HII CHAI SASA....YANI BINTI WA MIAKA 19 AWE NESI...ALISOMA SAA NGAPI....?
 
Hao ni wafanyakazi wa NMB, wote nawafahamu.
Daa, bora hata ingekuwa kitengo flani unachoweza potezwa usijulikane ulipo angalau huyo mtoto angekuja elewa kwann ilikulazimu umkane.

Yaani niruhusu mtoto wangu abebe jina la bosi wa taasisi ya fedha kisa namuogopa, huo uoga siruhusu unipate.
 
Ninazo nyingi za kula kitu chenyewe kimasihara ila tuanze na hii....! NILIOMBWA KUWA Mc wa harusi baada ya Mc mwenyewe kapati matatzo gafla.

Miaka ya 2010's makao makuu ya mkoa flani, kipindi icho nikiwa mwanachuo wa chuo kikuu flani pale morogoro. Sasa ile nimerud home kipind cha likizo bro angu alikuwa anaoa kwa bahati mbaya Mc maarufu aliekuwa amaeisha andaliwa kwa ajili ya shughuli alipata emergence ambayo haikwepeki ili kuokoa jahaz na ukizingatia na harusi ya bro nikaona shughuli isiharibike nikashika nafasi ya Mc,,
Ebana nilifanikiwa kuendesha shughuli kwa madaha na mbwembwe ka Mc mzoefu, sasa kulikuwa kuna meza moja imepambwa na warembo watatu yaani ni pini za uhakika. Mc nikawa na maneno mengi na kumbukeni Mc kwenye shughuli akimsimamisha mtu yeyote lazima asimame nikaona uzoefu wangu na watoto wa kike aaaah lazima pale niondoke na mmoja.
Nikasema kwa heshima ya Mc wa leo, naomba mrembo kutoka meza ile alievaa nguo nyekundu aungane nami pamoja na meza kuu kufungua mziki, ebana ile amekuja kajaliwa inye hatariiii, nilivyomshika kwa ajili ya slow music tu mdomo wangu ukaenda sikioni kwake na kumwambia ww n mrembo sana ingekuwa mimi ndio naoa leo hakika ungevunja ndoa yangu leo leo, akauliza unamaanisha nn nikamwambia ni kweli coz leo najua tutashare kitanda kimoja mimi nawe, kumbuka tupo mbele pale ya ukumbi demu alipoteza control kabisa.

Baada ya mziki ile amerudi Kukaa na watu wamechanganya rangi pale mbele wakicheza mziki, nikamfata na kumpa funguo ya gari niliokuwa nayo na kumwelekeza ilipo pamoja na namba ya gari., alishindwa kukataa confedence niliokuwa nayo utadhania ni demu wangu au n mtu wangu wa kitambo.

Kumbe sister mkubwa alishtukia mchezo akanifata akaniambia huko chuo inaonekana umeenda kuchukua degree mbili., nikamuuliza ka anamjua vizur hata jina lake, akaniambia anaitwa J anakaa kwenye zile Gorofa za NHC, nkamwambia sister inatosha mengne ntajua mwenyewe.

Nikamkuta Manzi kwenye gar kweli ananisubilia, nikamwambia endesha twende akauliza wapi, nikamwambia kwako akasema anakaa na mdogo ake na ni ngumu mimi kwenda kwake kwani hatujuani, nikaanza story nyingi sana pale ili watu waishe kabisa eneo la tukio, tutakapo Baki wawili awezi ninyima papuchiii....!
Akaanza kunihimiza nimpeleke Kwake kwani wenzake wameisha ondoka na n usiku haaminni boda boda, nikasema tupite kwanza home nione ka nilifunga nyumba kwani funguo sizioni.

Bro aliniachia nyumba yake kwani siku iyo walianza honeymoon, nilivyofika home yeye alibak kwenye gari, nikaingia ndani mm na nikaficha TV nikamuita nikamwambia tumeibiwa TV, twende polisi basiii oooh mara wezi bado wapo mazngra haya ukoondoka wataiba vitu vingne. Ikabid bibie alale kwa uoga akaomba tulale wote ila tusifanye kitu nikaridhia. Ki ukweliii usingizi haupo kila nikijigeuza huku wapiiii kumbe na yeye alikuwa katulia tu hana usingizi..! Nikaamka kuelekea sebleni akaniambia unaenda wapi sasa, kumbe hata ww hujalala nikamuuliza...!sina usingiz nachukua wine nikamjibu, nilivyorudi dompo na glass mbili...! Haikupita nusu saa sikumbuki nini kilitokea zaidi ya kuniambia umenit*** bila condom.


Asubuhi fasta sana nikampeleka Kwake na mie nikimdanganya naelekea polisi kutoa taarfa ya wizi.
Hatukuishia hapo tuliendelea kulana kama kawaida na tulipima HIV wote tukawa tupo poa., aliamishiwa Jiji flani iviii kikazi ila nakumisss J.
 
Bado unamla boss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka 2015?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaa haaa haaaa we mtu hatari sana

Au modds mnasemaje?
 
Sijui ni ya rangi au ya Maziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kawaida mzee Kuna wakishua, wazee wa mishe, maforex, kuna walionunua na boom. Labda uanze kujiuliza wakisema wana nyumba na magari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manina,mabaharia hatujawahi kufeli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama MD ana akili na yupo humu atakuwa ameshakufahamu. Ulipotaja branch ya Mbeya na Arusha ndio ulipounguza picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…