Aiseee....

Noma saana. Mama mtoto unawasiliana nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sister wako alikuwa mzungu. Tena mzungu wa mjini london pale oxford street. Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madogo wanaleta masihara kwenye issue serious ya kula tunda kimasihara......wakina Erick shigongo wamekuwa weng mpk inakeraaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broo inaonekana 4m 4 ulianguka[emoji848][emoji848] nmelidhihirisha hlo kwenye uandish wako mbovuu...na hayo ndo madhara ya mapenz shulen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule binti sasa yupo wap? Na hao wapangaji wenu bado wapo hadi leo
Ahsante kwa swali zuri.
Yule mpangaji wetu amejenga nyumba yake na amehamia na yule BINTI kwa sasa mdada alijoin certificate baadae diploma na degree sasa ni mwanasheria katika law firm yake ameolewa na ni mama wa watoto kadhaa. Na tunawasiliana kwa ajli ya ustawi wa MTOTO wetu ila hatupashi kiporo though
 
Kwa kweli zamani huu uzi ulikuwa unavisa vikali vya kibaharia yaani mpaka unapata mbinu 100+ za kula kimasihara.... Sasa hii COVID-19 imetuletea kizazi fulani humu.. Yaani kila post ni TATEPA.

The rise and fall ya uzi wa kula kimasihara wa Rick Boy...
 
Twaaatwatwatwatwaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi ako kastor kana mwendekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What happened bro.

Maana muke ya mtu unaila kimasikhara! Atari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 

hilo ni zao la kipurure kaka....yule binti uliye zaa naye anaumri gani sasa hivi...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…