ka story katamu,sasa naona mkuu utakuja na story ya mjapani sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sina wa nje ya nchi, kuna matukio nimefanya mpaka mi mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo nahisi jini kanivaa kabisa sio mimi halisi nayafanya.
 

Mkuu inabidi kwa heshima na tahadhima niwasilishe jina lako UFIDU tena soon utapewa cheo..nikuombe tu kabla kuwa usikatae uteuzi maana nimesha wa-brief wajumbe wa mkutano maalamu wa uteuzi kuhusu wewe..tafadhali mkuu.
 
So kesho tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu ndani kutesanaa kimawazo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani kama ulikuwepo mkuu, tulikua tunaongea asubuhi ile akaomba nipitie asubuhi na mapema kesho, nimemkatalia maana pale wanapoishi mazingira sio rafiki ya kusimamia kucha... Nmemwambia atafute siku tuende pahala.
 
Duu Mungu anakuonaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnakulana wakati yupo kwenye mipango ya ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee unasema vikao?
Kuna mmoja ilibidi nichelewe kazini akitaka tukutane asubuhi kwa mara ya mwisho siku ya ndoa yake, maana alidai akiolewa hatachepuka tena.

Lkn baada ya mwaka nkamcheki km salamu na kumtania km bado msimamo wake anao akaniambia anahisi km atashindwa nkabaki nacheka tu.
 
Bi mkubwa aliwahi niambia, ukiwa kitombi sana inafikia hatu unakuwa na harufu ya k tu, ambayo huwavuta wasichana kwako, sasa hapo ni hakuna kutongoza, ni kuwakula tu.
Mi dingi aliniambia kabisa kwetu kuna damu mbaya sana kwa viumbe wa kike, kwa hy nisiwaendekeze sana, akadai nsimuone na maisha aliyonayo kama sio wanawake angekua milionea.
 
Ila huyu mshikaji wangu alifariki 2008 ghafla tu na hakua na mtoto hata wa kusingiziwa. R.I.P Jose.
 
Wee labda umewala wa2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (joking)
Na wewe weka tuone mbona sisi tunajulikana? Kwani uongo?

Mi kuna mmoja nna uhakika yupo humu na jukwaa lake pendwa ni mmu (ila sijui id yake) na kuna stori yangu moja humu akisoma lazima ajue ni yeye tu.
 
Wakati namaliza chuo nilipata kazi kwenye kikampuni fulani kichokuwa kinafanya Event Organization. Sasa mojawapo ya project ya mwaka huo ilikuwa kuandaa shindano la urembo kwenye ngazi ya kanda na kwa bahati nikapewa mimi kajikitengo hako of course na wakubwa wangu pia walikuwepo.

Sasa nikapewa kazi ya kuwa judge kwenye shindano la urembo kwenye chuo fulani hivi. Sasa tukaenda kuwangaalia wakati wanafanya mazoezi ya kujiandaa na shindano ambayo yalikuwa yanafanyika kwenye ufukwe mmoja maarufu sana. Sasa bwana kwenye kuwaangalia washiriki na kufanya prior assessment tukaspot kama wasichana watatu hivi ambao wangekuwa considered kwa ushindi kulingana na physical assessment. Sasa mmojawapo mimi alivuta jicho langu lakini pia baadae wakati tunaondoka alivuta jicho la maboss wangu pia (mbali na work and ethical assessment tuliongea kama wanaume pia maana walikuwa wananichukulia kama mdogo wao)

Basi ikapita mpaka shindano likapita na yule msichana akashika namba 2 kwahiyo akawa anatakiwa kwenda next stage maana washindi wawili ndio walikuwa wanaadvance kwenda ngazi inayofuatia. Mpaka hapo sikuwa nimeongea naye kama yeye wala kuonyesha interest yoyote kwake.

Baada ya kama wiki moja hivi tukatakiwa kwenda tena kwenye chuo kingine nje ya Dar es salaam ambayo pia kulikuwa na shindano kama hilo. Sasa tuliporudi kutoka huko ndio picha likaanza. Kumbuka nilisema kwakuwa washindi wawili walikuwa wanaendelea next stage tuliporudi ikabidi tuwatafute sasa ili kuanza kuwekana Sawa kwa ajili ya maandalizi ya next stage, so nilikuwa mimi na boss wangu mmoja hivi alikuwa mzinzi mzinzi sana. Basi tukakaa nao wote wawili pamoja na mwingine aliyeshiriki tukala lunch kwenye cafeteria ya chuoni hapo na hapo sasa ndio tukaanza kusikia story zilizokuwa zinaenea hapo chuoni. Kwanza ndio nikajua kwamba yule msichana alikuwa mpenzi wa VP wa hicho chuo na kwamba Siku hiyo walikuwa na ugomvi kwasababu ilisemekana huyo msichana alienda na mimi huko kwenye hicho chuo kingine tulikoenda kwa ajili ya shindano. Kwahiyo kumbe na kwenda kwetu pale watu wakawa wananichora tu kwamba nimechukua demu wa VP. Wakati huo mi hata namba yake sina na wala sijaongea naye chochote zaidi ya mazungumzo ya jumla ya maandalizi ya shindano.

Basi of-course baadae tukaja kuwa washkaji flani hivi lakini nikiwa sijamwambia chochote kuhusu kumtaka.

Sasa Siku moja tulikuwa na event nyingine so tukawaalika kama wadau wetu washiriki na sisi, sasa kumbe yule boss wangu mzinzi mzinzi ye akawa ameshaibuka na mwingine wa hapo hapo chuoni so baada ya ile event tukaanza kuwarudisha makwao au hostel mwisho tukabaki kwenye gari yule boss wangu na huyo demu wake na mimi na huyu msichana. Namuuliza msichana we unaenda hostel au nyumbani? Akasema ametokea nyumbani na kwa muda huo hawezi kurudi tena home so nikajua tu hapa haihitaji calculator kujua 1+1 ni ngapi. Nikamwambia yule boss wangu maana tulikuwa kwenye gari lake kwamba tumtafutie huyu sehemu ya kulala na kweli tukaenda mpaka kwenye lodge fulani hivi sinza tukashuka nikawaambia ngoja nimchikulie room ila nikamwambia yule boss wangu nyie sepeni.

Tukapata room tukaingia ndio ananiuliza “Kwani na wewe unalala hapa?” Nikamwambia sasa ulitaka nikuache ulale mwenyewe, kitu kibaya kikikutokea? Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa mahusiano na yule msichana ingawa hayakudumu sana tulikuja kuachana baada ya kuambiwa alikuwa ameanza kuhang na wale wadada maarufu vyuoni kwa kuwaunganishia mapedeshee watoto wazuri. So tukagombana tukaachana.

Siku hizi ameolewa ingawa tunawasiliana bado, hata Leo nikitaka mzigo napewa kiroho safi kabisa ila “Heshimu sana ndoa” ndivyo maandiko yanavyosema so naheshimu sana ndoa yake na mi ndio nimekuwa mshauri mkuu wa ndoa yake.
 
Itakuwa ana dawaa mkuu
Kipindi hicho mi nilikua bize kutafuta ela baada ya kuingia mjini, lkn baada ya mimi kujikuta nna matukio yanafanana na yake nkajua wala sio dawa ni mbinu shirikishi tu.
 
Nembe ndo nn mwanangu.... na la huyo lipoje tujunze vyema mwanetu....
 
Duuh jamaa kitombi lakini hakuwa na mtoto.. walimloga nini[emoji33][emoji33]
Yaani hata sijui kila mtu alikua haamini kwa waliomjua tabia yake.

Alipewa kazi mahali dukani akala watoto wa2 wa boss wake na mke wa boss, ilimfanya akimbilie kwao ndio a kaanza kula watoto wa sec, ila demu wake wa mwisho kua nae in deep sana alitoa mimba baada ya kumfumania mshikaji wangu.
 
Au boss bhasi alimfanyia mambo yani kala familia nzima ya boss duuh...!! Huu msala mzee..
 
Au boss bhasi alimfanyia mambo yani kala familia nzima ya boss duuh...!! Huu msala mzee..
Siamini hivyo sana maana alifariki miaka minne baadae, yaani huyu mshikaji anamaliza std 7 kijijini ana madem kibao mtaani, wengine nimekula kupitia yeye. Tushawahi kula mtungo demu wake mmoja huko kijiji. Yaani kwa kifupi jamaa alichangia sana kua na tabia niliyokuanayo, maana nilikua namuonea wivu sana, na nilivyokuja dar nilianza kufanya kazi kwao bado anawaburuza tu mpaka geto kwangu anawaleta.

Nakumbuka demu mmoja jirani na kwao hapa dar walimla yeye, kaka yake na mdogo wake kwa siku tofauti, zamu yangu nkapotezea naumwa, lkn ni woga tu wa ngoma ulinishika maana wazazi wao walikufa kwa huo ugonjwa pamoja na wadogo zake wa2.
 
Nakuelewa sana mkuu..... yaani mm kutumia nguvu kutongoza demu haikuwa asili yangu kabisaaaaa..... wengi nimewala kiulaini kupitia mashara sihara tu na zile outings basiiiiii.... demu msumbufu mi nilikuwa nikimwambia kama hutaki kunipa poa potezea mazima.. mbona wengi unakuta baada ya muda wanarudi kunitafuta.....

Kuna moja hivi nitawapa nikipata muda nilivomla mtoto mmoja mkali sana aliyekuwa anaenda report UD mwaka wa kwanza ambaye tulikutani kituo cha basi na alijifanya mjuaji lkn sikun kaja kunitafuta mwenyewe....
 
Aisee msalaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa alikula puss miaa na usheheee bila hata mimba ya kusingiziwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…