Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Episode 3
Siku moja mchumba wangu ( nilipendelea kumwita Doctor) alinifanyia suprise !!
Ilikuwa hivi: wakati natoka chuo kwenye lecture ya jioni kama kawaida nilimkuta miss (mchepuko)akiwa amejilaza kitandani akinisubiri kidume. Kwa bashasha na tabasamu tamu alinipokea kwa busu zito na kuishia kitandani kugegedana MBAO moja matata. Kumbe nyuma ya pazia Doctor alimpigia simu rafiki yangu akamwambia kuwa atakuja kunisalimia ila anataka kunifanyia suprise !! Hivyo jamaa asiniambie.
Bila hiyana jamaa akapata wazo LA kunitext walipokaribia kufika wakati huo miss kajilaza kifuani ghafla nilishiwa pozi nisijue cha kufanya kwani miss hajui km Nina mchumba na yeye ashadata itakuwaje?
Mara kama kawaida yetu mabaharia nikapata wazo Nilimuaga ghafla kuwa nimepata emergency kuna assignments inatakiwa chuoni hivyo nikamwomba apishe nifunge mlango. Akagoma akasema tu we nenda utanikuta. Baadae nikapata wazo tena nikamtext mchizi apitilize na doctor mpk kwake ajifanye ananipigia simu sipatikani. Baadae sana nilirudi kwa miss then mida ya SAA 5 nilienda kwa Doctor kwa kisingizio cha kupoteza funguo hivyo mchizi akatupisha tukalala hapo. Na kwa sabb miss aliondoka jamaa alienda kulala kwangu.
Kumbe miss alihisi kuna kitu hakipo sawa kesho yake nikampeleka Doctor getto ghafla mida ya mchana miss akatimba kufanya fujo. Kidume nikakaa pembeni wakatoleana mbovu mbovu mpk mama mwenyewe nyumba akaingilia kati. Mwishowe wakaniambia nichague nampenda yupi kati yao nikajibu siwataki wrote( techniques) miss anaondoka kwa hasira then nikabakia na doctor nikabembeleza sana mwishowe tukasameheana. Kesho akarejea Dodoma then nikamfata miss kumbembeleza nikamwambia nisamehe unajua yule Doctor alikuwa MTU wangu zamani simpendi tena analazimisha mapenzi mie nakupenda ww na miss akanielewa tukaendeleza penzi. Baadae Miss aliolewa baada ya chuo nikabaki na Doctor ambaye alikuja kunisaliti kwa kupata MTU chuo .Niliamua kumuacha( hiyo ya kuachana na doctor ni story ndefu) nimeoa na yeye ameolewa
Nikiri wazi sikuwa Mme bora kwake

Kuna jamaa kaleta stori humu alimla demu wa rafiki yake, baada ya mshikaji wake kupigwa suprise.
 
Nakumbuka home,,mama angu n mkusanyaj wa hela za vikoba kina mama sa Kuna sku katoka maza kaenda kweny mihangaiko bhan,,sku hiyo kaja mwanamke miaka Kam 29 HV kaleta ela sku hyo npo mwenyew home nakula mzik mzto kweny professional speaker kanpa ile ela afu kaanza kuniangalia nadance pale kanmbia napend unvocheza,,nkamwmbia njoo tucheze ote ile kuja tukcheza nkaanza mbambia kiuno s kaanza kulegea mke wa watu,,nkala tundaa kiulaiiin afu m kjana miaka 20😋😂😂😂
 
Mweeeh
 
Nakumbuka home,,mama angu n mkusanyaj wa hela za vikoba kina mama sa Kuna sku katoka maza kaenda kweny mihangaiko bhan,,sku hiyo kaja mwanamke miaka Kam 29 HV kaleta ela sku hyo npo mwenyew home nakula mzik mzto kweny professional speaker kanpa ile ela afu kaanza kuniangalia nadance pale kanmbia napend unvocheza,,nkamwmbia njoo tucheze ote ile kuja tukcheza nkaanza mbambia kiuno s kaanza kulegea mke wa watu,,nkala tundaa kiulaiiin afu m kjana miaka 20[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]

Kirahisi tu ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILIVYOKULA MKE WA MTU KIMASIHARA WILAYANI BUNDA KIKAZI
(NISHAKULA WENGI ILA NIANZE NA HUYU WA KWANZA)

Mimi ni mwajiriwa idara moja hivi(jina kapuni).Ajira yangu ya kwanza nilianzia wilaya ya bunda eneo moja linaitwa Kibara ni mwambao wa ziwa victoria.

Sasa kutokana na ucheshi wangu nikawa nimezoeana na wenyeji wangu kwa kiasi kikubwa, Mmojawapo alikuwa ni ndugu 'M' ambaye kiumri alikuwa na miaka kama 40, mkewe miaka 38 hivi nami nikiwa na miaka 22. Kijana wao mkubwa alikuwa na miaka 18 na alikuwa kidato cha nne shule ya sekondari Bulamba.

Baada ya miaka miwili kupita yule dogo kashaondoka sasa siku moja kanichek hewan kipindi hicho mimi nishasogea kata nyingine na simu ya awali nilishapoteza. Tukapiga mbili tatu, katikati ya maongezi nikamuomba namba ya wazazi ili niwajulie hali. Dogo akawa kanipatia. Nikampigia baba yake kumjulia hali na katika maongezi akanieleza mkewe yupo Musoma kaenda kucheki mradi wao mmoja hivi uliokuwa unasimamiwa na mdogo wake.

Sasa nikamtext yule mama tukasalimiana vizuri kama mtu na mwanae. Mawasiliano yakawa yanaendelea tu vizuri. Sasa siku moja akaniuliza utakuja lini Musoma, nikajibu haraka weekend! Nikamuuliza nitafikia wapi, kajibu kufikia kwa mdogo wangu siyo heshima labda tutapanga! Jibu hilo lilinipa tafakuri sana! Niwe muwazi nilidindisha sana! Siku nyingine analalamika "hivi hiyo mb***...yako umeikatalia ina dhahabu sana au?"

Niwarudishe nyuma kidogo; kuna kipindi nikiwa Kibara niliwahi kwenda kuwatembelea kwenye mji wao yule mama kumbe alikuwa chumbani anapaka mafuta na kutokana na dirisha kuwa fupi nikawa nimemuona kiaina akiwa na lundo la shanga kiunoni! Wajita na shanga ni kama samaki na maji!

Jumapili moja nikamueleza nipo njiani nishapanda hiace toka Bunda, akakubali tu kimashaka alifikiri namdanganya. Nimefika Musoma saa 1:30 usiku nikawa nimechukua Chumba Embassy Lodge ambayo ipo pembeni mwa Stand ya zamani. Baadae nikampigia, muda si mrefu kaletwa na boda. Nikamuuliza nikuagizie pombe, akaniuliza kwani mimi natumia nikajibu No. Basi akaomba tu maji. Ule usiku nilimvuruga sana yule mama; mama, akaanza mara "oooh ulikuja Kibara kama mwanangu leo hii unadiriki kunit*mb...! Kilichochokuja kutugombanisha ni siku moja nilipochat na binti yake FB na binti kumuelezea na yule mama akahisi ninamtongoza mwanae!
 
Nakumbuka home,,mama angu n mkusanyaj wa hela za vikoba kina mama sa Kuna sku katoka maza kaenda kweny mihangaiko bhan,,sku hiyo kaja mwanamke miaka Kam 29 HV kaleta ela sku hyo npo mwenyew home nakula mzik mzto kweny professional speaker kanpa ile ela afu kaanza kuniangalia nadance pale kanmbia napend unvocheza,,nkamwmbia njoo tucheze ote ile kuja tukcheza nkaanza mbambia kiuno s kaanza kulegea mke wa watu,,nkala tundaa kiulaiiin afu m kjana miaka 20[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo aliamua tu kukutunuku coz usitake kusema hakuwasiliana na mama kua anakuja home kuleta hela so itakua alishaongea na maza then maza akamwambia katoka ndo akajilete

Sent using Iphone 10 Max
 
Huyo aliamua tu kukutunuku coz usitake kusema hakuwasiliana na mama kua anakuja home kuleta hela so itakua alishaongea na maza then maza akamwambia katoka ndo akajilete

Sent using Iphone 10 Max
Kitu ka hko mkuu🤔🤔
 
Back
Top Bottom