Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Naona athari za huu uzi zimeanza kudhihirika kwenye ulimwengu wa kawaida.

Leo asubuhi kabla ya kwenda kazini mke wangu akaniuliza, “Hivi mume wangu, mbona wanaume siku hizi mnarahisisha sana mambo?” Nikamuuliza kwa nini?

Akanionyesha majibizano yake na Jamaa. Aisee baharia amejichomoa akili kweli kweli, hazunguki yuko moja kwa moja kwenye mada.

Nikatamani kumwambia kuhusu JF, nikaona kwa hivi visa vilivyomo kwenye hii thread ataharibika.

Nikaishia kucheka na kumwambia, ndio awe makini Jamaa atakula kweli ....
Mkuu fatilia kwa makini... isije kuwa umeandaliwa kisaikolojia. Maaana wake za watu wa siku hzi
 
Hahaha, amesahau na yeye tulianza kimasihara. Pamoja na yote Mkuu itabidi ujiandae kisaikolojia.

Nikigundua Mabaharia wamepita naye kimasihara nitajua ni athari za huu uzi wako.

Itabidi tu meet in person tuongee kiutuuzima namna gani unilipe fidia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole saaana. Mazish ni hapo hapo bujumbura au mnasafirisha? Ngoja nimwambie marangu jjj ale tenda ya maturubai.

Uwe makin huko kuna kulana kimasikhara. Si unajua mambo ya safari?
nipo bie msibani hapa bejumbura tumetumwa kuja kuwakilisha idaa yetu, watu ni wengi na wanasema mzee alikuwa na matatizo ya kupumua na mbavu kubana ila alikuwa mbishi, basi na maradhi ya moyo yakamuondoa, amechuma kwa miaka 15 inakuja kuliwa na mtu asiye na jasho
 
Pole saaana. Mazish ni hapo hapo bujumbura au mnasafirisha? Ngoja nimwambie marangu jjj ale tenda ya maturubai.

Uwe makin huko kuna kulana kimasikhara. Si unajua mambo ya safari?
Nipo Makini lakini pia bujumbura ni ndogo sana , kama Mbagala tu, na Wanaume wa hapa siyo handsome kama wa Rwanda, wanafanana na watu wa Kigoma-sura ngumu ya kuuzia mkaa.
Mazishi ni hapa Bujumbura,ila si mnajua ukifa kwa krona lazma upigwe dawa sana, , ila familia wanataka tukazike kijijini kwao
 
Kwa hiyo inekuwa rwanda at least tungepata kisa cha kusimulia humu....!
Nipo Makini lakini pia bujumbura ni ndogo sana , kama Mbagala tu, na Wanaume wa hapa siyo handsome kama wa Rwanda, wanafanana na watu wa Kigoma-sura ngumu ya kuuzia mkaa.
Maziko na hapa Bujumbura, ila familia wanataka tukazike kijijini kwao
 
ITS MASIHARA AGAIN
View attachment 1473714
Kuna dada mmoja anauza duka la samaki, kwa kuwa naendaga kununua akachukua namba ili siku wakileta pweza anijuze
Akawa anatuma tuma whatsapp status mara kwa mara, mara anatuma picha zake mara maneno ya kwenye kanga siku akigombana na nani huko sijui.
Kuna siku akatuma picha yake nzuri, mi nikachukua muda wangu nika creat video nikamtumia, akafurahi kishenzi.
Juzi tena akatuma picha nyingine, mi nikajifanya tena producer kama Ramar, nikatia soundtrack, vocal, animation na mazaga kibao yakisindikizwa na wimbo mzuri wa mzee wangu Zahir Zorro akiwa na bendi ya mass media kitu beatrice. Maana kinavyoanza tu" nipe nafasi niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako, moyo thabiti uliojaa mapenzi sawa sawa na yangu..." nikamtumia mtoto akafurahi kinoma. Akaomba nimfundishe ku creat video
Mi sikuwa na hiyana kama Kagere tu akivutwa kati kati ya uwanja anadondokea ndani ya box la penati. Nikamwambia njoo nikufundishe.
Akasema ooh mi naogopa kuja huko nifundishe hapa kwa sms.
Nikamwambia huwezi kuelewa mpaka uje .
Aksema mi naogopa yatatoke mambo ya batari nikija huko.
Nikamuuliza kwa umri huo unaogopa nini. Akasema ooh mie bado mtoto
Alivyotoa jibu hilo tu nikachekelea kama nimeshinda m 50 za biko. Nikamwambia basi huna haja ya kuogopa kwani mi mtoto mwenzio hakuna kitakocho haribika.
Akasema haaaaaa. Nikamwambia watoto kazi yao kunyonya na kucheza mchezo wa kombolelea. Akuliza kunyonyo nini?
Nikamwimbia kwa kuwa mama yetu kasafiri itabidi tunyonye chupa za nyonyo.
Akacheka sana sana
Leo asubuhi nilivyoamka nikaenda kununua chupa zile za kunyonyea watoto nikapiga picha nikamtumia tiyari nimeshazinunua mtoto mwenzangu.
Akasema ntakuja kuzikagua jioni.
Jioni baada ya kufunga duka kaja, hakukuwa na zaidi kama Yanga na KMc tu. Mpaka sasa hivi nimesahau ilibidi nimfundishe nini sijui, anaekumbuka somo alojia kujifunza huyu binti ani pm kesho asubuhi maana saa hizi nalala baada ya kumsindikiza kwao
YADUMU MASIHARA
Yadumuuuu.
ulivyoweka hio picha nilikua nawaza inaingiliana vipi na masihara,sasa nimekuja kupata udambwi dambwi ndani ya stori
 
Barua Ndefu Kama Hii na Mariam Ba

Sentensi Ndefu Kama hii na Kafui Daughter [emoji16][emoji16][emoji16]


Ila nikupe hongera sana. Mwanaume aliyekutoa bikra ndiye huyo huyo amekuoa na hujaonja mwanaume mwingine. Hujui mambo ya vibamia na magobore. Ubarikiwe sana na Mungu Azidi kuibariki ndoa yenu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Raha sana kupata mwanamke bikra, ila waliotumika vya kutosha watakuja kupondoa hapa.
 
Habari wadau.
Baada ya pilikapilika za kipindi kirefu katika kujenga Taifa, Leo nimepata fursa adhimu kwa mara nyingine Tena ku-share nanyi kisa cha Kula kimasihara.
Mwaka Fulani( sio mbali Sana) nikiwa nafanya kazi sehemu X waliajiriwa wafanyakazi wapya na mmoja wapo alikuwa ni binti Fulani mrembo Sana Kiasi kwamba karibia Kila mtu alikuwa anamumezea mate. Kama kawaida washkaji wakaanza kurusha chambo ili samaki anase lakini waliambulia patupu.kila tukipiga story Kila mtu alikiri kunyanyua mikono juu ishara ya kushindwa.
Kwa upande hata sikujiangaisha kumtongoza Kwanza niliona ananizidi Kila kitu, na pili niliona sio level yangu Wala type yake kabisaaaa sasa ya nini ? Kujisumbua kukausha mate mdomoni ilihali nikijua nitaambulia patupu!! Zaidi ya Goodmorning asubuhi hatukuwa na maongezi zaidi. Siku moja mfanyakazi mwenzetu alikuwa na sherehe kijijini kwao so Kama staff akatualika tujumuike pamoja . Nikawa napita kwa Kila mmoja kuhamasisha mchango na kujua hasa ni Nani atakwenda yeye pia nilimfikia na akadeclare kuwa atashiriki. Siku ya ijumaa jioni tulianza safari kupitia mini-bus ya kazini na binti mrembo alikaa nyuma kabisa akipiga story na wana. Huku na huku mara usiku Kama saa 1 tukafika tukapokelewa vizuri,tukala na kupanda gari kurejea mjini tulipokodisha lodge kadhaa. Tuliwagawia vyumba na kwa utani nikamwambia aisee mie mgawa vyumba nimekosa pa kulala naomba nije tulale wote. Akacheka na kusema karibu. Nilikariri namba ya chumba na baadae km masihara nikagonga mlango kutest zari akafungua na kuniambia karibu. Nikazama ndani na akafunga mlango. Aisee alikuwa amejifunga taulo kitu kilicho nifanya nifaidi uzuri wake vizuri. Kwa sabb nilitembea na laptop niliweka movie Fulani( ina scene na kupiga mzigo) na wine pembeni aka nijoin nimekuja kushituka tumelala pamoja tumekumbatiana asubuhi nikapiga morning Glory tukasepa kwenye sherehe jioni tulianza safari kurejea na kuanzia hapo ukawa mchepuko wangu rasmi.
Kama mnavyojua penzi kikohozi baada ya mda dada yake akanasa infooo akatafuta namba yangu na kunipiga simu akanitia mkwara mzito nilijibu kwa kifupi tu Ahsante.
Baada ya week akatimba pale job na kumwelezea boss wangu kuwa aniite anionye nisimharibu mdogo wake. Boss akamjibu tu kuwa hao ni watu wazima na Sera ya kazi yetu hairusu yeye kuingilia faragha za watu unless otherwise itishie ubora wa kazi.kwa kuwa Boss ni mshikaji wangu( ni rafiki yangu haswaa tumehasle pamoja) aliniita na kunipa Monday mzima baadae nikamtimbia yule sister ake job kwake nikamuwashia Moto . Nikamwambia Kama ana uhakika natembea na mdogo wake asihangike sana aende kwa mke wangu amwambie kuwa mie natembea na mdogo ake! (Hawezi fanya moto wake anaujua) mwisho wa siku nimeamua kupiga chini kulinda hadhi na ndoa pia japo binti hataki kuelewa somo
 
Back
Top Bottom