Ngoja niwape hii story sasa sijui kama nilikula kimasihara au Pisi ilinitega.
Nipo kwenye Kitaasisi fulani sasa huwa kila mwisho wa mwaka huwa wanakujaga External Auditors(Wakaguzi) kwa ajili ya ukaguzi wa mahesabu na Kampuni inayofanya shughuli hiyo ofisi zao zipo Kenya.
Mwaka wa fedha 2018/2019 wakawa wametuletea Binti mmoja matata sanaa kama Mkaguzi, alikuwa ana rangi moja hivi amaizing,acha zile rangi za Wakikuyu maana ni weusi ila Pisi hii ilikuwa tofauti, sasa hii PISI ilikuwa na rangi fulani ya chocolate, nadhani jamaa walikuwa wanamlipa vizuri maana ulaini wa ngozi yake na manukato aliyokuwa amepiga yalikuwa sio ya nchi hii (Sio marashi ya Makongo juu).
Wale wazoefu mnafahamu zile purukushani zinazokuwepo Wakaguzi wakija, asa kuandaa nyaraka na mavitu kibao na hujui watahitaji nini?. Siku nzima ilikuwa busy saana kwa hivyo si concentrate saana na uzuri wa yule Binti a.k a PISI mawazo yalikuwa wanapitaje salama bila kuwa na Mahoja yasiyojibika.
Baada ya ukaguzi wao kama siku tatu hivii na kujitaidi kote kumpelekea Nyaraka na vithibitisho lakini ile PISI ilinipiga hoja za ukaguzi kama KUMI NA MOJA mpaka nikatepeta Mzee Baba. Nikajitetea wapiiii nikaona isiwe ishu wanaume tumeumbwa mateso nikaamua lolote liwe tu maana baada ya kuandika hoja zake kesho yake asubui ndio ilinibidi akaziwaikilishe kwenye Management meeting mbele ya Bosi.
Jioni nikarudi home na wenge la hatari nikaamua niende Lounge moja iko kwenye Hotel fulani nikapige Mitungi tu ili nipate usingizi. Nikapiga tungi hadi saa nne nikajisemea wacha niende Toilet then nisepe Home. Wakati natoka chooni nikakutana na ile Pisi (Mkaguzi wa Nje) wazungu wanaita External Auditor imekaa pekee yake tu ina piga Wine, nikasema ngoja nimchenge maana kwa muda ule, na yale Mahoja yake ya ukaguzi aliyonipiga nayo lazima angejua kuwa sipo makini kwa sababu ya ulevi.
Ile natoka tu kumbe kaniona akaniitaa K.. njoo, maana ile PISI inaongea Kiswahili ila kibovubovu, nikaenda pale nikampa Hii.... akaniuliza upo hapa muda mrefu mbona sijakuona, nikamwambia nilikuwa Kaunta ila muda umeenda nataka nisepe Home. Akaniambia naomba unipe Company nimalize Wine then nawe huende nikasita sita baadae nikakubali maana Chupa ya wine ilikuwa nusu so nikajua baada ya nusu saa atakuwa ameshamaliza.
Kumbe Pisi ilikuwa very charming Mzee Baba, baada ya kumaliza Wine yake. Nikajiongeza nikamwambia kiutani naweza kununulia kinywaji unachotumia, Pisi ikakubali nikamwita muhudumu nikamwabia mletee Wine Chupa nyingne. Ile Pisi ikadakia mbona unaninulia wewe haunywi? Nikajiongeza nikamwambia muhudumu niletee Red Label ndogo, Muhudumu akasema ndogo zimeisha hipo size ya kati, Nikasema lete nikishindwa kumaliza nitaenda kuipigia Home.
Tukaanza piga Story kwenye zile Sofa huku mi najiboost mdogo na Whisky yangu, Mzee Baba mzahamzaha nashangaa ishafika saa 6 usiku. Wine ikamchamsha sana yule Mrembo, nikaona mida inaenda tu ikabidi nimwambie nataka kusepa PISI ikaniambia tuondoke wote hawezi kubaki pekee yake maana amaefikia Hotel ambayo ina hiyo lounge.
Akaniambia anaomba nimpeleke room then ndio niondoke, basi bila hiyana nikaongozana nae mara nashangaa amenikumbatia nikasema wenzetu wana mambo ya Kizungu nikaona sio ishu nami nikamkumbatia maana ufunguo(Kadi) alikuwa nao ulikuwa na namba ya room so sikupata tabu nikafungua mlango nikamlaza kwa Bed. Nikamwambi Kwa heri...
Akaniambia njoo nikuhug then uondoke nikaona sio kesi nikamuhug Mzee Baba. Cha kushangaza akanikumbatia kwa nguvu saaana kama dakika mbili. Nikajisemea moyoni hii Pisi itaona wa TZ maboya, nikajiongeza nikashusha mikono yangu kwenye msambwanda mara Pisi ikaniletea mdomo, nikapiga ma Romance ya kufa mtu, mara nikaingiza mkono kwenye nanilii yake nika nawa sanaaaaa.
Pisi ilikuwa inapumua haraka kama Scania lipo Kitonga, kutokana ya ma stress yangu nilipiga shooo ya hatari maana ukichana na mi WISKY na yale ma stress yangu ya ofisini ya hoja za ukaguzi, Wazungu hawatoki Mzee Baba, Nilipiga kama lisaa limoja wazungu wamegoma kutoka ikabidi nimwambie twende tukaoge kwanza baada kuoga tukaendelea bafuni nikasimamia shoo sanaaa then tukarudi kitandani piga shoo heavy wazungu ndio wakatoka.
Nikaoga fasta kucheki saa ni saa 8: 30 usiku Mzee Baba nikamwamsha Pisi hiko hoi ishapitiwa na usingizi nikaamua mi kusepa zangu Home.
Asubui nikawai sana maana Exit meeting ilikuwa saa mbili asubui, tumekaa kwenye Kikao tunamsubiri mgeni wapi hatokei, nikajisemea moyoni kwa ile Shoo ya usiku nisije nikawa nimemuua Mkenya wa wa watu. Alikuja kutokea saa tano asubui badala ya saa mbili.
Cha ajabu Mzee Baba kikao kilianza muda umeenda alikuwa anatoa maelezo kila kitengo na hoja zake alizoziona, kufika kwenye kitengo changu nikajua atataja zile HOJA KUMI NA MOJA alizokomaa nazo jana, lakini hakutaja hata hoja moja Mzee Baba bali alisema tufanye maboresho kiasi maswalah fulani kwenye idara so hio haikuwa big issue saaana Mzee Baba hiyo ndio ilikuwa pona pona yangu.
Ila hadi sasa tunawasiliana na huwa akija huwa najilia vyangu...