Kitangiri15
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 348
- 734
Ni kweli sema wakati huo Mimi nilikuwa na akili za kishule shule na yeye alishamaliza kitambo.siyo mbaya....huyo manzi wakati unamtafuna hakuwa mkubwa kivileeeeee..alikuwa kwenye round 22-23....so hongera kwa kuwa na kijana mkubwa...mi ninawakwangu mama ake akifikisha 32...mtoto atakuwa na 13
Yeye ndo alicheza chini ya kiwango, ukimtindua demu vya kutosha, lazima mashuka yabadilishwe tu.Mkuu umenifanya nicheke sana eti hakushtuka pale wembley mechi ilisha chezwa aisee[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Episode 3
Siku moja mchumba wangu ( nilipendelea kumwita Doctor) alinifanyia suprise !!
Ilikuwa hivi: wakati natoka chuo kwenye lecture ya jioni kama kawaida nilimkuta miss (mchepuko)akiwa amejilaza kitandani akinisubiri kidume. Kwa bashasha na tabasamu tamu alinipokea kwa busu zito na kuishia kitandani kugegedana MBAO moja matata. Kumbe nyuma ya pazia Doctor alimpigia simu rafiki yangu akamwambia kuwa atakuja kunisalimia ila anataka kunifanyia suprise !! Hivyo jamaa asiniambie.
Bila hiyana jamaa akapata wazo LA kunitext walipokaribia kufika wakati huo miss kajilaza kifuani ghafla nilishiwa pozi nisijue cha kufanya kwani miss hajui km Nina mchumba na yeye ashadata itakuwaje?
Mara kama kawaida yetu mabaharia nikapata wazo Nilimuaga ghafla kuwa nimepata emergency kuna assignments inatakiwa chuoni hivyo nikamwomba apishe nifunge mlango. Akagoma akasema tu we nenda utanikuta. Baadae nikapata wazo tena nikamtext mchizi apitilize na doctor mpk kwake ajifanye ananipigia simu sipatikani. Baadae sana nilirudi kwa miss then mida ya SAA 5 nilienda kwa Doctor kwa kisingizio cha kupoteza funguo hivyo mchizi akatupisha tukalala hapo. Na kwa sabb miss aliondoka jamaa alienda kulala kwangu.
Kumbe miss alihisi kuna kitu hakipo sawa kesho yake nikampeleka Doctor getto ghafla mida ya mchana miss akatimba kufanya fujo. Kidume nikakaa pembeni wakatoleana mbovu mbovu mpk mama mwenyewe nyumba akaingilia kati. Mwishowe wakaniambia nichague nampenda yupi kati yao nikajibu siwataki wrote( techniques) miss anaondoka kwa hasira then nikabakia na doctor nikabembeleza sana mwishowe tukasameheana. Kesho akarejea Dodoma then nikamfata miss kumbembeleza nikamwambia nisamehe unajua yule Doctor alikuwa MTU wangu zamani simpendi tena analazimisha mapenzi mie nakupenda ww na miss akanielewa tukaendeleza penzi. Baadae Miss aliolewa baada ya chuo nikabaki na Doctor ambaye alikuja kunisaliti kwa kupata MTU chuo .Niliamua kumuacha( hiyo ya kuachana na doctor ni story ndefu) nimeoa na yeye ameolewa
Nikiri wazi sikuwa Mme bora kwake
InawezekanaKuna jamaa kaleta stori humu alimla demu wa rafiki yake, baada ya mshikaji wake kupigwa suprise.
MweeehNakumbuka home,,mama angu n mkusanyaj wa hela za vikoba kina mama sa Kuna sku katoka maza kaenda kweny mihangaiko bhan,,sku hiyo kaja mwanamke miaka Kam 29 HV kaleta ela sku hyo npo mwenyew home nakula mzik mzto kweny professional speaker kanpa ile ela afu kaanza kuniangalia nadance pale kanmbia napend unvocheza,,nkamwmbia njoo tucheze ote ile kuja tukcheza nkaanza mbambia kiuno s kaanza kulegea mke wa watu,,nkala tundaa kiulaiiin afu m kjana miaka 20😋😂😂😂
Ahahaaha hatarMweeeh
Nakumbuka home,,mama angu n mkusanyaj wa hela za vikoba kina mama sa Kuna sku katoka maza kaenda kweny mihangaiko bhan,,sku hiyo kaja mwanamke miaka Kam 29 HV kaleta ela sku hyo npo mwenyew home nakula mzik mzto kweny professional speaker kanpa ile ela afu kaanza kuniangalia nadance pale kanmbia napend unvocheza,,nkamwmbia njoo tucheze ote ile kuja tukcheza nkaanza mbambia kiuno s kaanza kulegea mke wa watu,,nkala tundaa kiulaiiin afu m kjana miaka 20[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Leteni vimasihara jamani mbona mnatufanyia hivi.
Yaan smpo mkuu,,kalainik mpak akaw mzto kuchez an
Nakumbuka home,,mama angu n mkusanyaj wa hela za vikoba kina mama sa Kuna sku katoka maza kaenda kweny mihangaiko bhan,,sku hiyo kaja mwanamke miaka Kam 29 HV kaleta ela sku hyo npo mwenyew home nakula mzik mzto kweny professional speaker kanpa ile ela afu kaanza kuniangalia nadance pale kanmbia napend unvocheza,,nkamwmbia njoo tucheze ote ile kuja tukcheza nkaanza mbambia kiuno s kaanza kulegea mke wa watu,,nkala tundaa kiulaiiin afu m kjana miaka 20[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoja nipite pite mitaa ya UDSM labda naweza kuopoa kabinti nikakatafune kimasihara na hivi kuna taaruki nakafungia mwezi mzima kakiulizwa kaseme kalikua kwenye caranteen
Wewe hujaliwa..?
Uchoyo tu, hebu tengeneza mazingira.
Kitu ka hko mkuu🤔🤔Huyo aliamua tu kukutunuku coz usitake kusema hakuwasiliana na mama kua anakuja home kuleta hela so itakua alishaongea na maza then maza akamwambia katoka ndo akajilete
Sent using Iphone 10 Max