Wewe ni zaidi ya proffeseri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumbi la kongo tena?mkuu ndio nn hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILIVYOSHINDWA KULA KIMASIHARA PISI MATATA YA KIJIJI KWASABABU YA UBOYA WANGU SIKU YA MKESHA WA MWAKA MPYA 2010/2011

Ilikuwa mwaka 2010 nilipoenda likizo ya mwezi wa 12 katika kijiji fulani hivi... Hicho kijiji kinasifika sana katika maambukizi ya HIV maana wanakijiji wanagegedana sana huko..

Twende kwenye story.. ilikuwa usiku mkesha wa mwaka mpya kuingia 2011, pale village kuna washkaji walikuwa wakinimind sana kutokana na tabia zangu za kutoshobokea mademu .. wakati huo niko kidato cha tatu nilikuwa na aibu flan iv, nilikuwa mzito domo zege inshort..

Basi usiku ule wamkesha wa mwaka mpya kila mtu aliondoka pale hom nikawa nimetulia peke angu.. ndugu zangu vijana wote walienda kwenye disko la kijiji.

Nimetulia ndani mida ya saa 4 hivi night mlango unagongwa kutoka nje wana wameniletea pis moja matata kunikomoa yani - ilikuwa ni moja ya pisi kali pale village. Wakaitelekeza pale wenyewe wakasepa zo..

Mi nikaliunga nkaioigisha story pale nje nini.. nikaikaribisha ndani ikagoma.. nikaegesha mlango nikazama ndani.. nikaona kwa mbaali mtoto anachungulia.. nikaikairibisha tena this time ile manzi ikazama ndani. Aisee..

Manzi ikajilaza kwenye kochi.. daah nilipata mawazo pale sijui nianzie wapi ili nipate kuila ile manzi mara mawazo ya ngoma pale village yakanijia nilianalyse vitu vingi sana ... Mambo ya HIV.. nk...

Nikamsogelea yule manzi nikaanza kumshika shika mkononi... Daah nilifeli vibaya sana ile siku.. kila nikijaribu kutaka kufanya mazambi kuna sauti inaniambia we mbwaaaa utakufa na ngoma..

INSHORT NILKUWA DILEMA SANA SIKU ILE MAWAZO YA KUOGOFYA KUHUSU KILE KIJIJI NA HISTORIA ZA NGOMA(HIV) VILIPUNGUZIA CONFIDENCE KABISA.

daah ikabidi nipotezee tuu siku fanya kitu ile siku.. ile manzi ikajilaza pale kwenye kochi mpaka mida ya saa sita ulipoingia mwaka mpya ikaamka ikaomba niisindikize kwao..

Kesho yake ahsubuhi majamaa walinicheka sana , nilifedheheka sana.. yule manzi alikuwa akiniona tu analala mbele aliona aibu sana ila mimi wakati huo hata sijali .

Hiyo ilikuwa zamani ,kwa sasa ni expert wa kula kimasikhara .. story inakuja


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja kidogo, umesema ulikuwa ukisubiri majib ya F4,ila mwisho ukasema likizo yako ilikuwa tamu, vip ama mi najichanganya??

"And the best that you can hope for
Is to die in your sleep."(Others ar usless)
 
Karibia miaka 30, leo ndio nimejua kuwa TONE LA DAWA YA SURUA HUWA LINALEGEA KAMA MWANAMKE AKIWA KWENYE HALI JOJO 😂
 
Ndio maana wanaume tunahimili kuoa wanawake zaidi ya mmoja maana hatuna maswali ya NANI KAKUPA NAMBA YANGU/UMETOA WAPI NAMBA YANGU.
 
Halafu watu wanamkomalia sana huyu binti. Laiti kama wakifahamu ambayo yanatendwa na wake zao/madem zao, sijui wataficha wapi sura zao.
 
Ulipima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…