Col Mlay nakumbuka sana operation miezi 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlay alifariki mwaka jana kama sikosei.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu ndani kama kuna stori za kweli basi watu wameongezea chumvi na ni mbili kati ya kumi nyingine zilizobaki ni fantasiez tu za wana....porn zinazoanzaga na stori zinatuharibu sana mashikaji....btw huu ni uzi mkali miaka 1000
 
We hujawahi kula kimasikhara? Weka kisa
Humu ndani kama kuna stori za kweli basi watu wameongezea chumvi na ni mbili kati ya kumi nyingine zilizobaki ni fantasiez tu za wana....porn zinazoanzaga na stori zinatuharibu sana mashikaji....btw huu ni uzi mkali miaka 1000

komesha korona
 
Humu ndani kama kuna stori za kweli basi watu wameongezea chumvi na ni mbili kati ya kumi nyingine zilizobaki ni fantasiez tu za wana....porn zinazoanzaga na stori zinatuharibu sana mashikaji....btw huu ni uzi mkali miaka 1000

ww ndo huna habar lkn maisha yako hivyo matunda yanaliwa kimasihara
na isitoshe huu uzu hatuko hapa kwa ajili ya kujaji ipi story ya kweli ipo uongo kikubwa tufarahi tuongeze cku za kuish
 
Ni kawaida yao..huwa Wana toa namba wakija maghetoni kuuza line,na tunawatafunaga kwel...,
No huyu ni wa ofisi kuu ya mkoa. Nlipoteza line nikaenda kurenew, sasa namba si niliandika kwenye form? Nimemaliza kurenew akaniambia eti anaomba asev namba ili anipigie kunikumbushakujiunga na kifurushi. Ss kuna maswali aliniuliza yapo nje ya mada ya usajili mf. Kabila baada ya kuona jina langu, mwaka wa kuzaliwa. Pia hakutaka niondoke mapema akawa anajizungusha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe nlimwelewa sema huwa sitongozi ovyo ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bia za muda mrefu kabla hata ya 2003. Hiyo bia ndio ilikuwa inadhamini mashindano ya kupiga kasia Mwanza.
Mkuu huyo atakuwa alisoma memkwa na alikuwa anaishi kijijini sana kiasi cha kutosikia neno balimi. Balimi ni bia ya wakulima na imekuwepo kitambo sana, sasa kama haijui balimi mpaka 2011 akiambiwa kuna bia iliitwa Kibo Gold si atabishana mpaka mwakani?...
 
Bila kusahau bia Bingwa [emoji2960][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafinga kuna yule afande pillato alikuwa mnoko kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi piga beki 3 kimasihara akanasa. Ilikuwa tabu ndani ya nyumba. Kila nikimgusia kuhusu suala la kutoa akawa anakuwa mbogo. Dogo alikuwa kiburi mpaka nikajuta.

Katika harakati za kusugua akili ni jinsi gan ntamaliza msala kuna jamaa akanambia kazi ngumu huwa ni maji na mafuta na mimba changa.

Sasa Kuna shimo lilikuwa pale home limejaa maji nikamwambia wife nahitaji yale maji yatolewe yote kuna ukarabati nataka kulifanyia.

Wife akamu assign beki tatu ile kazi ya kutoa maji kwenye lile shimo. Jioni yake wife ananiambia eti beki 3 analalamika mgongo na kiuno vinamuuma anaomba kesho yake apumzike. Ikabidi niwe mbogo wife akakubali yaishe kesho yake kamwamsha saa kumi na moja asubuhi aendelee na kazi ya kuchota maji.

Moyoni nikajisemea Yes, jioni yake narudi najipitisha pale kwenye shimo kucheki maji hayajaisha. Naingia ndani kutaka kuleta noma wife ananipokea mlangoni na maneno yanayonifanya nijione bonge la bwana "mume wangu, rais wa malofa, mdada ameshindwa kumaliza kazi uliyonambia nimwambie aifanye" kuuliza kwanini nikaambiwa anaumwa tumbo na hapo alipo anatoka damu nyingi saana. Nikazuga zuga pale, moyoni nikajisemea mission accomplished.

Imepita miezi minne na beki tatu bado yupo, siku moja alinitumia sms "sikutaka kutoa mimba yako sababu nilijua wewe ni baba sahihi wa mwanangu, Una akili saana byee."

Mpaka leo sijawahi kuliongelea lile shimo na maji yake. Wife nae yupo amebunda tu hajui nini kilitokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…