Naona watu wa JF kila anayepanga nyumba basi anapanga chumba na sebure tena self contained room, utasikia "tulihamia chumbani then tukaenda kuoga"

Hapo kazi yenyewe siyo ya professional yake, na tayari ana sofa na TV ndani na kitanda kabisaaa chenye godoro,

Kwa wale wenzangu na mimi tunaoishi maisha ya kupanga nadhani mnanielewa,
Najaribu kufikiria hizi gharama ulizimudu vipi ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakariri maisha mkuu. Kwani kazi ambayo sio taaluma yangu ndo hailipi? Na kama ulishawahi kuishi kigamboni gharama za kupanga unazijua. Pia ukisoma vizuri nilisema "baada ya miezi kadhaa nikaanza kupanga" ilibidi uanze kuuliza ni miez mingap kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka maisha yetu yafanane mkuu ?
 
ila watu
 
Siyo watu wote wanaishi Maisha ya manzese MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi tulia bwana inabidi ubaki kuwa mpenzi msomaji tuu.

Uzi umetulia wana wanashusha mambo wewe unataka ulete chai zako.

Tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
This was the best story of march.

Watu wanamapito. Hapo sio kula kimasikhara bali ni kubaka kimasikhara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote lazima wawe wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliogopa kuweka jina langu coz jamaa angegundua japo mama mtoto aling'ang'ana sana aandike jina langu nilikataa kabisa hii ingeweza kumletea shida yeye pamoja na mm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni kosa kubwa sana. Wewe si ni mwanaume? Rekebisha kabla mtoto hajawa mkubwa sana, hiyo kitu ikianza kukutesa itakutesa hata ukiwa kaburini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…