Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Labda wa Manzese au TiptopHapo kwenye rais unamaanisha wa wapi
Huyuhuyu?
Mkuu fatilia kwa makini... isije kuwa umeandaliwa kisaikolojia. Maaana wake za watu wa siku hziNaona athari za huu uzi zimeanza kudhihirika kwenye ulimwengu wa kawaida.
Leo asubuhi kabla ya kwenda kazini mke wangu akaniuliza, “Hivi mume wangu, mbona wanaume siku hizi mnarahisisha sana mambo?” Nikamuuliza kwa nini?
Akanionyesha majibizano yake na Jamaa. Aisee baharia amejichomoa akili kweli kweli, hazunguki yuko moja kwa moja kwenye mada.
Nikatamani kumwambia kuhusu JF, nikaona kwa hivi visa vilivyomo kwenye hii thread ataharibika.
Nikaishia kucheka na kumwambia, ndio awe makini Jamaa atakula kweli ....
ha ha ha , wewe ulikula tunda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, amesahau na yeye tulianza kimasihara. Pamoja na yote Mkuu itabidi ujiandae kisaikolojia.
Nikigundua Mabaharia wamepita naye kimasihara nitajua ni athari za huu uzi wako.
Itabidi tu meet in person tuongee kiutuuzima namna gani unilipe fidia.
Hujambo honorabo judgeha ha ha , wewe ulikula tunda?
Ulitumia ndom?
nipo bie msibani hapa bejumbura tumetumwa kuja kuwakilisha idaa yetu, watu ni wengi na wanasema mzee alikuwa na matatizo ya kupumua na mbavu kubana ila alikuwa mbishi, basi na maradhi ya moyo yakamuondoa, amechuma kwa miaka 15 inakuja kuliwa na mtu asiye na jashoHujambo honorabo judge
nipo bie msibani hapa bejumbura tumetumwa kuja kuwakilisha idaa yetu, watu ni wengi na wanasema mzee alikuwa na matatizo ya kupumua na mbavu kubana ila alikuwa mbishi, basi na maradhi ya moyo yakamuondoa, amechuma kwa miaka 15 inakuja kuliwa na mtu asiye na jasho
Nipo Makini lakini pia bujumbura ni ndogo sana , kama Mbagala tu, na Wanaume wa hapa siyo handsome kama wa Rwanda, wanafanana na watu wa Kigoma-sura ngumu ya kuuzia mkaa.Pole saaana. Mazish ni hapo hapo bujumbura au mnasafirisha? Ngoja nimwambie marangu jjj ale tenda ya maturubai.
Uwe makin huko kuna kulana kimasikhara. Si unajua mambo ya safari?
Nipo Makini lakini pia bujumbura ni ndogo sana , kama Mbagala tu, na Wanaume wa hapa siyo handsome kama wa Rwanda, wanafanana na watu wa Kigoma-sura ngumu ya kuuzia mkaa.
Maziko na hapa Bujumbura, ila familia wanataka tukazike kijijini kwao
Sina tabia hiyo ila ningewasifia kwa uzuri wao, wanaume waRwanda ni mahandsome na wanajipenda kama wanaume wa Kichagga, weupe, warefu na pia wengi wamesomaKwa hiyo inekuwa rwanda at least tungepata kisa cha kusimulia humu....!
Sina tabia hiyo ila ningewasifia kwa uzuri wao, wanaume waRwanda ni mahandsome na wanajipenda kama wanaume wa Kichagga, weupe, warefu na pia wengi wamesoma
Yadumuuuu.ITS MASIHARA AGAIN
View attachment 1473714
Kuna dada mmoja anauza duka la samaki, kwa kuwa naendaga kununua akachukua namba ili siku wakileta pweza anijuze
Akawa anatuma tuma whatsapp status mara kwa mara, mara anatuma picha zake mara maneno ya kwenye kanga siku akigombana na nani huko sijui.
Kuna siku akatuma picha yake nzuri, mi nikachukua muda wangu nika creat video nikamtumia, akafurahi kishenzi.
Juzi tena akatuma picha nyingine, mi nikajifanya tena producer kama Ramar, nikatia soundtrack, vocal, animation na mazaga kibao yakisindikizwa na wimbo mzuri wa mzee wangu Zahir Zorro akiwa na bendi ya mass media kitu beatrice. Maana kinavyoanza tu" nipe nafasi niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako, moyo thabiti uliojaa mapenzi sawa sawa na yangu..." nikamtumia mtoto akafurahi kinoma. Akaomba nimfundishe ku creat video
Mi sikuwa na hiyana kama Kagere tu akivutwa kati kati ya uwanja anadondokea ndani ya box la penati. Nikamwambia njoo nikufundishe.
Akasema ooh mi naogopa kuja huko nifundishe hapa kwa sms.
Nikamwambia huwezi kuelewa mpaka uje .
Aksema mi naogopa yatatoke mambo ya batari nikija huko.
Nikamuuliza kwa umri huo unaogopa nini. Akasema ooh mie bado mtoto
Alivyotoa jibu hilo tu nikachekelea kama nimeshinda m 50 za biko. Nikamwambia basi huna haja ya kuogopa kwani mi mtoto mwenzio hakuna kitakocho haribika.
Akasema haaaaaa. Nikamwambia watoto kazi yao kunyonya na kucheza mchezo wa kombolelea. Akuliza kunyonyo nini?
Nikamwimbia kwa kuwa mama yetu kasafiri itabidi tunyonye chupa za nyonyo.
Akacheka sana sana
Leo asubuhi nilivyoamka nikaenda kununua chupa zile za kunyonyea watoto nikapiga picha nikamtumia tiyari nimeshazinunua mtoto mwenzangu.
Akasema ntakuja kuzikagua jioni.
Jioni baada ya kufunga duka kaja, hakukuwa na zaidi kama Yanga na KMc tu. Mpaka sasa hivi nimesahau ilibidi nimfundishe nini sijui, anaekumbuka somo alojia kujifunza huyu binti ani pm kesho asubuhi maana saa hizi nalala baada ya kumsindikiza kwao
YADUMU MASIHARA
Raha sana kupata mwanamke bikra, ila waliotumika vya kutosha watakuja kupondoa hapa.Barua Ndefu Kama Hii na Mariam Ba
Sentensi Ndefu Kama hii na Kafui Daughter [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila nikupe hongera sana. Mwanaume aliyekutoa bikra ndiye huyo huyo amekuoa na hujaonja mwanaume mwingine. Hujui mambo ya vibamia na magobore. Ubarikiwe sana na Mungu Azidi kuibariki ndoa yenu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hapa unasema ulivaa soksi baadae tena unasema umeuza mechi..ipi ni ipi..hii chai ya malimao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma vzr kilaza
Kufanyaje?Sijawahi