Mtu anataka uwe unafunguka Kila kitu yaani ajabu
 
Fanya umuweke ndani huyo mrembo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipokuelewa mjeuri
kinachosomwa na kufurahisha kwenye huu uzi ni content, flow nzuri ya story, pamoja na uhalisia wa tukio lenyewe,
Ukishaanza kutaka kujua details za watu ni shida na ndio sababu wasimuliaji mahiri huficha details ,ili kunusuru mambo yasiwe wazi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hongera kiongozi!
Kuna mjinga atakuja kuuliza inakuwaje binti wa miaka 22 anafanya kazi hotelini! 😂😂😂

Acha tuendelee kuzichakata kimasihara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba omary au sikkk
Sent using Jamii Forums mobile app
 

One of the best best story. Hongera.
 
hamna usiogope ati hahahaha
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Jamaa wanataka uandike code zote.
Halafu kwanini wanataka kuumiza kichwa? Mtu ameshaliwa bado wanaumiza kichwa kubisha.. mimi nafikiria tuendee kuandika kwa code
 
tina wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…