Umejua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]acronomy ,nimeonoa Na mm ni Google maana ya cuddling..nilikuwa cjui...[emoji23][emoji23]
Siku hiyo nimeenda club na jamaa angu Sina mpunga wala Nini, jamaa akaniambia twenzetu tu, ndio siku hiyo nikavunja kabati Yani nikachomekea kama jamaa flani Hiv mwenye pesa ila atak kuzitumia tumeenda club moja Hiv maeneo ya mjini ambapo manzi wa maana unakutana nao sana humo ndani na ilikuwa mpya so manzi wa kutosha tu,
Jamaa akmwita manzi yake akaja na rafik ake humo club na jamaa akawa anasimamia shoo zote yani hadi mwisho, huyo rafik ake alikuja na manzi moja shombeshombe Hiv Yani kali sana akawa ananipa story ila mi nikawa kama sipo interest nae wala yan, kuna jamaa mwingne akaja anamfaham yule manz na mm huyo jamaa nampata akaniuliza kimtindo kama manzi angu nikamwambia Hapana kisha akamchukua wakaenda kucheza nae baada ya dk 3 yule manzi karud anasema yule jamaa sio mstaharab kila akicheza nae jamaa anamshika yule manzi ma**ko, so manzi akakaa namm pale kwasabab mi uwa siwezi kucheza mziki, badae jamaa akarud pale yule manzi shombeshombe akachukua simu yangu akaandika namba yake mwenyew akaniambia utanichek, nikamwambia Poa, manzi akaondoka akamwacha rafik yake na jamaa, Mimi pia baadae kidogo nikaondoka zangu
FAST FORWARD, next day nikawa nachat na yule manzi akaniambia anataka aje apaone kwangu nikamwambia leo sipo Njoo kesho, sasa hapo nawaza yule manzi anaonekana ni gharama alaf sina mpunga Yani itakuwaje, siku ikapita, ikafika jpili na kuna mvua manzi anataka aje daaahh nikamwambia kausha mvua ikate manzi akaniambia nielekeze mi nakuja na bajaji nikamchomolea aaaaahhh manzi kavimba kinomaaa Kwenye simu akakata, nikasema liwalo na liwe nikamuelekeza nilipo kama dk 20 huyo mtu ananipgia ananiambia yupo nje nikamfata nikamuingiza ndani nikapiga mzigo asubuh akaondoka zake, sasa manzi Alipagawa alipoona nimevaa vile akajua Nina mpunga sana alaf Nina life la high class sana kumbe muhuni tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3]Umenikumbusha mbali bia bingwa na chupa lake, nakumbuka pia kuna mwaka Kibo gold iliendesha shindano la kujishindia toyoya hilux. Hizo bia ni za siku nyingi sana
Double cabin miaka ya 1999 na 2000's mwanzoni[emoji3]Umenikumbusha mbali bia bingwa na chupa lake, nakumbuka pia kuna mwaka Kibo gold iliendesha shindano la kujishindia toyoya hilux. Hizo bia ni za siku nyingi sana
Tena picha ya cabin yenyewe ikiwa ya rangi ya damu mzee hivi kama sikoseiDouble cabin miaka ya 1999 na 2000's mwanzoni
Acha uongo ingekuwa hivyo wanawake wa vijijini wasingezaa, maana wanalima, kubeba mizigo nk mbona hazitoki?
I bet hiyo gari ilikuwa pick up ama difender. Maana siti za nyuma tu jamaa asijue kama kuna kitu kinaendelea?Mwishon mwa Mwaka Jana nilienda iringa kwa ajili ya kula mwaka mpya, na kutoka mkoa ninaohishi mpaka iringa ni mbali kidogo kwa basi nilitumia zaidi ya masaa kumi, ile nimefika iringa mjin Rafiki wa tangu utoton anaishi huko akaniambia Twende mafinga ambako ndipo makazi yake na kwasabab sijakaa muda mikoa ya baridi ilinipa shida sana tangu Nipo iringa mjin,
Tukaenda mafinga siku ya pili yake na jamaa ndio mwnyej wangu nikafika kwake ila kwa kuwa anaishi na familia yake mi nikasema sitolala pale maana nilitaka nikapate vyombo kidogo na nikamwambia jamaa anipeleke sehem yenye watoto wakali akaniambia Poa, sasa jamaA kila sehem anaponipeleka ananitambulisha kila manzi ni shemeji yangu ( Yani ni manzi wake) nikawa simuelew nikaona ananizingua huyu badae akaniambia tukienda club ntapata manzi nikamwambia Poa.
Saa 5 na nusu akanipeleka kwa manzi yake mwingne sasa hii manzi ni kali alafu ina shop ya kuuzia vinywaji maeneo ya kule kule ila mitaa siijui, ile tunafika jamaa kanitbulisha ila manzi akajitetea pale pale kuwa yeye na jamaa ni marafiki tu, so nikaamua kuyaacha kama yalivyo,
FAST FORWARD, imefika mida ya sa 9 tumeshatoka club jamaa kanipeleka Kwenye geto nilale ambalo tumefika tumekuta mwana Kwenye ilo geto yupo na manzi pia, na hapo tupo na huyo manzi wa dukani ambae nae alikuwa amepewa lift arud kwake namm nimekosa manzi nikamwambia jamaa anipeleke lodge kisha yeye aendelee na mishe zake kisha tuonane asubuh, basi nimeingia Kwenye gari nimekaa siti ya nyuma yule manzi nae kaingia kakaa siti ya nyuma, jamaa kaingia kawasha gari akamwambia yule manzi akakae mbele manzi kagoma, though kulikuwa na ugomvi kidogo maana jamaa alitaka akamle yule manzi, manzi akagoma so manzi kakaza anataka akae namm siti za nyuma na manzi ni mzuri kinoma hapo kavaa mini tu, jamaa akawasha gari akamuache manzi ndio anipeleke lodge sasa ile tunaanza kwenda manzi akaanza niletea mdomo nikamla mate sana bila jamaa kujua, badae tukafika sehem kuna lodge barabaran nzuri tu manzi akamwambia jamaa mshushe hapa ile lodge nzuri akalale huyu mgeni wako, ila wakaniambia nikachek chumba kwanza kama vipo, nikaenda nikakuta vipo ilikuwa ni 15k tu, so nikatoka nje niwaage yule manzi akashuka akamwambia jamaa anaenda kulala namm so atupitie asubuh, daaahh jamaa alikasirika sana hata akutuaga yan kaamsha na speed za maana pale nje ya geti, nikapiga mzigo manzi siku ile kesho yake tukarud iringa mjin mimi na yule manzi tu nikakaa siku mbili nae zote lodge nikapiga mzigo, nikarud mkoa wangu nilotokea naona manzi akaanza kuleta mapenzi mengi japo atukukaa sana kila mtu akala 50 zake, nikamchek jamaa tukarud urafiki kama kawaida nikamuuliza kama kweli alikuwa manzi ake akaniambia ndio alikuwa anafukuzia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna kisichowezekana.I bet hiyo gari ilikuwa pick up ama difender. Maana siti za nyuma tu jamaa asijue kama kuna kitu kinaendelea?
Aje home kwako apajue....Mara unasikia mlango unagongwa......hapa kuna shida inamana alikuwa anapajua kwako?2014 hapo nimeanza kupanga jamaa yangu nlokuwa naishi nae kwake akanipa mchongo wa kumtafutia wateja kwa biz yake nikawa nafanya hivyo, siku moja akanipa info kuwa kuna dem pia aliunganishwa na jamaa yake anataka kazi sasa inabid tuje tufahamiane nikasema poa ila jamaa akanambia dem ni mzuri na ana mpango amtongoze atangaze na ndoa nikasema hewalaa.
Siku zikasogea, nikamuomba jamaa namba ya demu akanipa nikajitambulisha, tukawa tunasalimiana, stori za hapa na pale hapo hata hatujaonana. Siku moja nikamtia voco akaanza unajua mimi jamaa yako ananitaka anataka kunioa, mara stori mob mi nikamuuliza wewe unafeel nin juu yake akanambia hana tym nae, huku kwangu akajaa kimasihara tu. Nikawa namwambia aje hom kwangu anisabahi pia apajue siku hiyo akanambia niko Kkoo nikitoka naja, hata kama ni usiku nikajua masikhara haya, kweli saa tatu nasikia mlango wangu unagongwa, nikafungua mtu huyu hapa mpaka ndani. Naambiwa nipishe nivue nikaoge nikasema sawa, nikampisha kavua kaenda kuoga, kilichofuata hapo, asubuh haniangalii usoni.
Safi sana mkuu,sema Mafinga mgeni aliyoimbwa na Marehemu Komba kazagaa sana pakuwa makini pale.Mwishon mwa Mwaka Jana nilienda iringa kwa ajili ya kula mwaka mpya, na kutoka mkoa ninaohishi mpaka iringa ni mbali kidogo kwa basi nilitumia zaidi ya masaa kumi, ile nimefika iringa mjin Rafiki wa tangu utoton anaishi huko akaniambia Twende mafinga ambako ndipo makazi yake na kwasabab sijakaa muda mikoa ya baridi ilinipa shida sana tangu Nipo iringa mjin,
Tukaenda mafinga siku ya pili yake na jamaa ndio mwnyej wangu nikafika kwake ila kwa kuwa anaishi na familia yake mi nikasema sitolala pale maana nilitaka nikapate vyombo kidogo na nikamwambia jamaa anipeleke sehem yenye watoto wakali akaniambia Poa, sasa jamaA kila sehem anaponipeleka ananitambulisha kila manzi ni shemeji yangu ( Yani ni manzi wake) nikawa simuelew nikaona ananizingua huyu badae akaniambia tukienda club ntapata manzi nikamwambia Poa.
Saa 5 na nusu akanipeleka kwa manzi yake mwingne sasa hii manzi ni kali alafu ina shop ya kuuzia vinywaji maeneo ya kule kule ila mitaa siijui, ile tunafika jamaa kanitbulisha ila manzi akajitetea pale pale kuwa yeye na jamaa ni marafiki tu, so nikaamua kuyaacha kama yalivyo,
FAST FORWARD, imefika mida ya sa 9 tumeshatoka club jamaa kanipeleka Kwenye geto nilale ambalo tumefika tumekuta mwana Kwenye ilo geto yupo na manzi pia, na hapo tupo na huyo manzi wa dukani ambae nae alikuwa amepewa lift arud kwake namm nimekosa manzi nikamwambia jamaa anipeleke lodge kisha yeye aendelee na mishe zake kisha tuonane asubuh, basi nimeingia Kwenye gari nimekaa siti ya nyuma yule manzi nae kaingia kakaa siti ya nyuma, jamaa kaingia kawasha gari akamwambia yule manzi akakae mbele manzi kagoma, though kulikuwa na ugomvi kidogo maana jamaa alitaka akamle yule manzi, manzi akagoma so manzi kakaza anataka akae namm siti za nyuma na manzi ni mzuri kinoma hapo kavaa mini tu, jamaa akawasha gari akamuache manzi ndio anipeleke lodge sasa ile tunaanza kwenda manzi akaanza niletea mdomo nikamla mate sana bila jamaa kujua, badae tukafika sehem kuna lodge barabaran nzuri tu manzi akamwambia jamaa mshushe hapa ile lodge nzuri akalale huyu mgeni wako, ila wakaniambia nikachek chumba kwanza kama vipo, nikaenda nikakuta vipo ilikuwa ni 15k tu, so nikatoka nje niwaage yule manzi akashuka akamwambia jamaa anaenda kulala namm so atupitie asubuh, daaahh jamaa alikasirika sana hata akutuaga yan kaamsha na speed za maana pale nje ya geti, nikapiga mzigo manzi siku ile kesho yake tukarud iringa mjin mimi na yule manzi tu nikakaa siku mbili nae zote lodge nikapiga mzigo, nikarud mkoa wangu nilotokea naona manzi akaanza kuleta mapenzi mengi japo atukukaa sana kila mtu akala 50 zake, nikamchek jamaa tukarud urafiki kama kawaida nikamuuliza kama kweli alikuwa manzi ake akaniambia ndio alikuwa anafukuzia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Balimi zipo hata ITV haijaanzishwa. Miaka ya tisini huko waliozinywa wanajua.Balimi zimeanza kuzalishwa lini jamani??maana mimi kwa uelewa wangu nimeanza kuziona sokoni miaka ya kuanzia 2011 kija juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama vile wewe ndio ulikiwa kimasikhara!Kuna mda kila kitu kinapangwa ili kitokee nakumbuka 2012 baada ya kuchelewa sana kulala kutokana na tungi najikurupua saa 3 asubuh ili niwah ubungo nichukue Basi la Arusha mana ilikuwa siku ya jumapili,jumatatu Kama kawaida natakiwa job Arusha.
Nimefikaa ubungo terminal kwenye saa 4 hv nakuta gari zote nzur zishaondoka ikanibidi nichukue Basi la KVC na tena na yenyewe nilikuta imebakiza siti mbili tena za mwisho kabisa kwenye siti ya watu 6,ile kutoka tu ndani ya stendi kufika kwenye mataa ya ubungo Kuna mdada akapanda yupo vzr ana shepu balaa.
Baada ya kupanda akaja moja kwa moja kwenye seat ambayo ilikuwa imebakia pemben yangu,kufika akaanza kuniongelesha Mara Arusha gari itafika saa ngapi kwa maana alikuwa anataka kuvuka boda aende kwao Kenya na viza yake ilikuwa inaisha saa 6 za usiku wa siku hyo.huyo manzi kwa maelezo yake alikuwa anatokea Zanzibar kwa jamaa yake anafanya kazi kule
so kwavile hajawah kupita Tanzania kwa njia ya barabara akaamua wakati huu apite kwa barabara badala ya ndege ili aione Tanzania vzr.
Tukiwa safarini tukikaribia hedaru na kwavile usiku sikulala vzr mda wote nilikuwa nmelala kwenye Basi nikiwa nmepakata begi la PC miguuni, Mara nasikia kelele kwenye Basi watu wanapiga kelele za taharuki,ile kukurupuka usingizin najikuta nshavuka Kama seat nne kutoka mwisho ili kuwah kushuka kwenye gari Mana watu walijua gar inaungua,na kwevile kila mtu alikuwa anataka kutoka nikasikia kwa nyuma yangu Kuna mdada alikuwa na mtoto mchanga ananipigia kelele nimpishe apite na wakat mbele yangu Kuna watu pia nikaona isiwe tabu nikajisogeza pemben nikafungua dirisha nikaruka chini.baadae kuja kuangalia kumbe haukuwa Moto Bali tairi lilijamu likaw linatoa Moshi na ule Moshi ukaingia ndani ya gar watu wakajua Moto.
Baada ya kukagua gar nakugundua sio motoa kila mtu alirudi kwenye seat yake narudi namkuta yule dada wa kikenya anacheka huku akiniangalia namuuliza why unacheka ànajibu nmependa jinsi ulivyoruka unaonekana ww ni mtu wa mazoez sana story kibao,mpka akaanza kunielezea mpka mambo yake binfsi.
Tulifanikiwaa kuingia Arusha kwenye saa 4 za usiku akaniomba nimtafutie Lodge au hotel nzur alale ili asubuh awah boda namanga,baada ya kumpeleka hotel na kumuaga kuwa naelekea kwangu alinizuia na kuniambia anahitaji kampn yngu kilichofuata ni historia since then ikawa kawaida kila ikifka ijumaa mtoto anatimba chuga tunayaendeleza
Kabla sijamaliza kuisoma niilijua itakua na part 2, ila naona umeamua mambo yasiwe mengi. [emoji1420]Kuna mda kila kitu kinapangwa ili kitokee nakumbuka 2012 baada ya kuchelewa sana kulala kutokana na tungi najikurupua saa 3 asubuh ili niwah ubungo nichukue Basi la Arusha mana ilikuwa siku ya jumapili,jumatatu Kama kawaida natakiwa job Arusha.
Nimefikaa ubungo terminal kwenye saa 4 hv nakuta gari zote nzur zishaondoka ikanibidi nichukue Basi la KVC na tena na yenyewe nilikuta imebakiza siti mbili tena za mwisho kabisa kwenye siti ya watu 6,ile kutoka tu ndani ya stendi kufika kwenye mataa ya ubungo Kuna mdada akapanda yupo vzr ana shepu balaa.
Baada ya kupanda akaja moja kwa moja kwenye seat ambayo ilikuwa imebakia pemben yangu,kufika akaanza kuniongelesha Mara Arusha gari itafika saa ngapi kwa maana alikuwa anataka kuvuka boda aende kwao Kenya na viza yake ilikuwa inaisha saa 6 za usiku wa siku hyo.huyo manzi kwa maelezo yake alikuwa anatokea Zanzibar kwa jamaa yake anafanya kazi kule
so kwavile hajawah kupita Tanzania kwa njia ya barabara akaamua wakati huu apite kwa barabara badala ya ndege ili aione Tanzania vzr.
Tukiwa safarini tukikaribia hedaru na kwavile usiku sikulala vzr mda wote nilikuwa nmelala kwenye Basi nikiwa nmepakata begi la PC miguuni, Mara nasikia kelele kwenye Basi watu wanapiga kelele za taharuki,ile kukurupuka usingizin najikuta nshavuka Kama seat nne kutoka mwisho ili kuwah kushuka kwenye gari Mana watu walijua gar inaungua,na kwevile kila mtu alikuwa anataka kutoka nikasikia kwa nyuma yangu Kuna mdada alikuwa na mtoto mchanga ananipigia kelele nimpishe apite na wakat mbele yangu Kuna watu pia nikaona isiwe tabu nikajisogeza pemben nikafungua dirisha nikaruka chini.baadae kuja kuangalia kumbe haukuwa Moto Bali tairi lilijamu likaw linatoa Moshi na ule Moshi ukaingia ndani ya gar watu wakajua Moto.
Baada ya kukagua gar nakugundua sio motoa kila mtu alirudi kwenye seat yake narudi namkuta yule dada wa kikenya anacheka huku akiniangalia namuuliza why unacheka ànajibu nmependa jinsi ulivyoruka unaonekana ww ni mtu wa mazoez sana story kibao,mpka akaanza kunielezea mpka mambo yake binfsi.
Tulifanikiwaa kuingia Arusha kwenye saa 4 za usiku akaniomba nimtafutie Lodge au hotel nzur alale ili asubuh awah boda namanga,baada ya kumpeleka hotel na kumuaga kuwa naelekea kwangu alinizuia na kuniambia anahitaji kampn yngu kilichofuata ni historia since then ikawa kawaida kila ikifka ijumaa mtoto anatimba chuga tunayaendeleza
kULA KAVU MIMASIHARA KULINIPA UTI KALI SANA .....NIKAJUA NINA STD ...NILIPIGW ASINDANO A NAENDELEA NA DAWA...ALIYENIPA ALIUMWA MALARIA NA UTI ...SO ALINIPA YANI FIRST TIME NAONA UTI YA MAAJABU AUMICVU MAKALI SANA HADI YANATOA UCHAFU....SO BEBA ZANA KIMASIHARA IKIKUTOKEA UNA ZANA OTHERWISE PLAY SAFE
Story ndefu sana mkuuKabla sijamaliza kuisoma niilijua itakua na part 2, ila naona umeamua mambo yasiwe mengi. [emoji1420]
Sent using Jamii Forums mobile app
I bet hiyo gari ilikuwa pick up ama difender. Maana siti za nyuma tu jamaa asijue kama kuna kitu kinaendelea?