Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Col Mlay nakumbuka sana operation miezi 6Huenda vikosi vinatofautiana maana sisi tulipewa hizo green vest za kijani, godoro, buti mestin na kitanda godown. Mnapangwa mstari unachukua kimoja unatoka unaunga tella unachukua kingine mpaka vikamilike mdundo sasa ni ule muda wa kuvibeba vyote kwa pamoja logwa sasa upewe kitanda cha banko hakina spring unapewa chaga za mabanzi huo mzigo ni balaa. Mafinga sitapasahau enzi za Mlay RIP. Lengo ni kuonyesha mtofautiano wa kambi na kambi kama mimi uzoefu ulivotofautiana na wa kwako. Ila hilo la mwanaume kuingia mahanga ya wanawake namaanisha serengeti mmmh nina wasiwasi. Ingekuwa mwanamke kuja mahanga ya wanaume wao wanakuja sana afu kibalbu ni kimoja ukiwa mwisho wa kona ni kama giza kuna mabaharia walikuwa wanakula mzigo tukiwa humohumo ndani hasa siku ja jumamosi watu wakienda disko.
Sent using Jamii Forums mobile app