Semere92
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 577
- 777
Si ni nshu Mkuu, ni ishu.... SEMA ISHU sio INSHU tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshu sio kukosoa.. Kuna vitu vingine inabid tu u reason.. Ndio maana mwishoni apo kwnye io comment yangu nimesema Labda mim tu ushamba wangu.. Sijui kama ma she wanamaliza shule mapema ivo...
Alafu iz inshu sio mashindano kwaio mtu akijalibu Ku reason kawaida tu ww mueleweshe.. Kuna watu wanaisi wanashindana hapa.. Hahahah ww njoo toa kisa chako watu wa enjoy.. Ila unaangalia na story zako isije Kua kama yule jamaa aliemla Bibi wa miaka 60 + na akashika mimba..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app