Huu usimuliaji naipa mia ya mia Mammaae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeee!!...Nilidhani ulienda uchi ub@o ukiwa umeuvalisha condom.

Bodaboda angekimbia akijua umeenda kumut@mba yeye[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] ukitaka muvi kamili mubashara subiria siku ya mwisho si wanasema kuna ile video ya Mungu kuonesha matukio ya binadamu? Enheee..sasa ukae mbele ikifika zamu yangu ufaidi mzee[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa ni mwaka ule nilipokuwa JKT kwa mujibu wa sheria, Operation Nidhamu. Nilikuwa mchezaji mzuri sana wa mpira wa kikapu kiasi cha kuchaguliwa katika timu ya JKT ya kanda na kisha timu ya JKT taifa iliyoshiriki mashindano ya majeshi mwaka huo. Kwa mantiki hiyo, yale mafunzo na kwata sikuyapata kwani tulikuwa katika mazoezi na mashindano muda mwingi mbali ya kambi niliyopangiwa.

Baada ya kurudi kambini mwezi wa November kutoka katika mashindano ya Majeshi, tulipewa wiki mbili za kwenda kupumzika nyumbani. Niliporudi kambini baada ya likizo, nilipangiwa katika Kombania B 'Uzalishaji". Hii ni kombania ambayo wengi wao hawakupiga kwata kwani kombania hii ilijikita zaidi katika shughuli za uzalishaji.

Katika kombania hii nilikutana na marafiki zangu hivyo maisha yalikuwa mazuri mno. Nilikutana na binti mmoja ambaye alitokea kunipenda sana, yeye alitokea katika shule moja ya kijeshi ya wasichana (enzi hizo sijui kwa sasa) hapo Tabora. Mabweni ya wasichana (Yaliitwa Serengeti) yalikuwa mbali hivyo wakati mwingine ili wasichelewe kuamka wakati wa asubuhi walikuja tukalala wote! Kutoka na uchovu wa siku nzima ilikuwa sio rahisi kufanya tendo la ndoa kwani ile unalala tu utashtuka saa kumi unaamshwa na tarumbeta!

Hii siku ilikuwa ni Jpili siku ambayo mara nyingi kazi hazikuwa nyingi. Tukiwa tupo tunapiga story sehemu na huyo mdada, mara lilitokea gari/lori la jeshi yale makubwa sana (40 ft). Mara nyingi yalipokuwa yanakuja haya malori ama yalileta mizigo au kuja kuchukua. Nilipoliona hilo lori nilimwambia huyo dada twende zetu msituni tukakae huko vinginevyo tutakamatwa ili kushusha/kupakia mizigo. Kumbuka haikujalisha ni watu wangapi watapatikana kushusha/kupakia......watakaopatikana ni hao hao hata kama ni watano lazima mizigo ishushwe/ipakiwe.

Basi tukajichoma zetu msituni na huyu mdada huko tukafanya yetu kwa mara mara ya kwanza. Hakika nilienjoy penzi la huyu mdada. Tulikaa msituni zaidi ya masaa matano. Ile tumerudi tukakuta wenzetu wamegawiwa Green Vest na Kombati.....Sisi tukakosa. Huyu mdada sasa ni mwanasheria mzuri, kaolewa na anawatoto.

Dear J, I still cherish those good memories we shared together. You were such a loving and caring gal. Keep it up!
 
Safi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

i like the way ulivyosimulia story yako..hata kama ni chai basi hii utakuwa umeweka viungo vingi mnooo..but who cares...
 
Safi sana mkuu wa kazi.
 
Balimi zimeanza kuzalishwa lini jamani??maana mimi kwa uelewa wangu nimeanza kuziona sokoni miaka ya kuanzia 2011 kija juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaaam
komesha korona
 
Yan kuna story ukianza Kusoma tu msitali mi 5 unajua tu hii ni mkasa wa kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE ="Liverpool_Jr, post: 33714975, member: 566359"]Aenziwe RIKBOY.!!
Mzee wa Uzi wa masikhara..[/QUOTE]

Namba 1. Naunga mkono hoja. Miaka ya 2012 nilikulaga mabinti wawili wa mama mwenye nyumba bila wenyewe kujijua. 19 & 21 years old....wale watoto walikuwa walikuwa watamu wasaaafii hatari.
 
Mkuu ulifaidi sana maana hiyo ya kujikuta tu ndani ya game, haina kutongoza wala kuzungushwa kwamba jibu lako baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…