Huu uzi hauingii hata top 50 ya nyuzi bora za muda wote JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaf labda kipind anakutana naye alikua masomo kwa vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kwa kutuwakilisha vema sisi watanganyika dhidi ya wanzanzibari.


Kwa hiyo mkuu ukavunja muungano weytu adhimu kwa sababu ya side chicks?? Dah


komesha korona
 
Haya mambo ya kula kimasihara, me sijui nilikula au nililiwa maana katika kipindi kifupi sana tu tukalana.
Tapsa rise!!

Ilikuwaje mtaaalam?? Tupe japo inbrief bwana jinsi ulivyo kula kimasikhara

komesha korona
 
Point :Ili ule kimasihara lazima ujue dini ya huyo demu maana Kuna wenye misimamo .

Hii huwa naitumia sana nikikutana na Aisha ,hadija au Leyla. Huwa jina langu nalibadili hapo hapo[emoji3]yaani najikuta jabir, au Abdul [emoji1787][emoji1787]

Na wewe kama Ni Hassan au juma unaweza kuwa Humphrey au John[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kwa kutuwakilisha vema sisi watanganyika dhidi ya wanzanzibari.


Kwa hiyo mkuu ukavunja muungano weytu adhimu kwa sababu ya side chicks?? Dah


komesha korona
Tatizo alitaka kuwa main bae wakati kuna ambaye tayari ninae. Hapo ndo tulipo shindwana ika angekuwa mpole ninge zama kwenye penzi lake mazima.

Baba Ako
 
Kwenye mazuri sisi wajumbe huwa tunasema tu. Lugumya umetisha mzee baba, usimuliaji mzuri aisee yan unasoma huku unaenjoy, hongera ila shangazi mkuda alikupokonya tonge mdomon.

Sent using Jamii Forums mobile app
@yellow eyes huyo mtoto wallah nilikuwa tayari kuacha kusadiki katika kanisa kuu katoliki la Mitume. Shangazi anakiharibia, haikuwa riziki Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…