Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).

Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye urembo wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku nikiwa nimemkazia macho, alifika pale nilipo huku akiangalia tiketi yake mkononi, baada ya kunisalimu akaketi pembeni yangu na kutulia tuli.
Baada ya mwendo fulani safarini tukajikuta tumetumbukia kwenye stori za hapa na pale, stori zilienda kwa muda na mara kila mmoja akaanza kusinzia kwa wakati wake, nilipokuja kushtuka baadae nikamkuta bi Dada ameuchapa usingizi na wala hajitambui, baadae kidogo nami nilisinzia tena na kupotelea usingizini. kabla ya sote kushtuliwa na tangazo la Muhudumu wa Basi kwamba tunaingia hotelini kwa mapumziko ya dakika kumi pamoja na kupata chakula.

Baada ya msosi na kurudi kwenye basi mastori yalianza tena upya huku wote wawili tukiwa tumechangamka tofauti na pale awali, ndipo kwenye maongezi nilipogundua yeye ni mke wa Mtu mwenye Watoto wawili, na tena akanionyesha picha za wanafamilia wake alizokuwa nazo kwenye simu yake.

Ndipo la haula nilipogundua kuwa muda wote wa safari nilikuwa nimelala na Mke wa Mtu. Hakika tulifurahiana sana kwenye safari ile, huku stori zikinoga kadri tulipokuwa tunakaribia eneo la ubungo ambako ndio kituoni na mwisho wa safari yetu, tuliagana kwa bashasha huku tukitakiana kila la kheri kule tuendako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Nzuri mzee baba mie naendelea kuwala mpka leo, vipi hukupata bia maeneo ya nr
 
 
Ok Ok, nimevutiwa na uzi acha niwape story ilikuwa juzi kati tu hapa kabla ya Corona kuingia Tanzania, kuna demu nasoma nae class course moja kwenye chuo kikubwa mjini dsm, tulikuwa kwenye mitihani ya kumaliza semister iyo siku kesho yake tulikuwa na paper moja gumu hatari la econometrics demu alikuwa anajua mimi nipo fresh kidogo class na washikaji zangu tunakaa nao ghetto demu akaomba aje maghetoni tudiscuss nae ilikuwa mida ya saa 5 usiku sio swala kwakuwa tulikuwa na dinga tukaenda mchukua hostel anazokaa (analalamika lwenye hostel yake hakuna mtu anayesoma ilo somo), basi tukafika ghetto tukadiscuss hadi saa 7 demu akasema amechoka nikampeleka kwenye chumba changu akalale mixer nikamuwekea movie demu akasema i can't sleep alone hapo hapo akilini nikajiongeza kwamba hii ngoma naruka nayo tukakaa pale tunangalia movie kidogo kidume nikaanza kazi mtoto anatako huyo anakatika sijawahi nyonywa mboo kama vile hata siku moja baada ya pale akaniambia una condom nikachukua fasta maana ninazo nikamgegenda vizuri sana yule mtoto na kesho baada ya paper tulirudi maghetoni kamla tenah, Huyu demu anabwana wake wamwanajeshi na wanapanga akimaliza chuo wafunge ndoa na itakuwa chakula yangu kila siku bwana ake akiwa depo mamaeee... mtoto mtamu ( Ila niliambiwaga ananikubali kisenge huyu demu )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo somo lakise.nge saaana. [emoji23][emoji23][emoji23]

komesha korona
 
Haya wajeda wenye wapenzi wanasoma vyuo vikubwa Dsm na wanatarajia wakimaliza wafunge ndoa kaeni chonjo.


Ila safi Mkuu!!!.
 
unachokosea ni kufanya generalization, halafu unajilinganisha na mapito yako
wadau wa jamii forums ni wachache sana kwa idadi ukilinganisha hali halisi ya mtaani,
kwa Tanzania kama mtu anaweza kuingia jamii forum na ku post , kwa status jua yupo beyond average ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kusoma ilibidi nirudi juu kuangalia jiana kama ni mikito mikito [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert mkuu nipooo. Ilikuwa nafatilia hii JERUSALEMA ya huyu mamii master kg. Kweli wasouth hii In da house ni mabingwa. Mziki wao upo juu sana. Namlinganisha master kg na Busiswa wapo juu sana lakini ni dhahiri Ma DJ wa South Africa wanafanya kazi kubwa. Wa kwetu hapa bongo wanafeli wapi
 
Hongera ila nenda kwa uangalifu, wanajeshi siyo watu wazuri siku akikufuma, yan utaruka kichura, utabeba dunia, utakwepa roketi mixer na kupigwa pipe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…