id nikiona ni ya mikito mikito napita mbio bila hata kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbka ilikuwa 2012 maeneo ya uknga nimepng na mwngu nyumb moja ila kila MTU na gto lake

Ilikuw burdan sn maisha Yale maana kila join lzma tukutane kijiweni kW ajili ya str mbili tatu baada ya harakati za maisha

Dah! SKU isiyokumbukw jna si ndo wakahamia wapangji wawili MTU na dada yake baas

Kumbe mmoja pale ni shetani mvunja amani
Kwanza balaa lilianza palepale str zikbadlika tukwa tunawajadili wao tuu
Ooh! Mi wngu yule mwna huyo ananiambia akimaanisha mdg mtu.. Mi nikamjibu we tu hta ukiwataka wote kaz kwk hii inaitwa kifo cha mbuzi kW muuza supuu na wakati huo mwna ndo katoka kukimbiw na dem aliyekuwa anaishi nae binafsi huwa snaga muda hasa mwna akisema ile niachie

Basi mwna akaanzsha harakt kujipendkeza kw sna tu shda ikaja dgo kumuelewa ikawa shuhuli mwna akiingia huku dm anatokea huku basi ikaw tafrani

Isiwe tabu jamaa yng akaona bora amtumie dada MTU na mwna alidhamiria kweli kuishi nae
Dada mtu alikuw mtu wa tamaa c ndo akaanza kumvuna jmaa akimtumia mdg ake.. Jamaa akaona mbona mkwnja unakata halafu matokeo sioni so ikabid aanze kudai pesa zake Dada mtu kuambiwa ikabidi amkalishe mdg ake... Jiongeze we!
Kwl km utani jamaa akafanikiwa kuamsha goma lile ila kW dgo ilikuw shngo upande

Wakati huo mi hta str na dgo wala dd mtu cna zaidi ya salaam tu baas
Kula tunda kimasihara picha linaanza narudi zngu maskani mida ya sa mbili kasoro usk namkuta DM kakaa nje jirani na kijiwe chetu mi salam nikapta
Sjafika mbali naskia kk samahani nataka tuongea... mm Haina shda nikarudi nikakaa
Niambie dd! Samahani! Mi. Bila samahani .... Wamama wanalalamika ukienda kuoga unavaa vbaya taulo... Mi. Navaaje? Hasemi ila akaniambia uwe tu unavaa na kaoshi ukienda kuoga
M. Sawa nimekuelewa dd
Mi naenda kula nikamuacha nikaingia zng ndani nikafnya kilichonipeleka km dk mbili tatu HV natoka sasa niende kula naombw kusindikizwa na wakt huo wote jmaa hajarudi
Twenzetu tukaongozna na demu mi nimegonga msosi tunarudi namkuta mwna amepoa kijiwen na dgo kumbe alishamuulza dgo na wakat tunatoka alituona baada ya salaam dah! Mi full kujiongelesha maana hta SKU moja skuwahi kuwa na mazoea na dem Leo inakuaje mpk nimetoka nae na nnjiani zaidi ya utani dm wal hakukuwa na dalili yoyte km ningekula tunda

Tukakaa pale na mwna ila kadri muda ulivyokuwa unaenda str pale zilkuwa hazieleweki
Naona mwna anaaga ..oya! Mi naenda kulala..dah! mi pia ilibdi niage wakati huo tuko pmj na dem
Nae akaondoka maana hpo kunguru kishasema kila MTU kwao tenaa

Naingia ndani nacheki muda sa tano kasoro nasaula nachukua taulo nikaoge nakuta bafuni kuna mtu isiwe tabu uswhilini tenA mi choon nikapga maj natoka nakutana na dm ndo alikuwa anaoga nikamchomekea ningejua km ww ningekujata tuoge wote
Kumbuka wakati huo jamaa alishaingia kwk mda tuu
Tunaachna na dm mi naingia ndani dm kaingia kwao nafka tu ndn baada kujikausha maji nifunge mlango dem huyu hpa mlngoni.......mini tena hajaongea chochote ndni
Isiwe tabu nikafunga mlango kwnz ili nimuhoj vzr, nisiongee sna dgo alikuwa amenikubali since day one
Nikapiga mzigo na dgo alikuwa mtamu asikuambie mtu

Ila sasa haikuwa siri ten japo tulibaliana tufanye siri jamaa yng asijue kumbe toka pcha linaanza jamaa alishchezw na machale aisee mgogo yule kumbe alishuhudia gemu yote Niko kati kat ya gem niliona sm inaita asubuhi kuja kucheki kumbe yeye mwana
Nampgia asubuh ananihadithia kila kitu ilikuwa noma sema uwezo wa kunipga hna
Ila urafiki uliishia hpo aiseee
 
Mkuu mwandiko huo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYINGINE HII

TUKIO LA UJAMBAZI LILIVYONIFANYA NILE TUNDA KIMASIHARA

Nakumbuka Tukio hili lilitokea Mwaka 2010 eneo la Mazizini, Ukonga...kipindi hicho nimetoka kumaliza Chuo nasubiri ku graduate,So nilikuwa tu mtaani nafanya mishe zangu binafsi za hapa na pale za kupata Sh 200,300

Nakumbuka siku hiyo mishale ya saa 12 jioni narudi zangu home,baada ya kuoga nikaamua kumcheki mwana ili tupige stori 2,3...baada ya kumvutia waya akaniambia yupo kijiweni so kama vipi nimfate

Pale kijiweni ilikuwa ni sehemu iliyochamgamka sana kwani kwambele yake kulikuwa na Duka moja kubwa tu
la vyakula,so kwa nyuma kulikuwa na mwembe mmoja mkubwa sana,so mwenye duka aliweka design flani nzuri sana ambayo hata kama ukiwa na mgeni wako unaweza kwenda nae pale kuchill huku mnapata kinywaji

Sasa baada ya kufika hapo nikamkuta mshkaji yupo na mademu wawili..mmoja ni demu wake(alikuwa mwaka wa 1 UDSM)pamoja na huyo rafiki wa demu wa jamaa (nae alikuwa mwaka wa kwanza UDSM)...So walikuwa FIELD

Sasa baada ya kuwapa salamu pale nika wajoin tukaanza kupiga stori 2,3...wakt wote huo mm sikuPAY attention yeyote kwa Shemeji wa jamaa...Stori zikaendela pale huku tukishushia na vinywaji tukisogeza muda ili baadae kila mtu asepe kwao

Sasa hamadi imefika mishale ya saa 2 na dk zake Usiku zikaja pkpk mbili zimebeba majambazi wana silaha..walivyofika tu..wakafyatua risasi kama 3 hvi juu na maneno kibao ya kutisha watu wasipite kwenye ile njia na walioko majumbani wasitoke nje

Sasa kile kiwewe(kumbuka cc tulipokaa ni nyuma ya lile duka) Jamaa alimshika demu wake akakimbia nae....mm nikatoka nduki kuelekea nyumban hata nyuma siangalii...nafika nyumban nafungua mlango hamadi namuona yule rafiki wa manzi wa jamaa huyu hapa..kapaniki balaa...khanga yake aliyokuwa amejifunga kiunoni ilimdondoka so alibakiwa na vile vibukta vifupi sana wanavyovaaga kina dada

Basi nikafungua mlango tukaingia ndani breki ya kwanza seblen..sasa hapo ndo nilipoanza kumchora vzr yule dada...alikuwa ana umbo moja matata sana...tukaanza kuchekana pale jinsi kila mmoja alivyotoka nduki...dakika c nyng mbele nikamwambia"hv unajua khanga yako imedondoka" akashtuka..kujichek kwel hana khanga..akaanza kuwa na zile aibu za kidada..nikamfata nikamtoa mikono usoni nikaanza kucheza na mikono yake...ananiangalia tu...nikasema ngoja nitest kushika kiuno,ananiangalia tu,kutest lips,mtoto anatoa ushirikiano vzr tu

Basi nikajilia kigoli kimoja cha Fasta pale,then nikamtoa kumsindikiza kurudi kwa rafiki yake(nilichukua no yake)

Basi huo ukawa ndo mchezo wetu..Nilijilia yule mtoto mpk nilipopata mishe nikahamia mkoani huko..na huo ndo ukawa mwisho wetu

Popote pale ulipo Miss IRENE..unakumbukwa sana na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejitahidi tahidi kusoma nimefika kati sijaelewa.

Natumaini mwishoni mliunganisha makojoleo kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…