Ulishawahi kula tunda kimasihara?
UZI wa ''Ulishawahi kula tunda kamasihara'' Wanaume tunautendea haki sana, hadi sasa uzi hivi ni moja ya nyuzi 5 bora za muda wote JF. So huu ni Uzi maalumu Kwa Ladies Kutoa Ushuhuda wao hapa jinsi ambavyo waliwahi kujikuta wanatoa Tunda Kimasikhara iwe baada ya kuzidiwa na Hisia au Kurubuniwa na Mwanaume. Lets Gooo!!
Huu uzi hauingii hata top 50 ya nyuzi bora za muda wote JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna vitu ukifikiria sana unakua MJINGA.. ucsahau kuna nursing ya mwaka mmoja tu. (medical attendant) na alieandika hajabainisha ni level gani, plus mm nlivomaliza form 4 mwaka flani huko nyuma nlikua na 20 ila mwanafunzi mweny umri mdogo darasani alikua na 16 .. primary kasoma mpka std 5 kaingia form one and she was topping.. so its believable!. taking all factors into consideration huenda hakukaa mtaan kutafuta kazi bali alitafutiwa na washua yaan unamaliza tu unapachikwa sehemu!..



Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf labda kipind anakutana naye alikua masomo kwa vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wahuni wanajitahidi sana kutilirika. inapendeza sana. Huo ndo ujasiri tunao utaka mwanawane.

Anyway hata mimi nina ka stori kidogo. Ime tokea wiki mbili kabla ya Ramadhani hii 2020. Kuna dem mmoja alikuwa ana nihusudu sana huku kwenye Social media lakini sio Jf [emoji23][emoji23][emoji23]. Huku unaweza tekwa chawa wengi.

Sasa bana siku hiyo kulikuwa mvua toka asubuhi na ilikuwa Jumamosi. Basi bana nikachukua simu na kuachana kupitia timeline yangu na kuona picha za warembo nini.

Nikapita kukoment picha ya mrembo mmoja mkali. Mara pap demu akareply, " kumbe na wewe unacoment picha za watu". Nikaona usinitanie nika mfuata Dm chap kwa haraka. Tukaanza kuchat nakumbuka mida hiyo ni kama saa 3 asubuhi na kimvua kina piga balaa.

Huyu manzi bana nika muuliza unafanya nn mda huu. Kanambia bado amelala. Akili za dhambi zikaja chap kwa haraka. Nika mtingisha kidogo akajaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nikatuma nauli buku 5 chap maana hapo demu karusha namba tayari. Ile niaje niaje kama saa 6 hivi ana niuliza niko wapi. [emoji86][emoji86]. Sikuamini kwanza maana ni kama masihara.

Nikawahi bafuni chap. Kujiandaa nimfuate. Natokea home so sina ghetto . Kwa wakazi wa mbagala wanapajua zakiem. So nikamwambia demu anasubiri hapo. Demu nilimchomesha maindi sana mpaka aka nambia anataka kusepa. Kanyeshwe sana na mvua lakini nika mbembeleza sana anisubiri.

Nikapanda zangu daladala zakiem hii apa. Nampigia demu mara haipatiki mara inakata mara kapokea [emoji38][emoji38][emoji38]. Dem yupo Rangi 3 kaenda nunua samaki.

Basi nikamwambia nilipo huku nashauku ya kumuona. Ikachukua kama dakika 20 hivi demu akaja. Kwanza sikuamini. Nikawa na dreva bajaji tunabonga lodge gani ya karibu kwenda kunyandua. Ile tunaongea nikaona mtoto mkali anapita bwana. Kumbe ni yeye. Aisee ile siku sito isahau demu ni mrefu, shape namba nane. Alafu ni mpemba flani hivi. Ana nywele ndefu mpaka mgongoni alafu rangi maji ya kunde. Tako lipo litakosaje. [emoji39][emoji39].

Tukapanda bajaji mpaka lodge. Tukazama mpaka ndani. Ile tumeingia ndani namuangalia demu siamini kama ni yeye. Nilipiga show moja kali. Toka saa 9 mpaka 1 usiku . Hiyo sito sahau. Ni raha wewe kula mtoto mzuri. Sio hzi pussy zinazo nuka. By the way nilipiga kavu [emoji85][emoji85] lakini kabla ya yote nilimfumia vipimo vya HIV test na yeye akatuma wote tulipima recent so haikuwa issue but tulienda pima tena tare 7/4.
Nilikuja piga tena show mtoto alinielewa sana sema siku alichukua simu akakutana na message za machick wengine ndo ikawa tatizo.

Yaani muungano wa tz na znz mpaka sasa unaenda miaka 60 huja kula manzi hata moja ya kisiwani [emoji23][emoji23][emoji23]. Nasema hivi huo muungano hauja kusaidia kitu.

Huyo demu mpaka leo namkumbuka nilimpenda kweli sema nini mademu wazuri wengi wana dharau so kila mmoja ana 50 zake.
Imeisha hiyo. Mahusiano ya kama 3 tu na yakafa mazima. [emoji2957][emoji2957][emoji2957].

Baba Ako
Hongera mkuu kwa kutuwakilisha vema sisi watanganyika dhidi ya wanzanzibari.


Kwa hiyo mkuu ukavunja muungano weytu adhimu kwa sababu ya side chicks?? Dah


komesha korona
 
Haya mambo ya kula kimasihara, me sijui nilikula au nililiwa maana katika kipindi kifupi sana tu tukalana.
Tapsa rise!!

Ilikuwaje mtaaalam?? Tupe japo inbrief bwana jinsi ulivyo kula kimasikhara

komesha korona
 
JF igolya.

Nilivyomkula Mwarabu Koko

Nilikuwa VETA Hotel pale Dodoma, nikiwa naendelea na vishughuli vya ofisi na wenzangu Watatu. Tuliona tufanyie pale kutokana na mazingira kuwa rafiki Sana.

Tukiwa tunaendelea na kazi ghafla akapita mdada mwenye asili ya Kiasia akiwa anaelekea maeneo ya uani, kavalia Sketi ya ya Wanafunzi wa VETA, na ushungi wake ulomkaa vizuri Sana. Sote tulistuck, ikabidi tumtizame japo kila mmoja kwa wiziwizi! Lakini tulijikuta sote tunatabasamu baada ya kugundua kuwa ametutoa kwenye attention sote wanne. Tukapotezea tukaendelea na kazi.

Ukweli mm haikuishia pale, nilibaki na shauku ya kutaka kumfahamu japo kidogo huyu mdada mzuri. Lakini nampata wapi tena? Ndo alikuwa ameshapotea! Kwa ile sketi yake, Mara moja nilihisi ni Mwanafunzi wa VETA. Mungu si Bongozozo, nikamuona kwa mbali, nikachomoka, na simu yangu nikawa nasema hallow! Hallow! Hallow! Lengo likiwa kuwazuga wadau, nikajiweka kwenye njia anayopita ili nimwongeleshe!
Alivyokaribia tu, nikajifanya nakata simu!

Dada samahani, bila samahani shikamoo! Marahaba, we ni mwenyeji kidogo hapa? Ndiyo! Kwa Mhasibu ni wapi? Ni pale twende nikupeleke! Hapana nisikupotezee muda wako, nielekeze tu. Akanionyesha, of course nilikuwa napajua, na sikuwa na shida na Mhasibu ila nilikuwa napima kiwango Cha nyodo zake.

Nikamwambia ahsante, mi Naitwa Rajabu Sadick (mi ni mkiristo, nilimwambia hivo nisionekane kafir mbele ya Ustadhat Rahma-siyo jina halisi).Akasema sawa, akaondoka. Yeye hakusema jina lake.

Nilirudi kuendelea na Kazi, mida ya saa 8 tukaletewa chakula chetu Cha order, nikafakamia haraka haraka nikaenda getini kwa mlinzi.

Hapo getini, nilimkuta dada mmoja (mlinzi), nikaongea nae kuhusu huyo dada na anisaidie kupata namba yake. Baada ya kumweleza jinsi alivyo, akanambia, huyo hajifichi, lakini ni mtu wa dini Sana. Hawezi kukubali kutoa namba yake, namfahamu hawezi. Hata hapa chuoni, hana marafiki. Rafiki yake ni dada mmoja tu. Yaani Kama ni huyo Wala usinisumbue.

Nikasema fanya hivi, naomba kalamu na karatasi. Akanipa, nikaandika namba yangu na jina la kubuni, Rajab Sadick. Nikampa 5000 nikamwambia hakikisha unampa, akikataa kuchukua usimlazimishe. Akanambia poa. Nikarudi kwenda kuchapa kazi.

Jioni, tukaondoka, kurudi magetoni, mlinzi alikuwa ameshaondoka. Na wala namba ya mlinzi sikuichukua. Asubuhi, nikamkia VETA kwenda kuendelea na kazi Maalum ya kiofisi. Ilikuwa Ijumaa, na ndo ilikuwa siku yetu ya Mwisho. Bahati mbaya Sana, mlinzi sikumkuta tena, nikaambiwa amehamishwa lindo. Aaaaah, Shabash..! Sasa taarifa za kuchukua au kutochukua namba nazipata wapi? Basi, nikajua ndo hivo imeshatoka.

Tangu nimwachie kikaratasi siku ya Alhamis, nilikuwa makini Sana na namba ngeni, kila iliyokuja nilihisi Rahma lakn haikuwa hivo. Sijui Kama kikaratasi alikichukua au hapana! Alhamis kapa, Ijumaa kapa, Jmos kapa! Jumapili kapa!

Ng'wana lughembe, duhu kupila nzala- nikaanza kunena kwa kilugha. Mizimu iniokoe! Kama ni kurudi kufanyia kazi nyumbani, Mimi ndo ningekuwa wa kwanza kuliko Mzee Magufuli kurudi Chato. Nilikuwa nijichimbie Kolomije, ninene na Wazee wanipe hata Bhugota (ndumba) hahahahahah! Lugumya Ng'wana Lughembe!!!!. Teremka nayo mdau!

RAHMA AMENITAFUTA.

Ilikuwa siku ya Jtatu, mida ya Saa 4 Usiku nikapokea WhatsApp Video call, Mara sura ya ustadhat Rahma ikatokea, mithili ya Stamina na Roma, Kaka Tuchati. Akasema, Mambo Raja, ndugu msomaji, siyo Raja Naigolani wa Ubeligiji, au Raja Casablanca ya Morocco, ni Rajabu Sadick aka Lugumya Ng'wana Lughembe wa Kolomije kwa Mzee Maduhu.

Tulizungumza story za kawaida akiwa na furaha na mm nikiongea kwa unyenyekevu Kama Mwigulu Nchemba baada ya kuambiwa ni incompetent kule Wizara ya Ulinzi. Hakika nilionyesha ustaarabu zaidi na tashwishwi mithili ya Paramagamba mbele ya Rais. Haiba ya siku hiyo ilikuwa juu, nikiwa nimewasha taa ya chumbani na yeye akiwa amewasha. Tuliongea mengi kwa kweli. Toka saa 4 Hadi saa 6. Sikumtongoza kabisa.


Alinambia ukoo wa baba yake ni Oman, lakn mama yake ni mtu wa Singida, manyoni. Ila walishakaa huku muda mrefu. Yeye alikuwa na miezi mitano tangu atoke Oman, alienda kule baada ya kumaliza darasa la saba, ila hakubahatika kuendelezwa kimasomo.

Na hata huko Oman alikuwa anakaa na Shangazi yake, ambaye ameolewa huko. Alivyofika huku, ndo wakaamwambia akasomee mapishi pale VETA. So ndo Anasoma. Alinambia mama yake, walishaachana na baba yake, hivyo baba yake ana mke mwingine ambaye ni mtesi Sana. Nikampa pole tukafunga mjadala, tukalala.


Ndugu zangu, mida ya saa kumi na moja Asubuhi naamshwa kuswali. Yaani alinitaka niswali lasri, dhuhuri, Magharibi, nk. Yaani kila muda wa kuswali nilikumbushwa. Nilitii bila pingamiz lkn hakuna Cha kuswali Wala Nini. Natumiwa nyimbo za kaswida!

Jamani! Na Mimi nilikuwa nimekariri zile za vijana ambao huwa wanapita usiku mwezi mtukufu kuchukua chochote kwa wasamaria. Nikawa namuimbia kwa kubana pua Sana. Hahahahaha, tunda hili jamn. Sijatongoza kabisa! Na haoneshi dalili za kutongozeka. Maana kila sentensi ya pili mawaidha.

Nilikoma! Ilifikia sehemu nami nikaanza kumkumbusha muda wa kuswali. Anafurahi Sana. Nikamshukuru kwa kunirejesha tena msikitini.


KULA KIMASIHARA

Ilikuw siku ya Alhamis, mida ya saa 3 Asubuhi, akanitumia meseji kwamba anamaliza kipindi saa 4 Asubuhi. Hivyo, atakuwepo tu. Nikamwambia so nije tupige stori? Akasema usiache kazi kwa ajili yangu. Nikasema leo sijaenda, nipo najisikia kuumwa umwa. Akanambia pole, basi nitakuja kukuona! Nikamwambia ukiwa tayari nambie nije nikuchukue. Akasema poa. Mpangaji mwenzangu, alikuwa kasafiri kaacha gari na ufunguo wake pale kwangu, nilikuwa na uhakika wa Usafiri. Nikaweka geto sawa, nikajiandaa, unyunyu nikasogea, ili akisema yuko tayari, nisimuweke! Nikazuga Hadi Nyerere Square pale. Nikatulia Kama dk 10, Mara, paap, niko tayari. Niko hapa NK, jirani na Nina's Saloon.

Poa, dk sifuri. Nikafika nikamshtua, akaja, kavaa kininja aisee. Duuh! Akaingia kwenye gari la kuazima. Akaniuliza gari la kwako, nikamwambia hapana, la rafiki yangu. Basi haaooooo, kuelekea Miyuji.

Tumefika Pale uwanja wa Ndege nikamuuliza anakula nn, akasema anapenda ugali samaki. Basi tukafika pale Sokoni, jirani na somalini au darajani tukachukua Sato kilo mbili, akananiandikia na viongo vya kuchukua, nikachukua tukasepa. Njwiiiiiiimuuuu! Njwiiiiiiiiimuuu! Bhuuuuuuuuu! Vuuuuuuuuu! Mara paaap, Getho!

Nikamkaribisha, sikuwa na friji Wala nn, vyombo vya kupikia ndo nilikuwa navyo na jiko la gesi. Basi, akaa kidogo kwenye kiti, Kama dk 5. Mi naogopa hata kumgusa kabisa. Basi akavua juba, na kale kadude ka kininja. Akabaki na siketi na tisheti ya VETA. Nikamuandalia vyombo akaanza kufanya kazi ya kutengeneza mboga. Alifanya kazi zake kama mtu mzoefu na maswala ya mapishi. Saa 7 naambiwa muda wa kuswali. Duuh! Nikavunga! Saa 7:30 kwenda saa 8 akaweka sufuria la ugali aanze kupika. Hapo ndo kimbembe kilipoanza.

Akiwa anakoroga koroga uji wa kusongea ugali, nilimfuata kwenda kumsaidia, nikasimama, nyuma yake, nikamshika mkono tukawa tunakoroga wote. Nilimkaribia kabisa, uume ukaanza kusimama, ukamgusa kwenye makalio, akageuka, kwa tabasamu akanambia tutaharibu mapishi Rajabu. Nikamwambia hapana Rahma. Just relax! Nilianza kuchezea makalio kwa kutumia mkono wa kushoto, nikapandisha kwenye Chuchu, mkono mwingine tukawa tunakoroga. Maji yakaanza kuchemka. Tukaacha kukoroga!

Sasa mikono yote, ikawa inafanya kazi. Chezea Sana, lamba Sana, kula mate, Sana, tachi za hatari. Mara nikapeleka kitandani, toa chupi, zama Uvinza! Mtoto anaruka ruka. Rajabu it's eneogh, Raja tule kwanza, toa, tisheti lake, nyonya Maziwa Sana. Oooho, assiiiiii, Raja I love you!

Nikasimama nikaenda kuongeza maji kwenye sufuria, jaza mpaka juu, nikarudi, naona amezubaa kw tabasamu. Chezea Sana. Nikavuta Kinga, tako 5 wazungu hao. Ngoja nipike kwanza.

Akaingia bafuni, alivotoka, akaanza kupika, akapika ugali Mkubwa, nikamuita jamaa yangu, aje achukue ugali, lengo aone nilivyo na kifaa na ng'ambo nikiiwakilisha nchi katika mataifa Asia Kama balozi. Jamaa akaja, akachukua, akarudi kwenye getho lake. Akanitumia meseji. Hahahaha, popote ulipo Benjamin, ni mm balozi wa nyumba Kumi bn, niliyeiwakilisha nchi, katika mataifa ya Asia.

Basi tukala huku nikiwa nimembeba, namlisha, jokes za hapa na pale. Baada ya kumaliza kula, tukaingia bafuni kuoga. Namsugua kwa mgongo, ananisugua. Nambeba, namchezea nidle zake, nataka, pima oil nk. Lamba mgongoni kwenye mstari kwa ulimi, miguno si miguno. Nilivoona amekuwa laini, nikamfuta maji. Nami nikajifuta, beba peleka kwenye 5*6, fungulia saboofer, weka mzuki laini. Chezea tena. Chezea Sana.

Nikamtoa kitandani tena, tukasimama, chezea, akanambia nahisi kuanguka. Tafadhali, turudi kwa bed. Nikamlaza kifudi fudi, lamba mgongoni, pitisha ulimi Hadi kwenye tako, pitisha ulimi mgongoni kwenye uti wa mgongo, nenda kwenye masikio, binya makalio, binya mbavu. Geuza mtoto chali, nyonya maziwa, nyonya Sana, dendeka balaa, uume umesimama wima, Kama ukuta wa mererani.

Papasa mapajani, papasa kwenye K, baada ya hapo nikazama uvinza kujitibu safura. Naona ananibana na miguu, niweke na kichwa humo ndani. Dk kadhaa, mtoto wa Watu kaloana, nikavuta Kondom nikala, kifo Cha mende, then akaikalia. Piga mtoto anatoa sauti mi sijali. She was not a good dancer, but I really enjoyed the show.

Mwisho wa siku tukafika mshindo, alipitiwa na usingizi, mi nae nikajikuta nasinzia. Kushituka saa 1. Nikamuamsha, alivoamka, akanambia Leo watamua. Hakutaka hata kuoga, akavaa, Kama kawaida ndinga ya jirani, nikampleka kwao. Sema Shangazi yake alimchapa Sana. Akawa ndo demu wangu, kwa mwaka mzima. Alinipa promo mademu wa kitaa wakiwa wananisalimia Sana, ili tu niwaongeleshe. Mara mwarabu hajambo Lugumya! Hahahahah, washikaji wakawa wanatamani wawe Mimi. Ukweli wakati huo, nilipata ufalme wa mapito. Japo ni ujinga na ushetani tu. Tukawa tunaongea usiku Hadi kazini nasinzia, video call ndo ilikuwa jadi yetu. Akapagawa, nikapagawa.

KUACHANA NA RAHMA
Baada ya kupendana Sana, Rahma akanambia nitume mtu kwao. Ili tuoane tu. Hapo ashamaliza Chuo. Maana yalikuwa ni Mafunzo ya miezi 6 tu. Nikasema sawa. Sasa Mimi siyo muislamu, nampata wapi sheikh/ mjumbe.

Nilimpanga jamaa yangu wa ofisini ni muislam akakubali kwenda. Alivofika wakakataa, kumbe Shangazi yake alikuwa ameshamuandalia mtu. Yeye akakataa.Tukapanga atoroke, bahati mbaya kipindi tunaongea usiku, kumbe Shangazi yake alikuwa mlangoni anasikiliza. Hakurusiwa Tena kutoka ndani, tiketi akarudi Oman. Aliolewa huko. Ana Watoto wawili. Alibadili simu, tunawasiliana, lkn alinambia hawezi kunipa Tena. Hawezi kutembea nje ya ndoa yake. Ni dhambi kubwa Sana.

Ahsante Sana Rahma. Mwenyezi Mungu akubariki katika ndoa yako.

Lugumya.






Sent using Jamii Forums mobile app
Point :Ili ule kimasihara lazima ujue dini ya huyo demu maana Kuna wenye misimamo .

Hii huwa naitumia sana nikikutana na Aisha ,hadija au Leyla. Huwa jina langu nalibadili hapo hapo[emoji3]yaani najikuta jabir, au Abdul [emoji1787][emoji1787]

Na wewe kama Ni Hassan au juma unaweza kuwa Humphrey au John[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kwa kutuwakilisha vema sisi watanganyika dhidi ya wanzanzibari.


Kwa hiyo mkuu ukavunja muungano weytu adhimu kwa sababu ya side chicks?? Dah


komesha korona
Tatizo alitaka kuwa main bae wakati kuna ambaye tayari ninae. Hapo ndo tulipo shindwana ika angekuwa mpole ninge zama kwenye penzi lake mazima.

Baba Ako
 
Kwenye mazuri sisi wajumbe huwa tunasema tu. Lugumya umetisha mzee baba, usimuliaji mzuri aisee yan unasoma huku unaenjoy, hongera ila shangazi mkuda alikupokonya tonge mdomon.

Sent using Jamii Forums mobile app
@yellow eyes huyo mtoto wallah nilikuwa tayari kuacha kusadiki katika kanisa kuu katoliki la Mitume. Shangazi anakiharibia, haikuwa riziki Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom