Hiyo nyumba sijui ina hatua gani.
Pili ameanika sana hizi taarifa ni rahisi kufahamika.
Tatu, hii nayo ni sifa?
Mnakulana gizani lakini unakuja kusema hadharani, hii imekaa je?
Tubu jamaa yangu! Hiyo ni laana umejitafutia.mke wa mtu? Dah...mbaya sana kiongozi..fikiria jamaa yake anavyoparangana juani halafu unamtombea! Yaani huyo dada kaona unaanza ujenzi kaingia tamaa..sasa elfu 15 imesaidia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unataka kusemaje kwenye huu uzi?
Halafu sahivi nyuzi za kujisifia kuwalala wake za watu zimeanza kujaa humu. Sijui ndo sifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kama unakimbizwa boss, story nzuri ila ulivoiwasilisha wachache watakuelewa, kaa utulie uandike ueleweke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akuepushie korona mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaani hadi Mods Wameamua kuunganisha Uzi wako na Wa Riki Boy 😂😂😂
Ila seriously idadi ya wanaume inazidi Kupungua siku baada ya siku, siku wakikufumania ulete mrejesho hapa.
 
Lin unamalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…