Kwa hiyo ulitaka waendeshwe na mke waliokutana ukubwani tena kila mtu akiwa vizuli unajua amepita magumu gani na ndugu zake? Vipi kama ndugu wakimtenga?


Kwa kawaida anaependa hua haoni kasolo ndugu jamaa wakiziona wasimuongoze ndugu yao?
 
Hivi shule zinafunguliwa lini!??

[emoji2398]ᡃʳᡉᡉᡐ [emoji769]
 
Kuanzia leo sili tena kiporo..maana nilichosoma na kichwa cha habari 🀷
 
Duh! Kirahisi tu hivyo ukala mzigo? Kuna wanawake wana huruma sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸšπŸšπŸšπŸšπŸšπŸšπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chungeni hawa watoto wanaorudi mashuleni jamani
Yule ni mtamu 4m6 kama 4m1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…